rais

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Zipo Siasa za kuvutana baina ya Mafahari wa dunia na kutaka kuziburuza nchi za Afrika katika Migogoro yenye maslahi yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anasimamia haki za wananchi

    Maneno ya Rais Samia Suluhu ili kuhakikisha haki inatendeka “Naomba mkae na wadau wengine mwangalie uwezekano wa kurekebisha sheria za kuweka mtu mahabusu. Kwenye nchi nyingine, mtu hakamatwi mpaka upelelezi umetimia".
  3. J

    JamiiForums Tanzania Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Suala la Mitihani na Usaili kufanyika siku ya Jumamosi tutalitazama

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Miaka 50 ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato leo Tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma SAMIA SULUHU HASSAN - RAIS Kwanini hajawahi kuhudhuria...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

    'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho 1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi 2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa 3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa 4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo 5. Hukulea...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa

    Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale. Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
  7. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa tulipofika, Rais Samia anatufikisha nchi ya Ahadi

    Hakuna tena more death threats kama ilivyokuwa kipindi kilichopita tulishuhudia vitisho vingi kuliko wakati wote ule wa vyama vingi vya siasa katika our political history. Rais Samia ni Kiongozi bora anafahamu umuhimu wa vyama siasa na vile vya Wafanyakazi hawezi kusema wapinzani wake...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli angekuwepo hai asingekuwa amekopa hata senti 5 kwa hii miezi 18

    kama nchi tumerudi nyuma Sana mikopo imekuwa mingi sana Magufuli alikataa huu mkopo wa Corona
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ana sifa nzuri au mbaya katika uongozi wake?

    Moja ya sifa za Rais Samia Suluhu Hassan ni muumini mzuri wa mageuzi yenye lengo la kubadili fikra, dhana na mitizamo ambayo imekuwa kikwazo kwa jitihada za vijana katika kufikia mafanikio katika nyanja za biashara na uchumi. Sifa nyingine ya Mama ni usikivu, mrahisi kufikika, mfariji na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan Suluhu asikubali kila kitu!

    Salam wakuu, Sina kinyongo na watoto wa wakubwa kujazana kwenye chama na serikali. Rai yangu moja,Mama ni vyema baadhi ya wanafamilia wake akawaweka nje ya chama na serikali. Mfano kuna mmoja mbunge,Kuna wengine ndio hivyo kwenye taasisi, wengine mme waziri etc etc. Hii sio dalili njema...
  11. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

    1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayemhujumu Rais Samia. Wananchi kwa macho yao wanaona namna anavyoboronga ila hawana mbadala kwa sasa

    Bei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa. Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi. Madeni ya taifa...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya wa Cameroon anasurika kifo Ufaransa akisherekea miaka 40 ya Urais

    Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu. Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu. Bia anamwaga muda si mrefu. Nikiripoti habari nyepesi ama...
  15. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliotia fora kumuangusha Rais Samia 2022 hawa hapa

    Mwaka 2022 unakaribia kumalizika huku wananchi wengi wakilalamikia sana utendaji wa baadhi ya mawaziri ambao wamepewa dhamana na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mwaka 2022 Mawaziri walioongoza kutajwa kwa uwajibikaji hafifu na kulalamikiwa na wananchi ni wafuatao 1. Patrobas Katambi-...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo

    Rais Samia Suuhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo kwa kutoa ruzuku ya mbolea inayowapelekea wakulima kununua mbolea kwa nusu bei Ahueni 4 kwa wakulima toka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu: 1. Kaondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mbolea ya ndani 2. Kaweka ruzuku kwenye...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mungu ndiye aliyempa Urais Mama Samia. Hawezi kushushwa na Mwanadamu mwenye chuki binafsi

    Ndugu zangu Uongozi unatoka Kwa Mwenyezi Mungu anayetufahamu sisi Tungali katika Matumbo ya Mama zetu, Yeye Ndiye Anayejuwa hatima yetu, yeye ndiye mtoa Riziki, Neema na Baraka, yeye ndiye kiongozi mkuu wa viongozi wote hapa chini ya jua. Ndiye mtoa Maarifa na Njia kwa wale wamchao na kufuata...
  18. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi 18 Rais Samia kakopa zaidi ya Trilioni 20

    Martin Maranja Masese ameandika kwenye twitter page yake kuwa "Awamu ya 3 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 10 Awamu ya 4 ilikopa $7bn (Sh16.320 trilioni) miaka 10 Awamu ya 5 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 6 Awamu ya 6 imekopa $8.7bn (Sh20.283 trilioni) miezi 18 “Mama Yuko Kazini...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Rais Museveni adai wanaidhibiti Ebola

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewahakikishia watalii na wageni kuwa maambukizi ya Ebola yanadhibitiwa na hawana haja ya kusitisha kuitembelea Nchi hiyo Amesema kuna watalii walisitisha ratiba ya kwenda Uganda na wengine kuhamisha shughuli zao walizotakiwa kuzifanya Nchini humo. Ameeleza...
  20. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka Rais Samia Suluhu kujitafakari na Kujiuzulu

    Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana. 1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
Back
Top Bottom