Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita.

Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a Mwaura wamesema tayari wameanza ukagauzi wa kampuni ambazo zimekuwa zikipewa Misamaha ya Kodi kinyume cha Sheria.

Kutokana na taarifa hiyo, Mama wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, Mama Ngina ameonesha kukerwa na kitendo cha familia yake kuhusishwa na Ukwepaji Kodi huku akitoa Onyo kwa Serikali isijaribu kuuza Mali zake.

================

President William Ruto’s administration is now investigating at least 300 companies associated with powerful individuals in the previous regimes over non-payment of taxes, the Sunday Nation has learnt.

Yesterday, National Treasury Cabinet Secretary Njuguna Ndung’u and Kenya Revenue Authority (KRA) chairperson Anthony Ng’ang’a Mwaura confirmed that they are currently reviewing the companies that have been enjoying tax exemptions or which have evaded paying their dues.

“There is a law governing exemptions. That is the one we are following strictly,” Prof Ndung’u said.

The Sunday Nation understands that most of the companies that are likely to be affected in Dr Ruto’s tax shake-up are those owned by the country’s big families, with Mr Mwaura saying firms in the list belong to the ‘untouchables’ of former administrations.

According to Mr Mwaura, some of the companies have not been paying taxes since independence.

“Everyone has to come on board when it comes to paying taxes because even the President is paying his taxes. No one in Kenya Kwanza is being exempted from taxation and that is why very many companies of untouchable people of former administrations will have to pay tax now. There are people in this country who have not been paying taxes since independence,” said Mr Mwaura.

Some of the companies being investigated, he said, are those whose owners had enjoyed tax exemption by law and others whose owners were using their closeness with powerful persons in government to intimidate KRA officials.
Mama Ngina dare

Yesterday, in a rare public outburst, former First Lady Mama Ngina Kenyatta waded into the tax debate, daring the Kenya Kwanza government to sell her property “if I have not paid taxes”.

“Ukikosa kulipa ile unatakiwa kulipa, lazima vitu vyako vitachukuliwa na kuuzwa. Kwa hivyo hakuna haja ... hakuna mambo ya kuwaharibia wengine majina ndio watu wasikike eti wanafanya kazi, wanaendesha nchi, hapana! (If you fail to pay taxes, then your property should be taken and auctioned to pay what you owe. There’s no need of mudslinging anybody so that you can be seen to be working),” Mama Ngina, former president Uhuru Kenyatta’s mother and widow of Kenya’s first president, Jomo, was quoted by Citizen TV as saying.

The Kenya Kwanza administration is under pressure to increase annual revenue collection to Sh3 trillion amid rising debt and a demand for funding of multibillion-shilling projects.

The Sunday Nation understands that the ongoing investigations are not only into companies of sacred cows of the past administration, but also of some individuals in President Ruto’s inner circle who want to bully KRA officials so as not to pay taxes.

Mr Mwaura said KRA has given the companies that have been evading tax timelines to pay up.

Mr Mwaura told the Sunday Nation that a wines and spirits company of a senior member of the former administration owes KRA Sh7.6 billion.

Another, he said, “is dumping oil in the country for export”.
DP stance

Deputy President Rigathi Gachagua this week insisted that firms must pay their dues.

“Let those who have not been paying tax not get nervous. We are open to discussion on how you can pay in bits. You can pay Sh1 billion every month until the balance is cleared. It's very simple, everybody must pay tax,” said Mr Gachagua.

ODM Secretary-General Edwin Sifuna accused the Head of State of doublespeak on the matter of using state machinery to settle political scores.

“This was expected because we know exactly who he is. We knew he was lying when he said the era of sending KRA, Directorate of Criminal Investigations (DCI) and Ethics and Anti-Corruption Corruption (EACC) after political opponents is gone because he is a bitter and vindictive man who will never pass up an opportunity to harass those who don’t support him,” he said.

Jubilee Secretary-General Jeremiah Kioni yesterday accused the President of weaponising state agencies for political reasons.

“This is a tactic used by other despotic governments to take the businesses of other people. He is targeting Mount Kenya businesses,” said Mr Kioni.

ODM Chairman John Mbadi and Vihiga Senator Godfrey Osotsi said it was surprising that Kenya Kwanza politicians had taken over the role of KRA in demanding companies and individuals pay taxes.

“I would advise Ruto to focus on delivering on his promises to Kenyans. Taxes by the Kenyatta family alone will not run the economy. Every Kenyan has an obligation to pay taxes, but the way this matter has been made a subject of public rallies confirms our fear of state capture,” Mr Mbadi said.

Mr Osotsi termed the matter a pure political witch-hunt meant to frustrate Mr Kenyatta.

NATION/ SUNDAY NATION
 
Vita imekolea zaidi baada ya rais msitaafu Uhuru Kenyata kupunguziwa ulinzi na kutuhumiwa kukwepa kodi kwenye biashara zake na serikali ya rais Ruto.

=======

Nairobi. Washirika wa Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta wamemshutumu mrithi wake, Rais William Ruto, kwa kile walichokiita kuvuka mipaka, huku wakizungumza kwa ghadhabu kuhusu hatua ya Serikali ya kumpunguzia walinzi Kenyatta.

Maoni ya wanasiasa wa Muungano wa Azimio la Umoja yalikuja juu huku Inspekta Jenerali wa Polisi, Japhet Koome akithibitisha jana kuwa amewaita maofisa wa vyeo vya juu katika kikosi cha ulinzi wa mkuu huyo wa nchi wa zamani.

Koome alieleza kwamba kuwaondoa maofisa hao ni utaratibu wa kawaida wa kujipanga kwa maofisa usalama wa Rais wa zamani.

“Hiki ni kisasi binafsi. Ikulu inapaswa kuwa ofisi inayowaleta watu pamoja sio kuwagawanya. Unatuambia kwamba tuko kwenye wakati mgumu. Kama upinzani, tunasema hapana. Kuondolewa kwa walinzi ni kosa,” alisema aliyekuwa mbunge wa Ndaragwa, Jeremiah Kioni.

“Hii ni kisasi binafsi wakati Wakenya wanajiuliza ni nani atawaokoa kutoka kwenye matatizo mengi yanayowakabili sasa. Unamtendeaje vibaya mtu ambaye anaongoza mipango ya amani katika nchi nyingine?” aliongeza.

Ilibainika kuwa maofisa 96 wa cheo cha juu wanaohusishwa na Kenyatta walipunguzwa hadi kufikia 25, huku mke wa Rais wa zamani akisaliwa na walinzi watano.

IGP Koome jana alisema kama ofisa katika cheo cha mkaguzi mkuu msaidizi, mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais wa zamani alikuwa na cheo kikubwa mno na ilitakiwa awe wa cheo cha chini.

Kuondolewa kwa walinzi wa Rais huyo wa zamani, kumekuja wakati washirika wa Rais Ruto wakiishutumu familia ya Kenyatta kwa kukwepa kodi na kuwa nyuma ya mikutano ya kisiasa ya chama cha upinzani. Kenyatta, wiki iliyopita aliushutumu utawala wa Ruto kwa kuwapa Wakenya ahadi tupu.

Ilimtokea Ruto pia
Kilichotokea kwa Kenyatta, kilitokea kwa Rais Ruto Agosti 2021 wakati akiwa Naibu wa Rais, ambapo walinzi wake waliondolewa katika makazi yake rasmi yaliyopo Karen, Nairobi.

Maofisa usalama kutoka kampuni ya GSU G ambao walikuwa wakilinda makazi hayo, waliondolewa na nafasi zao kuchukuliwa na Jeshi la Polisi wa Kitengo cha Majengo ya Serikali (AP SGB).

Hata hivyo, taarifa kutoka ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi ilisema kubadilishwa kwa walinzi hao lilikuwa ni jambo la kawaida.

“Huu ni upangaji upya wa majukumu katika huduma ya kitaifa ya polisi ili kuongeza ufanisi,” ilieleza sehemu ya taarifa hiyo.

Akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa Waziri wa Elimu wakati wa utawala wake, Kenyatta aliukosoa utawala wa Rais Ruto kwamba umekuwa ukitoa ahadi hewa kwa wananchi, lakini wameshindwa kutekeleza yale waliyowaahidi kwenye kampeni za uchaguzi wa Agosti 2022.

“Kuna watu wa aina mbili. Kuna watu wanaongea sana kuhusu watakachofanya lakini hawafanyi chochote na hao ni wengi. Lakini kuna watu watazungumza kidogo na matendo yao yataonekana,” alisema Kenyatta.
 
Uzoefu uonyesha kuwa Rais wa awamu ya tano, huwa hapatani na yule wa awamu ya nne. Marais wa awamu ya nne huwa wanahusika sana utawala wa rushwa na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma.

Wakati wale wa awamu za tano huwa upande wa wananchi, kwa kutaka kubadilisha mifumo ya kibepari yenye kunufaisha watu wachache, ili watu wengi wasiokuwa na uwezo nao pia wanufaike kupitia maendeleo ya vitu.

Lakini jambo la kusikitisha mno, Marais wa awamu za tano huwa hawamalizi vipindi vyao vya utawala, njozi zao pana huishia kama "candle in the wind"

Jamani nipo bado ndotoni. Naota tu.
 
kenyatta anastahili yote hayo kwasababu ya aina ya roho yake ilivyo. wafuatilie tu na biashara zake, wanaweza kumpunguza mkia hadi atie adabu.
hakuna kungusa Kenyata na biashara zake, vinginevyo kenya haitatawalika.
kenya,syo tz, wavivu wa kutumia akili
 
Kwa Tz Mzee wa chatto alikuwa mwizi kupindukia
FB_IMG_16756882352350771.jpg


Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Tunaambiwa Kenya wana katiba bora..je hili la Uhuru kupunguziwa ulinzi lipo kikatiba??
 
Kuuhalisia viongozi wengi wa nchi za Africa ni madalali wa biashara za watu, ni wala rushwa na ni wakwepa kodi wakubwa kwenye biashara zao.
 
hakuna kungusa Kenyata na biashara zake, vinginevyo kenya haitatawalika.
kenya,syo tz, wavivu wa kutumia akili
Hata TZ hakuna mkubwa yeyote aliyeguswa tangu awamu ya kwanza mpaka hii ya sasa wote mambo mswano tu !
 
Huo ndiyo Upinzani sasa, ebu fikiria eti Raila ahutubie kumsifu Ruto kama afanyavyo Tundu Lisu na Mbowe huku kwetu, …
 
Back
Top Bottom