mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin
Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.
Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba
Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda
Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa...
Ni ukweli usipingika ni kwamba wananchi asilimia kubwa hawamuelewi Rais wetu ,Cha kushangaza bado watu alio nao karibu wanapingana tulio msikiliza Nape akizungumza katika Ufunguzi wa Kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, Mei 9, 2022 Jijini Tanga tumeona ,Lakini...
Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, baada ya kusota kwamiaka sita tangu 2015 mpk 2021 bila ajira huku tukidanganywa kama watoto eti tuuzie biashara popote hata barabarani na kwenye round about za miji hatimaye 2021 march tulipata mkombozi wa vijana,
Ni ukweli usiopingika Samia umejaribu...
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna...
Kwa uzoefu wangu wa awamu za Urais hapa nchini kuna jambo nimekuwa nikiliona. Hasa awamu za karibuni.
Nalo ni Viongozi wetu kutowaamini wasaidizi wao kwa mambo ambayo ni yakawaida sana.
Mfano ni huu wa Filamu ya Royal tour.
Kwa maoni yangu Mh. Rais ametumia muda mwingi kuielezea kwa Wananchi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%
Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6
Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
Naangalia Movie ya Royal Tour, kuna kipande Rais anauliza wanafunzi 'Wangapi wanataka kuwa marais' wanafunzi wamenyoosha mikono wengi.
Nikawaza swali kama hili wakaulize kwenye Chama halafu kina Etwege na wenzake wanyooshe mikono kama hali itakuwa salama
RAIS SAMIA AKISHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA THE ROYAL TOUR - JNICC, DAR ES SALAAM
Tulianzia Marekani kwa kuwa utalii uliathirika na COVID na watalii kutoka Marekani walipungua.
Sekta ya Utalii inaajiri 4% ya watanzania na iliathirika sana wakati wa COVID19.
Rais Samia. Filamu ilikamilika...
Swali la uelewa,
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa
c.c FaizaFoxy
Leo 10:15pm 07/05/2022
Kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa katika uchumi wa chini, ukiwa katika uchumi wa chini kabisa, sera ya taifa na lengo linapaswa kuwa kuelekea uchumi wa kati wa ngazi ya chini, hii ni hatua moja kutoka katika uchumi wa chini,adhma na...
Enzi za Kikwete mlituambia uchumi wa gesi!!
Magufuli mkatuambia wa viwanda.
Hussein Mwinyi kule Zanzibar tunaambiwa wa uchumi BULUU.
Huyu Mama yenu yeye agenda kuu ya kiuchumi ni ipi?!! Royal Tour?!!
Nchi ndogo kama Rwanda inatangaza utalii kwenye ligi kuu ya England kupitia team ya Arsenal...
Rejea kichwa cha habari
Siku ukiondoka madarakani utasemwa sana, na katika mwaka wako wa uongozi umeonesha udhaifu tayari hasa katika suala zima la ROYAL TOUR, inasemekana watu wamepiga pesa na kukuachia msala maana hatimiliki iko chini ya Peter Greenberg na Tanzania haijanufaika na chochote...
Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.
Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.
Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?
Huko nyuma ziliwahi kuwekwa...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga...
Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa
Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika.
Akihubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.