Kwanini hakuna madiwani wa kuteuliwa na Rais??

Kwanini hakuna madiwani wa kuteuliwa na Rais??

Nina Akili Ndogo Sana

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
675
Reaction score
879
NB: Nina Akili Ndogo Sana.

I'm just asking out of curiosity, kwanini hakuna madiwani wa kuteuliwa na Rais/Makamu wa Rais/Waziri mkuu/mkuu wa mkoa??

Tunaona wabunge wa kuteuliwa ila madiwani wa kuteuliwa hatuna, why??

Au wapo ila mimi ndio kilaza/zumbukuku sijui??
 
tunao madiwani wa viti maalumu kwa mujibu wa katiba, lakini pia katiba haijaeleza chochote zaidi ya wabunge wa kuteuliwa na Rais.

So,
kwa ufipi, hilo ni jambo la kikatiba na sio takwa binafsi la kiongozi 🐒
 
Gentleman,
katiba ni mali ya wananchi na wao ndio waliamua iwe hivyo. Lakini siku zingine huko mbeleni wakiaamua vinginevyo ni sawa pia, but kwa sasa hivyo ndivyo ilivyo na ndivyo inavyofanyika kwa mujibu wa sheria 🐒
Sawa gentleman. Asante Sana kwa majibu yako ya kiungwana.
 
Back
Top Bottom