Jill Biden, mke wa Rais wa Marekani kutua Namibia na Kenya leo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
jill-biden-ap-2022-08-16-768x525.jpg
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na Uwezeshaji wa Wanawake.

Hii itakuwa ziara ya 6 kwa #JillBiden kufika Afrika ambapo ziara 5 alikuja wakati mume wake, #JoeBiden akiwa Makamu wa Rais kipindi cha Rais #BarackObama na sasa anakuja akiwa mke wa Rais.

Ziara hii inatajwa kuwa ni mpango wa Marekani kutafuta uungwaji mkono wa masuala ya Kidiplomasia ili kushindana na Nchi za #China na #Urusi ambazo zimeonekana kuungwa mkono na Mataifa mengi ya Afrika kwa siku za hivi karibuni.

===============

Jill Biden is not a newcomer to Africa.

It will be her sixth time in Africa when she arrives in Namibia on Wednesday as part of a commitment by President Joe Biden to deepen U.S. engagement with the fast-growing region.

It’s her first visit as first lady, though. And she’ll be following in the footsteps of her recent predecessors, who all made the trip across the Atlantic Ocean in the name of trying to help foster goodwill toward the United States.

During five days split between Namibia, located along the Atlantic coast in southern Africa, and Kenya, in the east, Jill Biden will focus on empowering women and young people, and highlight food insecurity in the Horn of Africa caused by a devastating drought, Russia’s war in Ukraine and other factors.

As she departed Washington on Tuesday, the first lady declared, “We have a lot to accomplish.”

Africa is the fastest-growing and youngest region in the world, according to the White House, which says 1 of every 4 people in the world will be African by 2050.

The White House has withheld specific details of the first lady’s activities in each country, citing security concerns.

Jill Biden previously visited Africa in 2010, 2011, twice in 2014 and once in 2016, all during Joe Biden’s service as U.S. vice president. Two of those trips were with him.

AP
 
Mke wa rais Donard Trump Melanie Trump alipokuwa mumewe yupo White House aliitembelea Afrika akafika Kenya na nchi nyingine, msanii Kanye west aliitembelea Uganda na mkewe, Jay Z na mkewe aliitembelea Rwanda na sasa mke wa rais Jonathan Biden Jill Biden anaitembelea Kenya na namibia ila bado mnasema mmefungua nchi na diplomasia.

Nadhani Magufuli alikuwa makini na ishu hizi za diplomasia ya kihuni hata hawa wanaojifanya wamefungua nchi hakuna wanalopata zaidi ya mikopo ambayo lazima watalipa.

USSR

Screenshot_20230222-194734.jpg
 
Demokrasia yetu bado changa sana, lakini nashangaa nchi kama Rwanda zinatupita vipi wakati Kagame nae huwafunga wapinzani wake kila mara, au Uganda, ambapo Museveni mara nyingi huwatumia polisi kumsumbua Bobi Wine na wenzake.
 
Tatizo Michael Jackson alisema Tanzania inanuka nyaaa🤣🤣 sasa nani anataka kuja kunusa nyaaa🤣🤣
 
USSR
Ngoja tuweke hili jambo sawa!
Kuna watu wengi hawajui kwamba,kutokana na historia ya Ukoloni na "Ulowezi" wa waingereza nchini Kenya!

Kuna idadi kubwa ya watu Mashuhuri Duniani,ambao wamezaliwa nchini Kenya.

Kumbukumbu zinaonyesha hata aliyekuwa Malikia wa Uingereza,Marehemu Queen Elizabeth.

Alitangazwa kuwa Malkia wa Uingereza,wakati akiwa nchini Kenya kwa ziara Binafsi ya Mapumziko.

Jambo liliopelekea aondoke kwa dharula ili kwenda kuvishwa taji na kutawazwa kuwa Malkia wa Uingereza Mpaka mauti yalipomkuta hivi karibuni.

Na pia sikiliza hii video clip ya orodha ya watu maarufu Duniani,ambao chimbuko lao ni Kenya.
Wakiwemo wasanii,waandishi wa filamu,mawaziri wakuu na mastaa kibao wa Hollywood.

Ieleweke kwamba Kenya kuna wazungu walowezi kwa idadi kubwa sana,huenda hata kuipiku Zimbabwe kabla ya Robert Mugabe kuwafurusha.

Hivyo usishangae kuona Wazungu na watu wengi maarufu kama hao,wakizuru Kenya mara nyingi kuliko.

Ni kwa sababu wengi wao wana vinasaba na Kenya.
 
Back
Top Bottom