rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi...
  2. JamiiForums Tanzania Samia ni Rais wa wafanyabiashara

    Ukiona Rais wa nchi anatetea wakati wote wafanyabiashara ujue ni mfanyabiashara. Hivi katika nchi kama Tanzania unahitaji rais mfanyabiashara au mfanyakazi? Hivi nchi ya uchumi kama wa tanzania unahitaji kuwatetea wafanyabiashara au kuweka sheria kuwadhibiti? Juzi Rais kasema eti...
  3. JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Bunge lampitisha Ranil Wickremesinghe kuwa Rais

    Usalama umeonekana kuimarishwa eneo la Bunge wakati Wabunge wakijiandaa kupiga Kura itakayoamua nani atakuwa Rais wa Nchi hiyo. Rais wa Mpito wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ni miongoni mwa wagombea watatu wa Urais Wananchi wengi wameonekana kutomuunga mkono Wickremesinghe ambaye awali...
  4. JamiiForums Tanzania Shafii Dauda Amjibu Jemedari, Kuhusu Rais wa Yanga

    #DAUDA_KAMJIBU_JEMEDARI Shaffih Dauda kamjibu Jemedari Said kuhusu alichomkosoa Rais wa Yanga. "Sidhani kama kuna shida yoyote kwa Rais wa Yanga kupiga picha na mchezaji wake au kufanya nae mazoezi,, Guys tunaishi kwenye Dunia gani ? Kuna jambo gani la ajabu ?" "Rais Florentino Perez wa Real...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani anapoiona picha hii bila shaka tumbo linakuwa moto

    Hao ni Rais Putin wa Urusi na Rais Ebrahim Raisi wa Iran!!
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

    Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Samia Suluhu Hassan: Rais Magufuli anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
  9. JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  10. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu mdogo kuhusu uchambuzi wa Lipumba kwa Rais Samia

    Katika gazeti la Raia Mwema la leo tarehe 18 Julai 2022, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan akisema yeye anampa asilimia 75 ya utekelezaji. Kwa ufupi Lipumba amechambua mambo kadhaa katika uongozi wa Rais Samia na...
  11. JamiiForums Tanzania Yaliyomfika Rais Ali Hassan Mwinyi katika utawala wake 1985 - 1995

    Kwa hakika kipindi cha utawala wa Mwinyi hakupungukiwa na watu waliokuwa wanaona raha kumshambulia. Ilisikitisha kuwa kulikuwa na magazeti yalimpa nafasi Reverend Mtikila kumshambulia Rais. Kuna baadhi ya vijana wa wakati ule waliona wana wajibu na dhima kubwa ya kumtetea Rais pale...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaendelea kuwalambisha asali

    Sifa ya asali ni utamu, Ila katika Serikali ya Rais Samia Suluhu ni faida wanazopata wananchi kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita. Katika moja ya hotuba zake Rais Samia alisema moja ya mipango ya Serikali ni kuendelea kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utalii wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi amfukuza Mkandarasi, asitisha Mkataba wake

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameifukuza Kampuni ya Ujenzi ya Associated Investment Service Ltd ya Dar es Salaam kufanya kazi Zanzibar kwa kile alichodai haina uwezo. Pia, alisitisha mkataba wa mkandarasi huyo wa ujenzi wa Shule ya Mtopepo katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi A...
  14. JamiiForums Tanzania Ukraine: Rais Zelensky awafuta kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu na Mkuu wa Idara ya Usalama

    Rais Volodymyr Zelenskyy ametoa amri za kuwafuta kazi, Mkuu wa Idara ya Usalama Ivan Bakanov, na Mwendesha Mashtaka Mkuu, Iryna Venediktova na kumteua Naibu wake Oleksiy Symonenko kama Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya Amesema hatua hiyo kufuatia tuhuma za maafisa wao kushirikiana na Urusi, huku...
  15. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais (ikiwa Katiba itakuwa hivi hivi) nitavunja Muungano

    Katiba yetu inampa nguvu kubwa sana Mh Rais, kiasi kwamba watu wengine hujikuta wanamuunga mkono kwa hofu ya kuharibiwa maisha. Mimi nikipata hii nafasi ntatumia hiyo nguvu kuvunja muungano kwa tamko moja tu. Nitaitambua nchi inayoitwa Tanzania, na nchi yangu itakuwa na mikoa bara na visiwani...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hapa umekosea sana, ‘contractors bashing’ unaifanya sehemu ya siasa

    Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar. Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo. Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara. Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi arudi bara 2025, awe Rais wa JMT, miaka kumi tunaaga umasikini

    Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
  18. N

    JamiiForums Tanzania Penati nane za Rais Samia katika maslahi ya watumishi

    Hakika, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Ni ile kauli ya Mama Anaupiga Mwingi usidhani ni msemo tu, sasa hebu tazama jinsi Mama alivyoweka historia katika maslahi ya watumishi wa umma ndani ya muda mfupi tu tangu ashike hatamu. Uchumi wa Dunia unapoyumba hakuna nchi inayobaki salama. Baada...
  19. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Isaac Mnurwa akamatwa kwa tuhuma za kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg

    Inadaiwa kuwa kijana Isaac Mnurwa amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma zinazodaiwa ni kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg. Tunaomba kufahamu ukweli wa taarifa hii.
  20. JamiiForums Tanzania NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

    Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF. Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…