Rais Ruto afanya uteuzi wa wafanyakazi wapya Ikulu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,107
1665761972059.png

Uteuzi huo unajumuisha watu 10 ambao watakuwa wakifanya kazi kwa karibu na Mkuu huyo wa Nchi.

Baadhi ya majina mashuhuri kwenye orodha hiyo ni pamoja na aliyekuwa mwanahabari wa Citizen TV Hussein Mohamed ambaye ameteuliwa kuwa Msemaji wa Ikulu na mwanauchumi David Ndii ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Rais la Washauri wa Kiuchumi.

List kamili ni hii

Felix K. Koskei - Mkuu wa Wafanyakazi na Mkuu wa Utumishi wa Umma
Josphat Koli Nanok - Naibu Mkuu wa Wafanyakazi

Dkt. David K. Ndii - Mwenyekiti, Baraza la Rais la Washauri wa Kiuchumi

Dkt. Augustine Cheruiyot - Mshauri Mkuu & Mkuu wa Sekretarieti ya Mabadiliko ya Kiuchumi

Dkt. Kamau Thugge - Mshauri Mkuu na Mkuu wa Masuala ya Fedha na Sera ya Bajeti

Mohammed Hassan - Mjumbe, Baraza la Rais la Washauri wa Kiuchumi

Nancy Laibuni - Mjumbe Mshiriki, Baraza la Rais la Washauri wa Kiuchumi

Katoo Ole Metito - Mdhibiti wa Ikulu

Hussein Mohamed, MBS - Msemaji wa Ikulu

David Mugonyi - Mkuu wa Huduma ya Mawasiliano ya Rais
 
Back
Top Bottom