Rais Putin azilaumu nchi za Magharibi kuhusu vita Ukraine

HERY HERNHO

Member
Mar 4, 2022
70
313
Hotuba ya mwaka ya Putin yatowa mwelekeo wa Urusi kuhusu vita nchini Ukraine wakati rais wa Marekani Joe Biden akitarajiwa kuwahutubia washirika wake akiwa Poland baada ya kuitembelea Kiev Jumatatu.

Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi kuhusu vita vya Ukraine lakini pia tathmini ya hali ilivyo kimataifa pamoja na kutowa mwelekeo wa hali halisi ya nchi hiyo baada ya nchi za Magharibi kuiwekea vikwazo chungunzima.

Rais Vladmir Putin amesema nchi za Magharibi bado zinaendelea kumimina fedha kuunga mkono vita na nchi hizo zilianza kuifanya Ukraine kuwa mpinzani wa Urusi muda mrefu. Na kwa hivyo amekwenda mbali zaidi kwa kusema nchi hizo zinawajibika kubeba dhamana kikamilifu juu ya vita hivyo. naambatanisha na link hii sikia alichosema

Mara chungunzima Rais huyo wa Urusi amekuwa akitowa sababu za kuhalalisha uvamizi wake nchini Ukraine kwa kuzituhumu nchi za Magharibi kwamba zinaitishia nchi yake. Hii leo pia amerudia hayo hayo akisisitiza kwamba nchi za Magharibi ndizo zilizoanzisha vita hii na Urusi inatumia nguvu kuimaliza vita hiyo na inapambana kurudisha haki ya kihistoria.

64773642_902.jpg
 
Kama wewe ni mwema na nchi za magharibi ndiyo waovu"sasa kwanini" kila jirani yako anakukimbia?.
Uoni kuwa una tatizo ndiyo maana unakimbiwa na kila mtu!.

Gaddafi wananchi wake walisaidiwa na wageni kumua ila Ukraine tunaona wananchi wakishirikiana na Rais wao kumpiga mvamizi.

Hadi wapinzani na maraisi wastaafu tumeona wakichukua bunduki na kwenda frontline kumpiga mvamizi alafu kuna watu wanasema"Ukrein imedanganyawa" howcome udanganye taifa zima maraisi, wastaafu na wapinzani at the same time?.

US alituambia kuwa unakwenda kuivamia Ukraine"wewe ukakataa kata kata" mwisho wa siku ukimvamia jirani yako asubuhi kabla kiza kuisha. Je, tuiamini magharibi ama wewe pale linapokuja swala la ukweli?.

MAJINGA :- Ukraine Ilidanganya na US. je, na wale majirani wengine wanaokukimbia wamedanganywa na nani?.

Ukraine nchi inayotengeneza injini za Drone na kuiuzia TURKEY. Nchi inayolima ngano na kusambaza duniani kote how come wawewapumbavu wa kuinginzwa cha kike kilaini hivi na mataifa ya magharibi?.

Ajabu ni kwamba, uwongo unaosemwa kutumika kuidanganya Ukraine unafahamika vichwani mwa watu wapumbavu tu hasa hawa jamaa wa Swala 5 kanzu chafu, meno manjano, baba na mama wanawatoto 12 ila wanaishi kwenye Chumba na sebule na kundi lingine la wakristo wajinga wajinga wengi wao wakiwa waumini wa makanisa ya vichochoroni.

Makristo majinga majinga baadhi yao utasikia ya kisema ama kuandika mitandaoni "MIMI NI MKRISTO ILA YESU SI MUNGU!".
yana macho ila hayaoni.
Yana maskio ila hayasikii.
Yanauwezo wa kunusa ila brankata zao haziwezi kupambanua kuwa hii ni harufu ya Mavi ama keki.

Jinga kabisa.
 
Punguza frustration zako kabla ya kuja kuandika humu jukwaani!
Ukiona mentally Hauko sawa,nenda kasome mambo ya kufurahisha tu na haya magumu Kaa nayo kando!Utajiongezea msongo wa mawazo!

Toa taarifa pindi unapotaka kuhamisha magori.

Mi bado nipo kwenye "UKATA" wewe umeshakimbilia kwenye mentally jambo ambalo si sahihi katika mijadala.
Kwa upande wa "akili" (ulikohamia) sijui ikiwa akili zangu zipo tenge ama lah.

Ila nina hakika kuwa kuna wakati watu wenye akili nyingi uwa wanahusishwa na matatizo ya akili uenda na wewe umenitizama katika dimension hiyo, sijui!!.
 
Kuvamiwa Libya, Iraq, Kuwait, Afghanistan, nilikasirika na nikalaani vikali. Ukraine nayo namlaani Putin. Kupenda kuvamia vamia nchi za watu ni uhalifu usiopingika. Sasa Putin na uhakika anajutia sana. Ndorobo kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom