rais

  1. JamiiForums Tanzania Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

    Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari. Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana. Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Amtembelea Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu, Jenerali Mrisho Sarakikya, Nyumbani Kwake Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Profesa Victor Chisanga kaambiwa na Mwenyezi Mungu asitii mamlaka kwenye swala na bandari bali ampinge Rais

    https://youtu.be/CsfIiDj5LQY Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais akiri yapo mashirika yalikuwa yanakopa fedha ili watoe gawio kwa serikali

    Nchi hii in maajabu sana; tunadanganywa sana. Kama wapo wakurugenzi walikuwa wanakopa kudeclare gawio kwa serikali tena wakiwasilisha hizo taarifa kwa Mhe. Rais unajiuliza hadi udanganyifu huu ubarikiwe nani na kufanyika mbele ya camera wahusika walikuwa wananufaikaje? Je, hayo madeni nani...
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama yaagiza Rais Mstaafu wa Brazil kuchunguzwa kwa Ubadhirifu na Ukwepaji Kodi

    Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais. Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, Barabara ya Ngorongoro Crater ni mbovu, Watalii wanapata ajali mara kwa mara

    Rais Samia Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa. Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater. Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea...
  8. JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais haionekani tena Mtandaoni, itakuwa imekwenda wapi?

    Toka imeondoka nchini kuelekea kule Arabuni nadhani ndiyo ilikuwa safari ya mwisho hadi leo sijaona ikiwa hapa uwanja wa ndege Dar Es Salaam au kule Zanzibar. Kwenye ile rada maarufu ya kutrack ndege inayoitwa Flightradar24 haionekani, lakini ukiacha hiyo ambayo inawezekana ikafahamika ilipo je...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzindua Miradi Nane Kizimkazi Day"

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua na kuweka mawe ya msingi miradi nane yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni moja iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni kuelekea katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Day) linalotarajiwa kuanza Àgosti 26 mwaka huu. Akiota taarifa kwa vyombo vya...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Sheria na Busara ni mapacha. Mchungaji Mtikila aliwahi kumwambia Rais Mwinyi ‘watamrudisha Zanzibar kwenye jeneza’, hakuitwa mhaini

    Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Apokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao kilichofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
  12. JamiiForums Tanzania Bendera ya Rais kwenye kikao cha CCM imefuata nini?

    Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao. Mbali ya hayo kwenye kikao cha...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu, Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  14. JamiiForums Tanzania Wakili wa Mwabukusi amuangukia Rais Samia, aingilie kati, watuhumiwa kucheleweshwa Mahakamani

    Wakili wa Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude Nyagali wanao shikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za Uhaini, amemuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la watuhumiwa hao...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

    Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi. Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Rais Xi Jinping kuhusu “Utawala wa China” toleo la lugha ya Kiswahili chatolewa

    Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania aliyevurunda nchi ya SADC ni nani? Rais Samia apangua mabalozi akiwepo mmoja kutoka SADC

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida rais Samia ameeleza kupokea ombi kutoka kwa mmoja wa marais wa nchi za SADC akimwomba rais Samia ambadilishe balozi wa Tanzania aliyeko nchini “kwake” kutokana na utendaji wake mbovu. “Nilishakutana na Rais mwenzangu ndani ya nchi za kiafrika, ndani ya Sadc...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema. Pamoja na serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu kupongezwa na wadau mbali mbali wa haki za binadamu katika maeneo mengi ikiwemo kutoa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni uhuru, sakata la...
  19. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi za Shirika la Reli na VETA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania. li) Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na...
  20. JamiiForums Tanzania Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…