rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kutafuta chaka la kujifichia. Anayetukana sheria ichukue mkondo wake

    Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa. Sasa inashangaza rais anatupotezea muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika? Hii ni ishara ya rais kukosa hoja.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 4.6 za Rais Samia Zaondoa Changamoto ya Maji Jimbo la Hai

    BILIONI 4.6 ZA RAIS SAMIA ZAONDOA CHANGAMOTO YA MAJI JIMBO LA HAI Serikali imefanikisha upatikanaji wa kiasi cha Sh Bil 4.6 kwa ajili ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi katika jimbo la Hai kwa kuboreshaji mradi wa maji wa Hai mjini ,Upanuzi wa mradi wa maji NIre-...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Katiba mpya hadi watu wasome waelewe maana ya katiba hata hii tuliyonayo

    Dude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe waelewe maana ya katiba kwani hata tuliyonayo hakuna anayeifahamu. kuhusu katiba mpya jambo hilo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    "Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama va Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 katika viwanja vya Ikulu, jijini Dares Salaam...
  6. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Lissu Antipas Tundu aweza kuwa kiongozi mzuri kumpita Rais Samia?

    Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi. # Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa; # Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar; # Lissu ni...
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

    Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha. Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania 2025-2030 Tanzania kufanikiwa kufika nchi ya ahadi chini ya Rais Samia. Naiona Tanzania mpya

    Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema YAMETIMIA, RAIS SAMIA AMEFANIKISHA. Kufika nchi ya Ahadi sio jambo dogo na ugumu wake tunaona kwenye...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rose Busiga awataka Wanawake Nyang'wale kuendelea kuwa Jeshi la Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum mkoani Geita Mhe Rose Busiga amewataka wanawake wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita kuendelea kuwa jeshi la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa wanawake wanapaswa kujivunia kuwa na Rais mwanamke kwani hiyo ni hatua nzuri...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utani wa Rais Samia na Ruto kuhusu lugha ya Kiswahili na Kingereza

    Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  13. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!. Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba. Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu. Mimi binafsi simpendi na si...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini. Waziri Jerry amewahimiza...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kufuzu kwa Taifa Stars AFCON ni Unabii mwingine wa Ushindi wa Rais Samia Mwaka 2025

    Nawakumbusha tuu ni katika Uongozi wa Rais Samia ndio Taifa hilimlimepata mafanikio makubwa sana kwenye sekta zote kuanzia uchumi na Biashara, Huduma za jamii Hadi Michezo. Hivi ndivyo Rais Samia atapeta na kupenya licha kuzushiwa chuki, Ubaguzi na upuuzi mwingine na Chadema. Kufuzu Kwa Taifa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki chakula cha Jioni (Africa Food Prize - Gala Dinner) - Ikulu

    https://www.youtube.com/watch?v=J0ZiggITXdI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki chakula cha jioni na Afrika Food Prize - Gala Dinner alichowaandalia wageni waliohudhuria mkutano wa AGRF leo tarehe 07 Septemba, 2023 katika viwannja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ni kigogo au fisadi gani papa amewahi kuburuzwa mahakamani tangu Rais Samia ashike usukani?

    Vigogo wako juu ya serikali awamu hii, wanatamba na kufanya wapendavyo. Na hakuna wa kufanya fyoko. Hakuna kigogo yeyote wa serikali, hata waliotajwa na CAG kuwa wamefuja mali za umma ambaye ameburuzwa mahakamani hadi leo. Mama anabakia kusema tu "stupid" lkn hayagusi haya majitu mazito kuliko...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa Afrika,mtetezi wa waafrika na sauti ya Afrika mama Samia Suluhu Hasssan ametupatia heshima...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF), leo Septemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF) inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 07 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/xAtezYAOGFE?si=qxG0Me86MAnoOkRU...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tatizo la serikali hii ya Awamu ya Sita si wateule bali ni Mteuzi na Mwapishaji

    Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu. Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua. Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa...
Back
Top Bottom