Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na...
Kwa mujibu wa Wanasiasa wa Upinzani Nchini Senegal, wamesema Kiongozi huyo ameachana na mpango baada ya kuwepo kwa shinikizo la kumpinga pamoja na maandamano yaliyoitishwa Nchini kote.
Rais akitoa uamuzi wa kutogombea amesema "Senegal ni bora zaidi ya mimi na ina viongozi wenye uwezo mkubwa...
Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa)
Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe.
Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia.
Lakini mbinu aliyoitumia ni...
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi...
Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha...
Hawa watu wa DDC hata kama Wana hati, hawakutimiza sharti la msingi la kulinda ardhi yao.
Hili ni shirika la umma, liko chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, sioni sababu kwa nini lisumbue wananchi.
Rais akilifutia umiliki kwani litamfanyaje? Si ni shirika la umma? Na kiongozi ni Rais...
Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert...
MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE.
"Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana"
"Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani"
"Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna...
NAPE: "Tukiwaambia Rais yupo kwa ajili ya maslahi ya umma muwe mnaelewa. Rasmi amekaa upande wa Wananchi na ameamrisha huo mkataba usimamishwe kwanza. Samia, oyeee!"
GERSON MSIGWA: "Niliwaambia tokea mwanzo Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan ni msikivu na katika hili nalo kawasikia Wananchi...
Nimeona ona humu JF baadhi ya watu wanadai kuwa eti kipindi cha Rais Magufuli watu ambao hivi sasa wanamkosoa Rais Samia, hawakuthubutu kumpinga hadharani kama ambavyo wanampinga huyu mama yao.
Hilo si kweli. Rais Magufuli alipingwa sana na watu. Tena watu wa kada zote.
Kudai kuwa hawa...
Friends and Enemies,
Kwa tuliomsikiliza Wilbroad Slaa juzi pindi akihojiwa na kituo kimoja Cha redio amesikika akitoa kaul nyingi sana za dhihaka na kejeli Kwa serikali,Slaa akafikia hadi hatua ya kusema kwamba Rais AMEJIFICHA,hatoi kaul kana kwamba nchi hii haina Kiongoz.
Slaa lazima atambue...
BILA Kujali timu unayoishabikia wala Mchezaji unayemshabikia.....hili SUALA la Wachezaji wanaocheza ndani na wale wanaocheza nje ya Tanzania Kutoa misaada ya kuwagusa Moja kwa Moja jamii inayowazunguka Ni Jambo jema ambalo linapaswa kuungwa mkono na kuigwa wachezaji wengi pamoja na vilabu...
si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, na wote hatuwezi kuwa viongozi lakini kiongozi mzuri ni yule mwenye haiba ya (stewarship) kutunza rasilimali za watu wake, lakini pia kukubali kukosolewa na kuwa tayari kutumia karama za wengine na kuchanganya na zake ili aweze kusaidia watu anaowaongoza...
Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji anayechapishwa zaidi katika Afrika ya Mashariki.
Uamuzi huo unafuatia pendekezo lililowasilishwa na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) iliyotaka kuongeza Mishahara kwa Maafisa wakuu Serikalini kuanzia Mwezi Julai 2023.
Ruto amesema suala hilo haliwezi kutekelezwa wakati kuna pengo kubwa kati ya Wanaolipwa kiasi kidogo na wenye mapato ya...
Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara.
Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti.
Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za heri ya sikukuu ya Eid el Adh’haa kwa dua maalum akiwataka Watanzania kusherehekea kwa amani, umoja na upendo.
Ametuma salamu hizo leo Alhamisi Juni 29, 2023 kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii huku akiwahimiza Waislamu kutumia siku...
SUALA la Bandari tayari limeshatolewa ufafanuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Elieza Feleshi, Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo.
Sasa nyie mnataka Rais azungumze nini tenawakati...
Katikati ya majonzi na masikitiko makubwa kutokana na baadhi ya watu wanafiki, waongo, wenye upeo na uwezo duni, wanaopigania matumbo yao; kuna faraja kubwa.
Sote tunajua wazi kuwa baadhi ya watu, ama kwa kusukumwa na tamaa ya kujinufaisha wao binafsi, au kwa kukosa maarifa na weledi, wameamua...