rais

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia: Wabunge wamrejesha madarakani Rais wa zamani

    Wabunge Nchini Somalia wamemchagua Hassan Sheikh Mohamud aliyekuwa Rais kati ya mwaka 2012 - 2017 kuongoza Taifa hilo. Amepigiwa Kura 214, huku Rais Mohamed Abdullahi Mohamed aliyekuwa anawania Muhula mwingine akipata Kura 110 Rais Mohamed amekubali matokeo ya Uchaguzi na Mohamud ameapishwa...
  2. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Farmaajo, Rais wa Somalia ambaye aliichukia Kenya sana, abanduliwa katika uchaguzi wa Urais

    Huyu mtu mwenye roho mbaya, kisirani number moja kwa jina la Farmaajo, rais wa Somalia amebanduliwa katika uchaguzi uliofanyika jana. Amefanyia Kenya madhambi mengi sana. Yeye ndio aliban Kenya kuexport miraa to Somalia. Yeye ndio alikataa kuondoa kesi mahakamani na kukataa kunegotiate na...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Tusimparure Rais, tumpetipeti

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi wakati wa uzinduzi wa Royal Tour Dodoma leo amempongeza Rais Samia kwa kazi kubwa aliyoifanya wakati wa utengenezwaji wa Filamu hiyo "Tumpongeze Rais wetu, nitawapa mikasa miwili" "Kuna sehemu Rais anavua samaki ilikuwa Pemba...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya TARURA, Yaibeba TAMISEMI na Kumng'arisha Rais Samia, Speed Iliendelea Hivi, 2025 Hatahitaji Kupiga. Itakuwa ni "Anameremeta"

    Wanabodi Nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya maeneo ya Vijijini, deep interior, nikashangaa sana kukuta Barabara za lami hadi Vijijini. Kuulizia nikaelezwa ni kazi nzuri ya Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini, TARURA baada tuu ya Mama Samia kushika nchi, ame I double na ku triple bajeti...
  5. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Rais anastahili pongezi

    NILIPATA kuandika miaka ya nyuma kuwa Tanzania inateswa na mambo makuu mawili; Ujuaji na ukosefu wa uadilifu. Mosi; watu wanajua sana. Sehemu yenye kuhitaji utaalamu, yule ambaye fani haimhusu anaweza kuzungumza na kuonekana anajua zaidi. Mwaka jana, Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DRC State-owned shipping line to set base in Mombasa

    Kwa mwendo huu tu... ====== A shipping line from the Democratic Republic of Congo plans to start its operations from Mombasa beginning June this year. The state-owned shipping line, the Lignes Maritimes Congolaises (LMC) seeks to channel more DRC imports and exports cargo through the Port of...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

    Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika. Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao. Tusilazimishe mambo...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Shaka: Nchi tatu zinajadili ili Samia awe Rais wao

    Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani! Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
  10. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  11. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Safari ya matumaini na Rais Samia juu ya haki za Binadamu na utawala bora

    Pitia hili japisho kwa utulivu kisha niambie kwa umri wako ni Rais yupi amefanya hata nusu ya haya,
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Afrika yaunganisha nguvu kupambana na Ugaidi

    Na Mwandishi Wetu, Ethiopia Mawaziri wa Ulinzi, Amani na Usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wameazimia kuanzisha jeshi la pamoja na kituo ili kupambana na changamoto ya ugaidi katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa nchini Ethiopia na Waziri wa Ulinzi na Jeshi...
  13. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi Muadilifu, Wanaomchukia ni amma watu 'madhalimu' au wenye 'Husuda'

    Kwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na sisi wengine kila mtu afanye kwa uwezo wake na nafasi yake. Aidha, kwa kadiri wengi wetu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia awa Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)

    Wadau wa haki Nchini Tanzania wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu, leo Mei 13, 2022 kwenye Ukumbi wa PSSSF Jijini Dar es Salaam Shughuli hiyo inatarajiwa pia...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yathibitisha kifo cha kwanza cha Covid-19. Kim Jong Un avaa barakoa kwa mara ya kwanza

    Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo kuthibitisha mlipuko wa kwanza wa Covid tangu janga hilo lianze. Watu 187,800 hivi sasa wanapatiwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wakati huu ambapo Rais Samia anayasaka maridhiano na CHADEMA, Mdee na wenzake imekula kwao

    Samia hataki uhuni kwenye serikali yake. Anataka haki bin haki itendeke kwa watu, taasisi na vyama vya siasa. Sitegemei kuona sarakasi za kihuni za akina Mdee zikilelewa na kukumbatiwa na mahakama iliyojibebea umaarufu kwa kutenda haki ktk kesi ya aliyekuwa DC wa Hai Sabaya. Kwahiyo wale...
  17. Conwel Ngani

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye baada ya Putin atalazimishwa kulipa hasara iliyosababishwa Ukraine

    Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea. Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi hali imeanza kuwa mbaya

    Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali More deep detail to follow with specific...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Bobi Wine: Rais wa Tanzania yupo Uganda Rais wa Uganda yupo Tanzania

    Akihutubia Baraza Kuu la Chadema kwa lugha ya kiingereza ametema nondo kadha za kufikirisha kwa Chadema. Amewaachia hoja ya kutafari juu ya agenda yao ya Kariba mpya kwa kusema. Uganda Wana Katiba nzuri pengine nzuri kuliko zote Dunia pamoja na Museven kuibadirisha mara kadha. Lakini Uiddi...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wachapakazi hawakuondolewa sababu walikuwa wakimkwamisha Rais Samia

    Tulisikia kwa vinywa vyetu kuwa kuna baadhi ya mawaziri walikuwa na mpango wa kumkwamisha Rais Samia ili asifikie malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Hapa kwa haraka haraka tukapata hisia kuwa walikuwa na na nia ya kumzuia asitinge Ikulu kama mgombea wa CCM mwaka 2025. Ndipo tukasikia...
Back
Top Bottom