rais

  1. JamiiForums Tanzania Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

    Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?! Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
  2. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

    Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi! Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia hababaishwi wala kupotoshwa na wasaidizi wake, bali anajua anachokifanya kwa 100%

    Kumekuwa na dhana ya uongo na upotoshwaji mkubwa dhidi ya utendaji wa rais wetu Mama Samia Suluhu. Kumekuwa na maneno ya mara kwa mara, tena yakurudiwa rudiwa ya kusema wasaidizi wa karibu wa mheshimiwa Rais Samia wanampotosha kwenye mipango na maamuzi ya serikali. Hii dhana sio tu inamkosea...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

    Kwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini imetetereka kidogo. Sina uhakika kama ni hali ya hewa na kibaridi hiki. Lakini hii yaweza kumaanisha...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia atumie kete yake ya mwisho kumaliza utata wa bandari

    Mpaka sasa tumeachwa gizani hatujui mustakabali wa nchi yetu swala la mkataba wa bandari upande wa utetezi ukimsikiliza Mheshimiwa waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na uchukuzi,na msemaji wa serikali hawa wote nimewasikiliza kauli zao kila mtu kila mtu anasema lake lakini bado hawakati kiu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hatimiliki ya hii nchi

    Hawa watu wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hati miliki ya hii nchi, ndiyo wanaona inawapa uhalali wa kuingia katika mikataba yoyote wanayotaka. Kwa maana kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kuwaita wezi, kwa vile hawajaiba kitu cha mtu yoyote. Lakini ukitazama maandiko ya...
  7. JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin: Hatukuwa na lengo la kumpindua Rais Putin

    Kiongozi wa Wagner, Yevgeny Prigozhin ameweka wazi kuwa hakumlenga Putin alipotangaza kuwa wanajeshi wake wangeandamana mjini Moscow akisema: "Hatukuandamana kuupindua uongozi wa Urusi." Katika ujumbe wake wa video wa dakika 11, anasema: "Lengo la maandamano hayo lilikuwa kuepusha uharibifu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwigulu akomalia shs 100 kwenye mafuta, adai yakipanda bei Rais Samia ataweka ruzuku

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tozo ya Tshs 100 kwenye mafuta ni jambo jema kwani inataka kutunisha mifuko ya Serikali katika kutekeleza miradi ya kimkakati. Mwigulu amesema miradi ya maendeleo ambayo Tanzania inatekeleza hakuna nchini yeyote ukanda wa Afrika wanaotekeleza kwa mara...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  10. JamiiForums Tanzania Wizi wa Masega Watua Kwa Rais Samia, Aeleza Mafundi Gereji Wanavyopasua Exhaust

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Jijini Arusha leo June 25,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba siku hizi kuna mtindo mpya wa Watu kupasua bomba linalotoa moshi wenye sumu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Tuzo Mapambano Dhidi ya Dawa za Kulevya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini. Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wabunge wetu, mnataka wananchi wafanye nini msikilize maoni yao na kufanyia kazi?

    Ni swali tu kwenu viongozi wetu hasa kuhusu hili la DP world kupewa Bandari zote za Tanzania Bara. Wananchi hamtaki waandamane maana wakifanya hivyo mnawaona ni kama wanyama wasiostahili kuishi, mtahakikisha wanapigwa ikiwezekana kumiminiwa risasi za moto! Wamekubali hilo, sasa wanatoa maoni...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa angalizo kwa NGO's, ataka Masharti ya wafadhili yaendane na Maadili, Utamaduni wa Tanzania

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wamiliki wa taasisi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinazotoa misaada nchini kuhakikisha wanazingatia mila, tamaduni na maadili ya Watanzania. Samia ameyasema hayo leo Jumapili Juni 25, 2023 katika kilele...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anasalitiwa?

    Ukiifikiria vizuri kauli ya bwana Mbowe aliyoitamka eti HATA WATU WA USALAMA WA TAIFA NA VIONGOZI NDANI YA CCM wanamtaka alisemee hilo jambo la BANDARI ni wazi unang'amua pengine upo usaliti wa wazi ndaniye. Binafsi, kama mwana CCM na muumini wa falsafa ya ukweli na uwazi naona upo utata...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia asizibe masikio dhidi ya kelele za watanzania kupinga kifungu cha 23(4) cha Mkataba wa awali wa DP World ambacho ni cha kitumwa

    Waziri Mkuu, Cassim Majaliwa, alitoa hotuba zuri kuwaalika watanzania kutoa mawazo kuhusu mkataba wa DP World ili serikali iyapokee na kuyachambua. Lakini sasa ni kama bosi wake anamkana. Jana, Rais Samia akiwa anazungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Lukashenko aingilia Mapambano ya Wagner dhidi ya Urusi

    Rais wa Belarus imebidi aingilie kati kumsadia Putin kuongea na Kiongozi wa Wagner kumsihi asiende kuishambulia Russia. Kiongozi wa Wagner amekutana na Yevegny Prigozhin kumwomba asiwafaidishe Wamagharibu na kumtaka asielekee Moscow kumwondoa Putin. Rais huyu wa Belarus inaonekana ameombwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali Yangu Sio ya Maneno ni ya Vitendo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarehe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid...
  18. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji ashinda Tuzo ya Viwanda Afrika, amshukuru Rais Samia

    Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa za viwandani. Mo ambaye ni bilionea namba moja Afrika Mashariki na Kati alitangazwa mshindi jana, nchini Afrika kusini katika kilele cha tuzo za viongozi wa biashara barani Afrika (All Afrika Business...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Dkt Samia Alivyomfuta Machozi Mjane Aliyesaka Haki Yake Kwa Miaka 14

    Serikali mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na timu ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid Campain, wamefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 14 kati ya Fatuma Maganga na Said Mkama ambao ni wakazi wa Mtaa wa Ibinzamata. Fatuma ambaye ni miane amefanikiwa kurejeshewa eneo...
  20. JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema. Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…