Balozi Uturuki Amfariji Rais Samia Kizimkazi

Balozi Uturuki Amfariji Rais Samia Kizimkazi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
730
Reaction score
658
Mheshimiwa Bekir Gezer, Balozi wa Uturuki hapa nchini akimfariji, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.
IMG-20260911-WA0118.jpg
IMG-20260911-WA0117.jpg
IMG-20260911-WA0116.jpg
IMG-20260911-WA0115.jpg
 
Mbona huyo balozi nikama anataka kuleta taharuki??hajampa kumbato Wala kupiga goti kwa mtukufu kobe
 
Hicho kiti wambadilishie mpaka eda kuisha atakuwa amechoka sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom