rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, Wakili Peter Madeleka amesema watu wengi wanaomchukia hawamwambii ukweli Rais Samia zaidi wanaishia kumsifia hata anapokosea. Amesema Rais Samia anatakiwa kukaa na kutafakari kusudi la Mungu wake kumfanya awe Rais kwasababu hakupigiwa kura...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Rais Samia alitoa mamlaka mkataba wa bandari kusainiwa kwa niaba ya Dubai wakati yeye ni Rais wa Tanzania pekee

    Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, sasa wasafirishaji wa Kenya wanakuja Tanzania kununua mafuta

    Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita . Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023 jijini Arusha. === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo barani Afrika ni...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Mzee Karume Watunukiwa Tuzo za Heshima Katika Maadhimisho Miaka 60 ya JKT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalum ya heshima katika katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Tuzo Maalum pia zimetolewa kwa waasisi wa Taifa letu ambao pia ni waasisi wa Jeshi...
  6. JamiiForums Tanzania Tukio la Familia ya Mzee Ishengoma kuvamiwa usiku Dar, wanaishi kama Digidigi, mmoja anusurika kifo mara 3, waomba msaada kwa Rais Samia

    Hofu imetanda kwa familia ya Mzee Ishengoma ya Goba Jijini Dar es Salaam baada ya hivi karibuni kundi kubwa la watu ambayo idadi yao haikujulikana mara moja kuivamia familia hiyo nyakati za usiku na kufanya uharibifu mkubwa wa mali. Tukio hilo ambalo limeripotiwa tayari katika Kituo cha Polisi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho va Miaka 60 ya JKT katika Uwanja wa Jamhuri - Dodoma leo terehe 10 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema vijana wanaopita JKT wanapaswa...
  8. JamiiForums Tanzania Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, siku za Jumapili, nikiwa nimejimpumzikia home baada ya ibada, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za KMT, kwa maslahi ya taifa, ambazo ni za kuwafunda wadogozetu humu, makala ya leo ni makala ya kufunda wadogozetu humu kuhusu heshima ambacho ni kitu...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo kama haya yanamtafsiri Rais Samia kuwa kiongozi wa gani?

    JE, RAIS SAMIA NI DIKTETA? 1. Kwanini hakemei viongozi wake wanaotoa vitisho dhidi ya watu wanaotoa maoni yao kuhusu mkataba tata wa bandari? 2. Kwanini serikali yake iliuficha mkataba huu mpaka ulipo vujishwa na mtu mtandaoni ndipo ukapelekwa bungeni? 3. Kwanini ametoa kauli kuwa ameziba...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza vikao vya uongozi wa CCM ngazi ya Taifa leo Julai, 09,2023 jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo, Julai 09,2023 katika Ukumbi Wa (White House) Jijini Dodoma
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Asema JKT Inatekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kuienga Taifa (JKT) kesho, amesema IKT itaendelea kutekeleza, agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuibua na kutambua vipaji vya vijana na kuviendeleza. Bashungwa aliyasema hayo jana...
  12. JamiiForums Tanzania Royal Tour ya Rais Samia yaipaisha AICC

    Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Ephraimu Mafuru amesema Tanzania imepanda hadi kuwa nchi ya tano kutoka nchi ya 11 barani Afrika kwa utali wa mikutano hatua iliyochangiwa na uzinduzi wa filamu ya The Royal Tour iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  13. JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Rais Samia kwa Yanga na athari ya haki kwa waamuzi

    Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unanisikitisha sana; hukujifunza kwa Kikwete na hutaki kijifunza kwa Magufuli

    Nikianza na JK: Mpaka unapata bahati ya kuingia ikulu, hakuna mtu aliyekuwa mpole na fea na mpenda watu kama JK, hakuna! -Aliwapa watu uhuru wa kuongea. -Waliotaka kuandamana walikuwa wanapewa nafasi. -Ajira, hususani afya na elimu, alikuwa anaajiri kila mwaka; tena wote! -Nyongeza za...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kuona Rais Samia atafanya nini kwenye sakata la Bandari

    Suala la mkataba wa kubinafsishwa kwa bandari za Tanzania limekuwa gumzo kubwa la kisiasa kuwahi kutokea hapa nchini. Sakata hili limewaamsha watanzania wengi kuhusu mikataba ambayo viongozi wetu huingia kwa niaba ya Taifa zima na umuhimu wa kuwa na viongozi wazalendo wenye kusimamia maslahi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake tumuunge mkono Rais Samia kuvutia uwekezaji

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

    Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world) Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Vikao vya Uongozi wa CCM Ngazi ya Taifa, Jijini Dodoma, Tarehe 9 Julai 2023

    Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma. Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Picha za matukio: Ziara ya Rais Samia Nchini Malawi akiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Chakwera

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni View Point pamoja na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Maeneo yaliyoathirika na Kimbunga Freddy, Blantyre nchini Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…