rais

  1. F

    JamiiForums Tanzania Rais awazingua wakandarasi wababaishaji

    Nyanja: Utawala Bora/Uwajibikaji. Mheshimiwa Rais Chokambaya Bin Mwaminifu wa Jamhuri-ya-Mazuzu amefanya uamuzi mgumu kwa nia ya kuokoa fedha za serikali yake katikati ya upinzani mkali wa wadau wa sekta ya ukandarasi. Katika kikao cha Baraza la Mawaziri, alitangaza uamuzi wake huo kama...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya hayati Magufuli ya Julai 17, 2018, kwa vyama vya siasa vya nchi mbalimbali za Afrika

    HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA MAJADILIANO KATI YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA NA VYAMA VYA SIASA VYA NCHI MBALIMBALI ZA AFRIKA HOTELI YA SERENA, DAR...
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Rais, Mawaziri, Wabunge wa maafisa/watumishi wengine wa Serikali hawalipi kodi lakini ndiyo wanapangia wengine kiasi cha kodi cha kulipa

    Salama. Huwa viongozi na watumishi wa serikali wakijinasibu kuwa wanalipa kodi, lakini kilogic watu hawa hawalipi kodi hata kidogo, badala yake ni watumia kodi. Wataalamu waliochunguza swala hili walikuja na mfano ufuatao. Ikitokea nchi ikakusanya kodi sifuri, basi kuanzia Rais, Waziri...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anashabikia timu gani?

    Marais wote katika safu ya JMT wanajulikana timu zao za mpira. Binafsi sijawahi kusikia rais Samia ni shabiki wa timu ipi, klabu au timu ya taifa? Au ni shabiki wa timu ya taifa ya mpira wa pete? Tutani hapo!
  5. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Munishi aishiwa uvumilivu, Atoa ushauri kwa Rais.

  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania KUTOKA ZANZIBAR: Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi awaaga madaktari bingwa wa kichina waliomaliza muda wao

    Sehemu ya matukio katika picha ambapo mheshimiwa rais wa Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na madaktari bingwa kutoka nchini china walipokuja Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kufanya kazi ya kutoa huduma ya Afya katika kisiwa cha Unguja kupitia hospitali ya Mnazi mmoja na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais hapatikani kwa tukio la uchaguzi, anaandaliwa tangu shuleni

    Matukio mengi makubwa yaliyowahitukia, ama katika maisha ya mtu wa kawaida au katika maisha ya ziada ya mtu mwenye historia, yametukia katika muda usio muafaka wa maisha yake. Kwa mfano, kanuni ya jumla ya sheria ya mvutano (Universal Law of Gravitation) ilizaliwa kwenye akili ya Isaac Newton...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa kweli alikuwa ni Rais Magufuli

    Upinzani wa Tz unatakiwa kuzaliwa upya kwa kutumia mifumo ya demokrasia komavu na pevu za USA na Uingereza ambapo mgombea anaposhindwa uchaguzi mmoja basi uchaguzi unaofuata hagombei tena bali anaachia ngazi kwa kutoa nafasi kwa sura mpya asilani. Sura moja ikizoeleka sana ni sawa na adui kuzoea...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Demokrasia inatupotezea sana muda na nguvu

    Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita. Rais...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awe Mbunge wa kuchaguliwa

    Kwa minajili ya kuleta uwajibikaji mzuri wa serikali na usimamizi mzuri wa mhimili wa bunge kwa serikali, muda sasa ni muafaka kwa taifa letu kuanza kutafakari uwezekano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano kuwa mbunge pia wa kuchaguliwa na kwamba hii iwe ni sifa mojawapo ya lazima ya kustahili nafasi...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mtaguso wa Washington DC kati ya Rais Obama na baadhi ya Viongozi wa Dola za Afrika

    Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Mnamo Agosti 4 - 6, 2014 US ilikuwa na mkutano baina yake na baadhi ya viongozi wa Afrika kujaribu kufufua mkataba wa AGOA (African Growth and Opportunity Act) ambao kimsingi ni sera ya Marekani...
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

    Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho "Hakuna kama Samia " Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na...
  13. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Billy Graham alimsaidia Rais George Bush kuacha Pombe

    Laura Bush anasema mume wake yaani George W. Bush alikuwa mlevi sana. Ikafika kipindi akaogopa akaona hata Urais utamshinda. Lakini Laura Bush hakuwahi kuthubutu kuita press conference kusema "ninyi wamarekani mnamheshimu na kumsikiliza huyu mshenzi mlevi mkubwa? Hamumjui tu". Hakuthubutu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, turufu muhimu katika Siasa za Kimataifa

    Na Dk Juma Mohammed Kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Septemba 23 mwaka huu, Rais Samia atahutubia Baraza Kuu linalowakutanisha Viongozi...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi. Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Samia Suluhu Hassan Jijini New York ni ya muhimu kiuchumi

    KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI. BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia ameanza safari kuelekea New York Marekani kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, na...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa Viongozi wawili

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) akichukua nafasi ya Nyakimura Muhoji ambaye amestaafu...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

    Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe. Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

    Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kwanini Rais Samia hakukataa kusalimiana na Mange

    Kuna vijiminong'ono! Kwamba Je, ilikua haki Rais Samia kukubali kusalimiwa na Mamge kimambi aliyewahi kuutukana utawala wa awamu ya TANO? Jibu ni ndiyo! Rais alikuwa sahihi kabisa kwasababu zifuatazo; 1. Rais alihudhuria mkutano na kuongea na watanzania waishio Marekani, hivyo kukataa...
Back
Top Bottom