rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasimamia fedha za Serikali vizuri kuliko Hayati Magufuli

    Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu katika mwaka huu wa fedha kuliko mwaka jana, kufuatana na ripoti ya CAG Kichere. Swali tu ni kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Tafadhali Rais Samia, Kikeke apewe Ukurugenzi TBC pengine ataleta mabadiliko

    Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20) Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Wanachapana mitandaoni Mwigulu na Makamba itakuwaje Rais akawa Mwinginee kama ilivyotokea kwa Lowassa na Membe

    Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi! Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo 1...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemtembelea na kumjulia hali Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rais wa klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia ajuta kumsajili mshambuliaji Cristiano Ronaldo.

    Rais wa klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia Bw. Al Muammar amesema anajuta sana kumsajili mshambuliaji Cristiano Ronaldo na anasema kumnunua mchezaji huyo ni moja kati ya matukio mawili ya kitapeli ambayo amewahi kufanyiwa maishani mwake. Hii imefuatia baada ya klabu ya Al Nassr kutolewa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Endapo Salum Kikeke atateuliwa na Rais, Diaspora tutaanza kuona njia ya Uraia Pacha ikifunguka

    Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni. Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

    Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:- 1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi 2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof...
  8. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mawaziri wa Rais Samia hawaelewani?

    Zipo dalili za wazi kabisa baadhi ya Mawaziri wa Wizara nyeti kwenye awamu hii wanapigana vikumbo na zaidi kuwatumia wana mitandao ya kijamii wenye ushawishi kuchafuana. Utasikia mara yule kawa hivi ama vile ili mradi wachafuane tu. Je, huenda kupo kutoelewana kwao wakubwa wale?!
  9. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amemtua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo kuanzia tarehe 24 Aprili, 2023. Jaji Mstaafu Teemba anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza dau, kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli kwa Yanga na Simba (CAFF na CAFCL)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama ningepata fursa leo ya kuonana na Rais ningemwambia yafuatayo

    Kama siku ya leo ningepata bahati ya kuonana na Mhe. Rais na kupata fursa ya kuzungumza naye, ningemwambia yafuatayo: Kwanza, ningemshukuru kwa kutoa ajira nyingi sana kwenye kada ya Afya na Ualimu lakini panatakiwa pawepo na mchakato rasmi ili kuondoa upendeleo. Ningemshauri pawepo hata na...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Rwanda Paul Kagame awasili Nchini na kufanya Mazungumzo na Rais Samia, leo Aprili 27, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Mapokezi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwasili nchini Tanzania leo Aprili 27, 2023. Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini leo na kupokelewa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Lawrence Tax kwenye uwanja wa Kimataifa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

    Hali ya Rais wa nchi ya Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amegua gafla na kukimbizwa Hospital baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa akijindaa kwenda kwenye mahojiano na kituo kimoja wapo cha Television nchini mwao. Uturuki inatarajiwa kufanya uchaguzi May 14, 2023 ambapo Rais wa Uturuki Edogan...
  14. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Rais Samia Katika Kilimo una Dhamira ya Kuzalisha Ajira kwa Vijana

    UWEKEZAJI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KILIMO UNA DHAMIRA KUZALISHA AJIRA KWA VIJANA-NDG KAWAIDA Mwenyekiti Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameadhimisha Sikukuu ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kutembelea na kukagua maendeleo ya programu ya Boresha Kesho Iliyo Bora...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi inazidi kutengwa, Zelensky na rais wa China wafanya mazungumzo marefu

    China ndio ilikua tegemeo la Urusi na kwa hali inavyokwenda hali inabadilika... Pia balozi mpya ameteuliwa kuwakilisha Ukraine China Zelensky appoints ex-minister for strategic industries as ambassador to China Zelenskyy said he had “a long and meaningful phone call" with Xi. His press officer...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia asamehe wafungwa 376 Maadhimisho ya miaka 59 yaMuungano

    Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara tarehe 26 Aprili, 2023 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 376. Kati ya wafungwa hao 376 watanufaika na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaondoa raia wake nchini Sudan, watumia mabasi raia wa nchi nyingine walisaidiwa na mabasi hayo pia

    Kwa muda sasa mji Mkuu wa Sudan, Kahrtoum umegeuka uwanja wa vita ukishuhudi mapigano makali ya kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo nchini humo ambapo miundombinu imeharibiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mshike mshike wa nchi mbalimbali kuwaondoa raia wake nchini Sudan unaendelea huku nchi za...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana Hamim asaidiwe amuone Mh. Rais kumshukuru kwa moyo wake wa upendo

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam "Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo uliyokua nayo watu wanakukimbia. Unaenda kufanya nini, watakupiga." Hayo ni maneno ya Hamimu Mustapha Baranyikwa (15), mkazi wa kijiji...
  20. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu JF Kocha Nabi na Rais Injinia Hersi hawatufai tuwatimueni upesi

    Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto. Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…