rais

  1. JamiiForums Tanzania Tumtazame Hu Jintao aliyekuwa Rais wa China na theory yake

    Hu Jintao ni Rais wa China toka mwaka 2003-2013 na katibu mkuu wa chama cha kikomunisti toka mwaka 2002-2012 Tujifunze kuhusu theory yake ya" Scientific outlook on development" upi ni mchango wake katika modern socialist China? Tujifunze 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Marekani, Donald Trump awekwa kizuizini

    Donald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan. The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken. After processing, Trump will attend an arraignment hearing where criminal charges will be read out We still don’t know the exact...
  3. JamiiForums Tanzania Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

    Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  5. JamiiForums Tanzania Seif Gulamali azungumzia mafanikio ndani ya miaka miwili ya Rais Samia katika Jimbo la Manonga

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameainisha miradi ya Elimu na Afya ambayo imefanyika jimboni kwake huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupeleka fedha. Jimbo la MANONGA Wilaya ya Igunga lilipokea Jumla Shilingi 543,400,000/= fedha...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia usipite bila kusoma ujumbe huu

    Mama Hongera tena hongera sana sana. Ninaamini bado sijachelewa sana kukupongeza kwa kazi kubwa uliofanya ndani ya miaka miwili iliyopita ya kuiongoza nchi yetu kwa uongozi wako uliotukuka. Hongera sana. Mama ninakupongeza kwa kukamilisha miaka miwili ya uongozi wa nchi yetu ukiwa kama rais na...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tumsaidie Rais Samia kupata wasaidizi waadilifu

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na waumini waliohudhuria mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran tukufu yaliyoandaliwa na taasisi ya Aisha Sururu Foundation (ASF) jijini Dar es Salaam amesema Rais Samia Suluhu Hassan anaguswa na suala la maadili hasa kwa vijana...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025-2050 na Katiba mpya kama njia za kujenga upya( Rebuilding). Hakika Rais Samia anastahili pongezi kubwa

    Serikali ikiwa ipo katika mchakato wa matayarisho ya dira mpya ya Taifa ya maendeleo ya miaka 25 ijayo kuanzia 2025-2050 na hapo hapo kukiwa na mkakati wa kuendeleza mchakato wa katiba mpya, kwa hakika nauona mwanzo mpya chini ya Rais Samia. Rais Samia akiwa anaongozwa na falsafa za 4R zikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: 26.4% ya Watanzania wanaishi chini ya kiwango cha umasikini wa kipato

    Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema “Malengo makuu ya dira ya Mwaka 2025, Maisha bora kwa kila Mtanzania, Kudumisha amani, usalama na umoja katika Nchi, Utawala bora, Jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza, tano ni uchumi imara na shindani.” Pamoja na hatua kubwa ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, achana na majina ya magarasa unayoletewa

    Mhe. Rais, mawaziri wengi na watendaji wako unaowateua kukusaidia ni mizigo mikubwa, wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Sikufundishi kazi, ila unaeona hatoshi katika wizara au katika nafasi uliyompa mpumzishe kuna watu wako very smart tofauti na hao...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais kuhusu mashirika ya kibiashara ya Umma

    Pongezi nyingi kwa jitihada unazofanya za kuongoza nchi yetu na kurudisha hali nzuri ya mahusiano na uongozi wa kidemokrasia na kisheria. Najua una mambo mengi ila nitaandika kwa kifupi kabisa ushauri wangu walau kwa jambo moja tu kwa leo. Ni kuhusu shirika la ndege ATCL. Ukweli unaojulikana na...
  12. JamiiForums Tanzania Familia aliyegongwa na mwendokasi yahaha kumtibia akisubiri kulipwa

    Unalikumbuka tukio la basi la mwendokasi lililoacha njia na kugonga ukuta wa jengo lililopo Kisutu jijini Dar es Salaam huku likimkosa mwenda kwa miguu aliyekuwa akikatisha mtaani hapo? Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesema anastahili kulipwa fidia. Wakati Tira ikisema hivyo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu pendekezo la kufuta Mashirika yasiyoleta tija, Rais Samia anapigia mstari tu alichosema Hayati Magufuli

    "Naamini mwaka huu tutakuwa na ongezeko la Mashirika yanayotoa gawio, Mashirika yasiotoa gawio lazima tutumie sheria kuhakikisha yanatoa au yanaondoka, Msajili wa Hazina simamia hili. Taasisi zote zinazotakiwa kutoa gawio, zifanye hivyo kabla ya mwezi wa saba, haiwezekani hadi Jeshi limetoa...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto amuomba Raila Odinga kusitisha Maandamano, aahidi kuwalinda Wanahabari

    Akihutubia Taifa leo April 2, 2023, Rais #WilliamRuto amemtaka Odinga kuruhusu mchakato wa Majadiliano ya Wabunge wa pande zote kushughulikia madai ya Upinzani, ikiwemo uteuzi wa Makamishna wa Tume ya Uchaguzi (IEBC). Pia, Ruto amevihakikishia #VyomboVyaHabari usalama baada ya kuwepo kwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

    Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale. Great thinkers tunaweza kutumia fursa hii kumsaidia baadhi ya majini anayoweza kuyatupia macho aboreshe Baraza la Mawaziri Uzi huu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Benki ya Dunia adai Mikopo ya China kwa Afrika imejaa Mitego na haina uwazi

    Rais wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass, amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya Mikopo inayochukuliwa na Mataifa yanayoendelea Kiuchumi Barani #Afrika kwa maelezo kuwa Masharti yake mengi hayana uwazi. Kauli hiyo inafuatia mvutano wa madeni kwa baadhi ya Nchi zikiwemo #Ghana na #Zambia ambazo...
  17. JamiiForums Tanzania Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

    Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo: 1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi 2. Serikali...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wana Rorya tunamuomba, Rais Samia aturudishie Utegi Farm

    Habari wazalendo wenzangu! Hope mu wazima wa afya! Katika halmashauri ya Wilaya ya Rorya, kuna eneo lilokuwa likitumika na Utegi Dairy kipindi cha wakoloni sijui. Nimezaliwa miaka ya 80, kiwanda kile kilikuwa hakitumiki mifugo ila walikwepo wachache, walikamuwa maziwa na kwenda kuuza Tarime na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Walioitwa 'stupid' na Rais bado wapo ofisini wanakula kiyoyozi!

    Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao; 1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa. 2. Afisa Masuuri (Katibu Mkuu wa wizara husika). 3. Waziri wa Fedha ambaye ndiye mlipaji. 4. Maafisa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nani alikwambia ukiwa Rais au high level position Kuna mashost na marafiki?

    Kuna watu wanadhani ukiwa kiongozi wakitaifa utaendelea kuwa na mashost na marafiki... If Kuna kiongozi anadhani anaweza kuwa na mashost na marafiki ktk kuwa kiongozi basi anachimba shimo refu ktk uongozi wake? Kama unafikiri unapenda mashost na marafiki acha kuwaza kuwa kiongozi wakitaifa maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…