Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,054
71,341
Mimi Huwa nikiwaambia, tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi, ajiridhishe Kisha atoe ruksa.

Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu, kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina la Palela, haraka haraka nikakumbuka aliwah kutumbuliwa.

Mwezi wa kwanza alitumbuliwa Kwa jina la Msongela Nitu Palela. Wahuni ameona sio tabu, wakajua wakianza Kwa jina la Msongela, watashtukiwa. Kwenye mkeka wamemuanzia

PALELA MSONGELA NITU
Hivi ni kwamba Hii Nchi Haina watu? Mpaka muwarudishe madaraka watu ambao mliwatumbua Kwa makosa yako ya kibadhirifu, wizi wa Pesa za umma, usimamizi mbovu wa miradi?

Hivi Rais Samia yeye Huwa hajipi muda wa Kusoma na kupitia anacholetewa?

Unamtumbua mtu mwenyewe Kwa sababu ya Makosa makubwa aloyatenda, Ndani ya miezi minne, unamchagua upya? Kwamba kakuomba msahama? Kakiri hatorudia, alisingiziwa?

Mama Samia jamani, mbona unatutia hasira sana sisi wananchi? Kwanini watu wasiseme, Nchi inaongozwa na JK?

Yaan DED alipata Hati Chafu, ukamtumbuaga baadae, tena baada ya Waziri Bashungwa akiwa TAMISEMI kugundua matakataka ya DED huyu, Leo unamrudisha?

Sawa, ngoja waendelee kula, ngoja wananchi Tuendelee kutaabika.

2. Msongela Palela wa zamani.

20230124_181609 (2).jpg

80 Palela Msongela Mpya🤣

IMG_7508.jpeg

Mambo ya Ovyo kabisa !!.
 
Kuna Kila Dalili hapaa, Huu mkeka una majina ya maDED wote walotumbuliwa na wenye kesi mahakaman, ila majina Yao yamekuja kivingine yaan Kichwa chini miguu juu, Kwa sababu wanajua SSS hajiangaishi Kusoma, na hata akisoma akikuta jina jingine ,hatozingatia.

Hayati JPM alipitia jina Kwa jina ,jina Kwa jina, Mwambaa hakua na janjajanja
 
Wazungu wana kila sababu ya Kutubagua kwa dharau na Kejeli Sisi watu weusi na hiyo yote ni kutokana na mambo kam Haya yani ni Aibu tupu.

Ifike mahali watu weusi tubadilike viongozi Wanatuludisha sana nyuma Sasa kuna maan gan ya mtu kutumbuliwa alf akabadilishiwa tena kitengo apewe kingne ?

Mi nasemaga Hii Afrika ingefaa ipate dikteta mmoja mfano kam Hitler au Kim jong Un, ndo Akili zitatukaa sawa afrika haitokuwa huru mpka Mfumo wa Demokrasia utoke,

Mimi naamini nchi yyte ya kiafrika itakayohitaj maendeleo bas Itumie mfumo wa Udikteta Tu ndo Suluhisho tuachane na hizi siasa za Kulambana miguu na kubembelezana bembelezana.
 
Anayepaswa kuwajibika sasa ni Katibu Mkuu kiongozi.

Mh Rais kwa hao DED na DAS hana uwezo wa kuwafahamu. Ni watu wadogo Rais kuwafahamu na kuwakumbuka.

Sawa, inavyosomeka ni kuteuliwa na Rais ila wanaoratibu ni ofisi ya Katibu Mkuu kiongozi.

Kama naye kaingizwa Mkenge basi awawajibishe idara ya Utumishi.
 
Mimi Huwa nikiwaambia, Tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi ,ajiridhishe Kisha atoe ruksa !!.

Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu ,kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina la Palela , haraka haraka nikakumbuka aliwah kutumbuliwa !!

Mwezi wa kwanza alitumbuliwa Kwa jina la Msongela Nitu Palela .
Wahuni ameona sio tabu, wakajua wakianza Kwa jina la Msongela ,watashtukiwa.

Kwenye mkeka wamemuanzia
PALELA MSONGELA NITU .
Hivi ni kwamba Hii Nchi Haina watu ?? Mpaka muwarudishe madaraka watu ambao mliwatumbua Kwa makosa yako ya kibadhirifu, wizi wa Pesa za umma, usimamizi mbovu wa miradi ???

Hivi Rais Samia yeye Huwa hajipi muda wa Kusoma na kupitia anacholetewa ??.

Unamtumbua mtu mwenyewe Kwa sababu ya Makosa makubwa aloyatenda, Ndani ya miezi minne, unamchagua upya ?? Kwamba kakuomba msahama?? Kakiri hatorudia, alisingiziwa ??.

Mama Samia jamani, mbona unatutia hasira sana sisi wananchi ??,. Kwanini watu wasiseme, Nchi inaongozwa na JK??.

Yaan DED alipata Hati Chafu, ukamtumbuaga baadae, Tena baada ya Waziri Bashungwa akiwa TAMISEMI kugundua matakataka ya DED huyu, Leo unamrudisha ??.

Sawa, ngoja waendelee kula, ngoja wananchi Tuendelee kutaabika.

2.Msongela Palela wa zamani
View attachment 2649078

80 Palela Msongela Mpya🤣
View attachment 2649079

Mambo ya Ovyo kabisa !!.
Huyo Michael Augustino Matomora alikua Iramba akamtengua leo kamrudisha tena Iramba .
 
Mungu anaishughulikia CCM kupitia wao weenyewe
 
Back
Top Bottom