rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan Belete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2026. Bw. Belete ambaye kwa sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Ziara ya rais Trump pamoja kundi lake na hapo hapo Elon musk na mtoto wake.

    Ukifika malekani ukisikia neno mfia nchi au mzalendo basi ni jambo rahisi kuona kila nyumba ikiwa na bendera ya marekani. Nchi zenye kupenda watu wake zinaangalia utaifa na watu wake.Sio huku tanzania Amani labda za wanyama ambao hawa wezi kuuliza. Kuna mda unaweza kusema sisi ambao raia...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Museveni; Africa iliachwa nyuma kimaendeleo na Asia kwa sababu ya kutaifisha biashara za sekta binafsi.

    Huyu mzee ana madini hatari. Msikilize https://www.facebook.com/share/v/18Z3GKN5RQ/
  4. U

    JamiiForums Tanzania Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  5. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania: Mkutano wa Rais Suluhu na Dangote

    Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji. Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji wengine wa ndani na nje kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na sekta binafsi.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Aliko Dangote Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Aliko Dangote Wakutana Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Aliko Dangote Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Rais angesema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa nina uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

    Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu --- Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Kuwa Karibu na Wananchi Kupitia Majibu ya Moja kwa Moja

    Watu wa karibu na Samia Suluhu Hassan wanapaswa kumshauri kwamba rais si tu kiongozi wa nchi, bali pia ni taswira ya hisia na matumaini ya wananchi. Kuna wakati wananchi hawahitaji hata suluhisho la haraka, wanahitaji kuona tu kwamba rais ameona tatizo lao na amelizungumzia kwa uwazi na kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa hifadhi ya Jamii ya watumishi wa Umma (PSSSF)

  13. H

    JamiiForums Tanzania Pigo Kubwa Kwa Iran: Rais Xin Ping wa China Amesema China na Marekani Zinatakiwa Kuwa Washirika na Siyo Washindani

    Siku zote tunasema kuwa China haiwezi kukubali kuingia uhasama na USA, jambo ambalo linaweza kuathiri uchumi wa China kwa kiasi kikubwa sana. Kwa nchi ya China, kipaumbele chake kikubwa ni uchumi wa China. Nchi ikiwekewa vikwazo, China inawahi haraka ili kujipatia bidhaa kwa bei nafuu isiyo na...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Dar es Salaam 14 Mei, 2026 YAH: KUVUNJWA KWA BODI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hebu sikia kilio cha wakulima wa Tanzania kuhusiana na Mbolea. Mfuko mmoja wa mbolea za DAP, UREA na CAN unauzwa 120,000-130,000

    Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa hakuna mbolea huku wale walionazo stoo wakiuza kwa bei ya kuumiza wakulima kwa wastani wa shilingi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

    Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena. Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
  17. JamiiForums Tanzania Heche: Sina Tatizo Binafsi na Rais Samia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche amesema hana tatizo binafsi na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Heche ameyasema hayo jijini Mwanza wakati akizungumza kwenye kongamano la Wasomi wa Vyuo Vikuu lililoandaliwa na Mtandao wa Wanafunzi wa...
  18. JamiiForums Tanzania DED Mbeya DC: Namshukuru Rais Samia kutoa fursa ya ajira 259 kati ya Januari - Mei 2026

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica E. Yegella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fursa ya ajira mpya takribani 259 katika kipindi cha mwezi Januari na Mei 2026. Katika kipindi cha mwezi Januari, Halmashauri ya Wilaya ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ni hoja ya isiyofaa kupendekeza rais Samia aongezewe muda kukaa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.

    Kwanza mpaka sasa hivi kama alivyosema Mzee Warioba alipigiwa kura na Tume ya uchaguzi ya Jaji Mwambegete sio wanannchi. Mchakato wa katiba mpya upo tayari maana rasimu ya warioba tayayri ilishaweka kile ambacho watanzania wanakihitaji. Yaani katiba ambayo itakidhi mahitaji ya Watanzania. Ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Donald Trump anatua Beijing, na pamoja na Wakurugenzi Wakuu kuomba "mikataba" na Rais wa China Xi Jinping: hali ya uchumi Marekani ngumu

    Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump anatua Beijing, na pamoja naye analeta Wakurugenzi Wakuu wafuatao kuomba "makubaliano" na Rais wa China Xi Jinping: – Elon Musk, Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX – Jensen Huang, Mkurugenzi Mtendaji wa Nvidia – Tim Cook, Mkurugenzi Mtendaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…