Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio...
Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani!
Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo tarehe 19 Mei, 2022.
Ria Samia yupo mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi kwa siku 3, tangu aanze ziara hii amefanya uzinduzi wa...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky anasema Urusi inatumia silaha zisizo na nguvu dhidi ya Nchi yake ni ishara ya kushindwa kwao.
Amesema hayo baada Makamu Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Yury Borisov kudaia kuwa wana teknolojia yenye uwezo wa kuangusha ndege zisizo na rubani kwa umbali wa Kilometa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango yupo Mkoani Dodoma akiwa mgeni rasmi wa WIKI YA UBUNIFU KITAIFA 2022
Anthony Mtaka, Mkuu wa MKOA - Dodoma
Tunawapongeza sana Wizara ya Elimu kuyaleta maonesho haya hapa Dodoma. Na sisi kama mkoa tumetoa fursa. Kwenye...
Habari za leo ndugu, jamaa na marafiki.
Leo nimewaza nimeona ni vema niwashirikishe na nyie.. hapo aliposimama Jaji Mkuu binafsi huwa namuonaga Rais wa nchi peke yake, hata Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Katibu Mkuu kiongozi kwa upande wangu sijawahi kuwaona hapo (sijui...
Kuna clip inatrend baada tu Mhe. RAIS kutoka nchini Uganda ikionyesha kikundi kidogo Cha watu wakipinga uwekezaji kwenye Bomba la mafuta eti Ufaransa Kuna joto Kali kutokana na mabadiliko ya tabia nchi.
Hawa wazungu Sasa wamekosa hoja, kwamba tuache kufanya maendeleo kisa kwao Kuna joto. Mbona...
Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako…
1. Amepunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66.
2. Amejenga madarasa 1500 nchi nzima.
3. Amevifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa.
4. Amemalizia Ujenzi wa Daraja...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna mwekezaji amejitokeza ili kukifufua kiwanda cha tumbaku kilichopo Morogoro ambapo amesema kufufua kiwanda hicho kutakuza uhitaji wa soko la tumbaku na kuwataka wakulima wa tumbaku kuendelea na kilimo hicho.
Ameyasema hayo mkoani Tabora akizindua Barabara ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Tabora - Koga - Mpanda (km 342.9) Sikonge, Mkoani Tabora leo tarehe 18 Mei, 2022. Rais yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku 3.
======
Rais apewa zawadi ya Ng'ombe
Hotuba ya Rais Samia Akifungua...
Rais wa Marekani, Joe Biden ametamka kuwa tukio la kuuawa kwa watu Weusi 10 kwa risasi lililotokea Buffalo, New York ni Ugaidi wa ndani uliosababishwa na dhana ya ubaguzi wa rangi.
Biden na mkewe, Jill Biden walikutana na ndugu wa marehemu na wengine watatu waliojeuruhiwa baada ya kutembelea...
Afrika iko kwenye kipindi cha mpito kutoka kuwa na marais wanaume kwenda Marais wanawake. Baada ya Mama Sarif wa Liberia sasa ni Mama Samia wa Tanzania. Rais Samia na Rais Sarif ndio litmas test kwa wanawake wote barani Afrika kuona kama wanawake wanaweza kuwa marais au hapana.
Kenya kuwa na...
Rais Samia Suluhu Hassan yupo Mkoani Tabora kwa ajili ya kushiriki Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chany, leo Mei 17, 2022.
Rais Samia ameanza kuongea
=====
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Lengo la Serikali ninayoiendesha inalenga kujenga miundombinu ya barabara na madaraja ili kuiunganisha...
Ni muendelezo wa Mama kujali wanae,baada ya kuwapa kicheko wafanyakazi wa Umma sasa ni zamu ya Wamachinga.
Rais Samia atatoa shilingi Mil.10 kwa Machinga kila Mkoa,hongera mh.Rais Kwa kuupiga mwingi kama Benzema.
Ni wakati sasa mh.Rais awakumbuke na Madiwani na Wenyeviti wa...
Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa mtangulizi wake Donald Trump mwaka jana wa kuondoa karibu vikosi vyote vilivyokuwa huko.
Kabla ya Trump...
ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI.
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali ya Rais Samia kukata kiu iliyosubiliwa kwa hamu kubwa na Wafanyakazi kwa miaka 6 kwa kuongeza...
Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.
Akaingia madarakani, akawa...
Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ambae alifika nchini Marekani kuupamba Utalii, kuonana na Kamala Harris na kuhudhuria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.