rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anarudi zama za siasa za chuki au anawajibu wanaombipu?

    Kuna features kadhaa kuhusu matukio makubwa mawili yaliyojiri siku chache zilizopita, la kukamatwa Mheshimiwa Mbowe na viongozi wengine kadhaa wa Chadema, na kabla ya hapo, kukamatwa kwa wafuasi kadhaa wa chama hicho, matukio yaliyojiri huko Mwanza. Kwanza, hoja za jeshi la polisi na mkuu wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Rais Samia anza na Kilimo kukuza uchumi

    Katika hotuba mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake ya dhati kukuza uchumi wa taifa letu pamoja na kustawisha ustawi wa mtu na maendeleo yake. Haya ameyasisitiza katika hotuba zake wakati wa siku ya wafanyakazi na alipokutana na wazee wa Dar es Salaam. Katika hafla hizi...
  3. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia alikuwa haaminiki au ndiyo mfumo wa ulinzi na usalama ulivyo?

    Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama Makamu wa Rais alitakiwa awe anajua! Nakumbuka hata Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuwa hajui...
  4. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kuchukua mazuri yote katika hotuba ya Mbowe ya Mwanza

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania akila kiapo cha kuilinda katiba ya Tanzania Hapo awali nimefupisha hotuba ya Mbowe kama ilivyotolewa kwa waandishi wa habari pale Mwanza jana. Sasa niko tayari kuifanyia uchambuzi kulingana na taarifa za ziada nilizozikusanya kutokana na wadatishaji wangu...
  5. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, bila mabadiliko ya msingi ya Sheria hutapata wawekezaji makini

    Natambua kuwa Rais Samia anataka kuvutia uwekezaji wa ndani na nje lakini hajagusa maeneo ya msingi ambayo yanaangaliwa na wawekezaji. 1) Nchi ambayo sheria za kodi zinabadilishwa kila mwaka, kamwe haiwezi kuvutia uwekezaji mkubwa kutoka kwa wawekezaji makini Kati ya vigezo vikubwa...
  6. Babe la mji

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mtumie Profesa Assad akusaidie kwenye Uchumi

    . Ni mkweli . Sio mnafiki . Anasimamia ukweli . Ni mcha MUNGU . Hajipendekezi . Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi. Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie watu wa aina hii. Sina maslahi nae nimetoa ushauri tu na hii ni kutokana na weledi wake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hili baraza la sasa siyo lako, ni la Magufuli akishauriana na Majaliwa, tengeneza baraza lako!

    Ndugu rais Kiungwana niseme kwamba nimefarijika angalau kidogo kwa wewe kuchukua hatua ya kurejea makato ya miamala na kutoa muongozo kuwa makato hayo yaangaliwe upya. Binafsi naona kwamba huo ni usikivu na ni ukomavu. Kwa sababu kiukweli kabisa hii kitu ilikuwa imetukalia vibaya sisi wananchi...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la Tozo, Rais Samia ataibukia hapa kuonesha ni msikivu

    Mbinu ni zile zile hakuna jipya katika Serikali zetu za Kiafrika. Kutengeneza tatizo halafu unalitatua. Tumeona jinsi ambavyo sasa wana CCM wameambiwa wajifanye kumwomba Rais Samia aangalie suala la tozo mpya ya miamala ili baadaye Rais aseme amesikia kilio cha wananchi na kuondoa. Inabidi...
  10. mshale21

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kumbuka mgema akisifiwa tembo hulitia maji

    Naomba kuwasilisha! Mama ulianza kwa kupika mvinyo mwanana wa uongozi mpaka wasiofungamana na wew kiitikad (ikiwemo Mimi mshale21) wakaukubali kwa utam kisha wakaonesha hisia zao kua huenda mwelekeo ukawa sawa! Sasa umepata sifa umeanza kupiga dilution kwenye mvinyo Sasa hauna Radha na hakuna...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

    1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii 2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho. 3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu 4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana 5...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, umerithi wasaidizi hivyo umerithi miiba pia

    Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025. Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa Wasaidizi uliohama nao kutoka Awamu ya Tano Katiba Mpya...
  13. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzuru nchini Burundi 16 Julai, 2021

    Masala Sayi Chuo Kikuu cha Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021. Ziara hiyo imekuja kama mwaliko wa Rais wa Taifa hilo Mh. Evariste Ndayishimiye.Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi...
  14. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu na wachumi wenzako mnalihujumu taifa, rudini mezani

    Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa kiwango kizuri. Wao kwa uelewa wao wameaminishwa kwamba miamala ya kibenki imepungua kwakuwa tozo za...
  15. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wakiitukana awamu ya 5 waanza kujuta, watakiwa kuchutama

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshauriwa kama mtu mzima aombe msamaha kwa watanzania kwani mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kukimbia uchi. Ni miaka sita sasa tangu Tundu Lisu aitabirie Tanzania mabaya ikiwemo kushitakiwa MIGA, ndege kukamatwa, uchumi kufilisika, kunyimwa...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania DKT. Mollel: Rais Samia ametoa bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    "Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
  17. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awahakikishia Umoja wa Ulaya kuwa na utawala wa kidemokrasia

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya(EU), Charles Michel ambapo amemsifu Rais Samia kwa hatua anazochukua kukabiliana na #COVID19. EU wamesema wako tayari kushirikiana na viwanda mbalimbali vinavyozalisha chanjo ya #COVID19 barani Afrika ikiwemo...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Wafanyabiashara kufuatia kuungua kwa soko la Kariakoo

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kufuatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa soko hilo. Kufuatia hasara kubwa iliyotokana na moto huo, Rais Samia ameviagiza vyombo vya ulinzi na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais Samia Suluhu, Tundu Lissu Amsifia sana, ataka maboresho zaidi ya kimfumo

    Akiwa katik maahijiono ya maswala mbali mbali ya kisaisa, kijamii na uchumi nguli huyo wa sheria na siasa za afrika mashariki amejikita ktk maswala ya 1. Haki 2. Ukweli na usuluhishi 3. Mabadiliko ya katiba 4. Harakati za kisiasa 5. Mageuzi katika uchumi wa Tanzania 6. Maendeleo endelevu. Tundu...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

    Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe. Pia soma > Mbowe awataka wananchi...
Back
Top Bottom