rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Mkutano wa 20 wa AMECEA, asisitiza ushirikiano wa Taasisi za Kidini na Serikali katika Utunzaji wa Mazingira

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Nataraji baada ya kazi ngumu kwa wale wageni mliotoka nje ya mipaka yetu mtakuwa na muda wa kuzunguka na kuiona vema Tanzania. Waheshimiwa Maaskofu, Wajumbe wa kutano huu, Mabibi na Mabwana nimejulishwa kuwa mnakutana hapa Dar es Salaam – jiji letu la kibiashara...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Rajapaksa wa Sri Lanka huenda akakimbia nchi

    Rais wa Sri Lanka ambaye anatarajiwa kukabidhi madaraka Julai 13, 2022, Gotabaya Rajapaksa inadaiwa alipelekwa katika kambi ya jeshi la wanaanga karibu na uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa. Hayo yameelezwa na maafisa nchini humo wakati zikiongezeka fununu kwamba ataikimbia nchi na kwenda...
  3. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 3,000 Waliopata ujauzito na sababu mbalimbali warudi Shuleni. Benki ya Dunia yaahidi kuongeza misaada

    Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa kuamua kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye maeneo ya uzalishaji kikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi mambo ambayo yatachochea ukuaji wa kipato cha wananchi na kukuza uchumi wa nchi. Pongezi hizo zimetolewa Jijini Dar es Salaam na Makamu wa Rais wa Benki...
  4. JamiiForums Tanzania Mzozo waibuka kuhusu Mazishi ya Rais wa Zamani wa Angola, Jose Dos Santos

    Inaelezwa kuwa mzozo mkubwa umejitokeza kati ya Serikali ya #Angola na Familia ya Rais #JoseDosSantos baada ya Rais João Lourenço kuamuru kuundwa kwa tume ya Serikali kupanga mazishi ya kitaifa kwa mtangulizi wake, na kusema anategemea kila mtu kuhudhuria ikiwa ni pamoja na familia yake iliyopo...
  5. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Sri Lanka, Tanzania tushukuru kuwa na Rais Samia

    Ogopa sana taifa ambalo lenye bora kiongozi na sio kiongozi bora. Rais wa Sri Lanka alikua bora kiongozi, yeye alikuwa anafanya mambo kuwafurahisha wananchi bila kuangalia madhara yake hapo mbeleni. Alikuwa akikopa mikopo mikubwa isiyo na unafuu na kufanya mambo ambayo yameifanya Sri Lanka...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa kibali ajira 600 Maliasili na Utalii

    Rais Samia Suluhu ametoa kibali cha ajira ya watumishi 600 ambao wataajiriwa katika taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii. Kuna wakati mtu akienda chuo hataki kabisa kusoma faculty za utalii kwa kuhofia kukosa ajira, lakini sasa Rais Samia Suluhu anazidi kuwapa moyo...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Rais anao mpango wowote kuhusu ajira kwa vijana au anasubiri kampeni?

    Hili janga la ukosefu wa ajira naona kama linazimwa hivi. Je, kuna mpango wowote wa kutatua? Au tusubirie saundi za kwenye kampeni.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima Mawaziri wanapoongea kumtaja taja Rais kila baada ya sentensi mbili?

    Salaam, Hapa nilikua nasikiliza hotuba ya waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa alipokua anazungumza na maafisa Mawasiliano wa mikoa, aise jamaa kamtaja rais zaidi ya mara 20. Ndio kuna mahala katika hotuba kuna uhitaji wa kumtaja rais labda kuna maagizo au nukuu au kufanya rejea ya matukio...
  9. JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Waandamanaji kutoondoka kwa Rais hadi ajiuzulu rasmi

    Waandamanaji wamesema wataendelea kubaki katika Makazi ya Rais na Waziri Mkuu hadi Viongozi hao watakapojiuzulu rasmi. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge la Nchi hiyo, Rais Gotabaya Rajapaksa atajiuzulu Julai 13, 2022. Rais Rajapaksa hajaonekana na hakutoa kauli ya kujiuzulu mwenyewe moja kwa moja...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine amuondoa balozi wao Ujerumani baada ya kauli yenye utata

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amemuondoa Balozi wa taifa lake Nchini Ujerumani, Andriy Melnyk siku chache baada ya kutoa kauli yenye utata. Pamoja na kusema kuwa hayo ni mabadiliko ya kawaida lakini balozi wao wa Ujerumani hivi karibuni alinukuliwa akiishutumu Serikali ya taifa hilo kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  12. JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa Sri Lanka akubali kujiuzulu

    Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa amekubali kuwa atajiuzulu Jumatano ijayo Julai 13, 2022 na ameshatoa taarifa hiyo kwa Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardana ambaye ndiye ametoa tangazo hilo. Tamko hilo limetolewa saa kadhaa baada ya waandamanaji kuvamia makazi yake na kuingia hadi ndani...
  13. JamiiForums Tanzania CCM: Majizi Msimchukulie poa Rais Samia

    Na Romana Mallya CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mtu ambaye hatakiwi kufanyiwa masihara wala mzaha katika kulinda rasilimali za nchi hii ni Rais Samia Suluhu Hassan,Wale wanaomchukulia ‘poa’ wajaribu waone, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Habibu Juma Suluo kuwa Mkurugenzi LATRA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Said Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA). Bwana Suluo anachukua nafasi ya Bw. Gilliard W. Ngewe ambave amemaliza Mkataba wake. Kabla ya uteuzi huo Bw. Suluo...
  15. JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Waandamanaji wavamia makazi ya Rais kushinikiza aachie madaraka

    Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu Inaripotiwa kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

    Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba nikuhakikishie kwanza mimi sio mganga njaa / almaarufu kama mchumia tumbo na sina lengo la kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewafungulia njia wananchi wa Msomera

    Rais Samia Suluhu amewajali sana na kuwathamini wananchi waliohamia Msomera kwa kiasi kikubwa hawakuwahi kufikiria siku moja watakuja kumiliki mashamba makubwa ambayo ni ekari 5, nyumba za kuishi ambazo zina maeneo makubwa ya ekari 2 na nusu na kujengewa miundombinu yote ikiwemo umeme, maji...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia Suluhu anasafiri?

    Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza kuletwa na safari hizo katika taifa letu. Rais kusafiri sio jambo la ajabu kabisa, hasa kwa nchi za...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Angola, José Eduardo dos Santos afariki dunia

    José Eduardo dos Santos aliyeongoza Angola kwa takriban miaka 40, kuanzia mwaka 1979 - 2017 amefariki dunia akiwa na miaka 79 Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na Serikali ya Angola, ikielezwa amefariki akiwa Hospitalini Barcelona Nchini Uhispania kutokana na maradhi ambayo hayajawekwa wazi...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

    Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…