rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yoyote. Rais Samia hakupaswa kulalamika yeye kutosikilizwa . Ni

    Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT. Sasa kama rais wetu analalamika kuwa ushauri wake haukufuatwa ina maana...
  2. Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
  3. Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

    Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza. Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha! Hali hiyo...
  4. B

    Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

    Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa. Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa. Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open...
  5. Kama Rais Samia anashaurika na msikivu awafute kazi ya uwaziri January Makamba na Nape, ni mawaziri mzigo kwa taifa

    Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za...
  6. J

    Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

    Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19. Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema...
  7. Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli. Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
  8. Rais Samia atuma rambirambi Afrika Kusini kwa mafuriko yaliyoua watu zaidi ya 300

    Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa taifa hilo, Rais Cyril Ramaphosa. “Kwa niaba ya Serikali na Watanzania natuma salamu za rambirambi...
  9. Rais Samia Suluhu akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala D. Harris

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani. "Utawala wetu umedhamiria kwa dhati kuimarisha ushirkiano na Tanzania na nchi za Kiafrika kwa ujumla" - Kamala Harris “Nashukuru sana...
  10. Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo: Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC...
  11. Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya Leo ikiwa ni makala ya swali la hypothetical question (swali la kufikirika), Kwa njia ya "thinking aloud", yaani unawaza kwa sauti. Hii ni makala mwendelezo wa makala hii Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN...
  12. N

    Kosa kubwa sana alilolifanya Rais Samia la kusema vitu vitapanda bei hadharani linazidi kutugharimu sana mtaani!

    Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta...
  13. Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Katiba Mpya (Sehemu ya kwanza)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) 🔵KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️ Tabata,Dar es salaaam stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA Shikamoo mama,Pole na majukumu mazito...
  14. M

    Tafadhali mwenye Picha za Walinzi wa Rais Samia walivyokuwa awali na walivyo sasa anisaidize nazo

    Kuna Wawili kana sijakosea walipokabidhiwa Majukumu walikuwa kama Fidodido tu, ila naambiwa sasa wanakaribia kufanana na Mapipa ya SIMTANK. Na mwenye Picha za waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli kabla hajafariki dunia mwaka Jana na walivyo sasa tafadhali aniwekee kwani nataka kufanya...
  15. B

    Kuna uwezekano mkubwa Rais Samia kuonana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden

    Kuna uwezekano mkubwa wa Rais Samia kuonana ana kwa ana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden kwenye ziara yake hii. Ifahamike mambo ya ugaidi wa kubambikiziana tumeshaachana nayo na tumeonyesha nia njema ya kuzungumza na wapinzani katika hatua mbalimbali. Ikumbukwe pia kuna...
  16. M

    Kwanini Watanzania hatujaambiwa Ziara ya Rais Samia huko Marekani itakuwa ni ya Siku ngapi?

    Tumeishia kuambiwa tu anasafiri Kikazi nchini Marekani ila walipa Kodi ( Watanzania ) hatujaambiwa Rais wetu atakuwa huko kwa Siku ngapi. Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu hapa mmeteleza kidogo kwani Watanzania wana Haki ya kujua Rais wao atakuwa huko nchini Marekani kwa Siku ngapi hasa...
  17. M

    Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

    Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani. Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua...
  18. Mnamshambulia Rais Samia kwa kivuli cha January Makamba

    Halafu kinachonisikitisha ni namna mnavyotumia Ukabila, eti tuonekane Wasukuma na watu wa Kanda ya Ziwa kwa ujumla hatumtaki Rais wetu. Ni nani aliyewaroga ninyi? Juzi hapa Joel Luhaga Mpina katoka hadahrani akiwa amekula maharage, akaanza kuropoka maneno. Anamshambulia Rais Samia na Serikali...
  19. J

    Naungana na Rais Samia, ni kweli taifa lilitetereka kwa ubaguzi wa kiitikadi na kikabila kipindi cha nyuma

    Rais Samia jana alisema hapo katikati tulitetereka kidogo tukaanza kubaguana kwa itikadi, ukanda na ukabila, hakutaja ni kipindi cha Magufuli, lakini wafuasi wengi wa Magufuli wakasema anamlenga Magufuli Hili linaashiria kuwa ni kweli Magufuli alikuwa mbaguzi hadi ubaguzi unapokemewa tayari...
  20. P

    Rais Samia upole ukizidi watataka wakae juu ya mabega yako, kuwa mkali kidogo.

    Urais wa Samia Suluhu Hassan umeanza na upole. Umeanza na uungwana wa kuwa tayari kupoteza baadhi ya marafiki ili mradi tu taswira yake kimataifa iweze kubakia na heshima. Akaenda Ubelgiji akaonana na Tundu Lissu wakati ambao wapo wana CCM wengi tu wasingependa kumuona akijishusha (kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…