rais

  1. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa. Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopita...
  2. JamiiForums Tanzania Ludovick Utouh: Hatuwajibiki Kumshukuru Rais, Kujipendekeza Hakutusaidii

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu, Ludovick Utouh amesema sio sawa kwa Watu kumshukuru Rais kwasababu anachokifanya ni Uwajibikaji na Fedha zinazotumika ni Fedha za Serikali na sio za Mtu. Amesema "Kama kushukuru inabidi Kuishukuru Serikali lakini sio mtu, na sasa hivi kuna...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatengenezewa shida/ugumu ili asigombee 2025?

    Kuna haya masuala 2 yanamuweka rais Samia njia panda ktk nia yake ya kusaka kipindi cha pili cha urais. 1. Kubinafsisha bandari. 2. Kupiga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi. Ikumbukwe kauli ya rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema "2025 mgombea wetu (ccm) wa urais atakuwa mhe. Samia, labda...
  4. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia nisingewachukulia poa tena Watanzania

    Ningekuwa Samia hilo la BANDARI kuhojiwa kwa zaidi ya wiki 2 na Watanzania isivyotarajiwa hakika ningeshtuka na kuwa upande wao kwa kuwasikiliza, kujibu hoja zao mimi mwenyewe na ningetafuta namna bora ya kuliweka ili kuondoa SINTOFAHAMU kubwa nchini! Ukweli ni kwamba Watanzania wamebadirika si...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni apona COVID-19, ajinadi yeye ni Veterani kwa kuushinda Ugonjwa huo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika taarifa yake Jumapili, alisema kwamba matokeo ya vipimo yalirudi yakionesha kuwa hana Covid na sasa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa UEFA Ceferin atoa Onyo kinachoendea Saudi Arabia

    Rais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
  7. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Taifa Stars waipa Milioni 10 kutoka kwa Rais Samia

    Baada ya Tanzania kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa goli la Simon Msuva, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika kuwa #GoliLaMama linaendelea na Taifa Stars imejinyakulia Shilingi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia infuata/inatumia model gani ili kuleta maendeleo ya kiuchumi nchini?

    Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model US wanatumia command and market economic model Sasa, naomba kuuliza kiungwana tu, Tanzania yetu na hasa serikali hii...
  9. JamiiForums Tanzania Heko Rais Samia umetupa jiwe gizani wakapambane nalo!

    Wizi mkubwa unaofanyika bandarini kwa asilimia 75-80 hufanywa na baadhi ya viongozi waandamizi tena wenye heshima kubwa serikalini. Kufunga mkataba huu kutaboresha na kufunga baadhi ya njia za wizi kabisa. Asante mama umenena na wezi kisayansi maana wengine ni watu wazito kabisa. Mifumo yote...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa serikali ya Rais Samia waizima na kuipoteza CHADEMA mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Kasi ya utekelezaji wa ilani ya CCM, uchapakazi wa serikali ya CCM,ujenzi wa miradi kila Kona ya nchi yetu, mafuriko ya maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini kumeizima Kama mshumaa mikutano na harakati zote za CHADEMA mitaani. Kwa Sasa haieleweki Kama chama kipo au...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia asonga mbele na uwekezaji, sasa anayafuta mashirika yote yanayoendeshwa kihasara

    Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria. Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo. Jioneeni wenyewe: Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Ruto awahimiza Viongozi wa Afrika kuacha kutumia dola katika biashara zao

    Right Nyerere na Gadafi wangefufuka Leo wangempa nishani William Ruto kwa kuendeleza jitihada za kuikomboa Africa. William Ruto ameendelea na speech zake za kuhimiza viongozi wenzake kuacha kutumia USD katika biashara za wao kwa wao na kuhimiza kutumia yu pale wanapofanya trade na USA. Msikilize...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta tija, yakifa wafe nayo

    Rais Samia amesema anasubiria ripoti ya Timu aliyoiunda Kupitia mashirika ya Umma yanayoripoti Kwa Msajili wa Hazina Ili juyafutilia mbali Yale ambayo hayana Tija Wala faida. Amesema Mashirika Yatakayokufa basi wahusika wajiandae kufa nayo. “Serikali tumeamua kufanya tathmini ya utendaji wa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mazuri ya Rais Samia tuyaseme kwa nguvu mabaya tumshauri taratibu safari ni ndefu sana

    Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee. Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya asema uongo juu ya chimbuko la mabaki ya binadamu wa kale. Akanywe kidiplomasia

    Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto. Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo. Kwa mshangao, leo...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

    Shaloom wana wema! Nianze kwa nukuu hii ya Jakaya Kikwete, "Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabadiliko ya Viongozi Serikalini yataendelea mpaka mstari unyooke

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko ndani ya Serikali (Aliyoyaita kucheza draft) yataendelea hadi pale mstari "laini" iliyokaa sawasawa itakapopatikana kwenye kila sekta nchini. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Juni 16 2023, wakati akiwaapisha...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Dk. Mwinyi Aelekea Berlin, Ujerumani

    Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi anaelekea Ujerumani kuhudhuria kwenye Ufunguzi wa mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalumu ~ Special Olympics World Games yatakayofanyika kuanzia tarehe 17 hadi 25 Juni , 2023.
  20. JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

    Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari! Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…