rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri zilizofanya na Edward Lowassa katika nafasi mbalimbali alizowahi kuzishika serikalini. Aidha...
  2. JamiiForums Tanzania Mwijaku: Nikifa nisizikwe mpaka Rais Samia aje kwenye msiba wangu kunizika

    Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika. Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake wa "X", "WOSIA-ikitokea nimetangualia mbele ya thki kabla ya Rais wetu Samia Tafadhali familia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wasikilize wananchi wanaodai Katiba, tuendako kuna giza nene. Wasikudanganye waliokuzunguka, tulipofika siko tulikotoka

    Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga kwao au kutoa Amri. Kuna ukweli karibu watu wote wanaukiri kuwa tunahijai katiba mpya! Hatawa...
  4. JamiiForums Tanzania Fred Lowassa kumshukuru Rais Samia pekee kwa matibabu ya Baba yake, atakuwa amekosea

    Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi Kwa kutamka kuwa kama siyo Kwa msaada mkubwa aliotoa Rais Samia, baba yake asingeweza kufikia majuzi...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

    Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu. Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

    Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi alipofariki" kwamba ni Samia alijitolea Kwa hali na mali kuhakikisha Lowassa anapata matibabu...
  7. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    "Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike" "Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia...
  9. JamiiForums Tanzania Wamisionari waliofika Tanganyika walikuta watu wamestaarabika na wanajua kusoma na kuandika

    Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika, kusoma na walikuwa wameelimika katika hesabu. Mmishionari Ludwig Krapf alipofika kwa Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848 alimkuta yeye na wanae wote wanajua kusoma na kuandika. Krapf alikuwa na barua mkononi kutoka...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

    Nawasalimu. MIMI NI MZALENDO.. Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote. Leo Rostam kaingia live kuelezea kuhusu Lowassa cha ajabu location yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko. Kwani Rostam yeye...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

    Rais Samia Suluhu amekutana na Papa Francis mjini Vatican. Angalia picha hapa, VIDEO: TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA Picha - Mwananchi Written by Mjanja M1 ✍️
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KKKT Arusha wampongeza Rais Samia kwa kuruhusu Maandamano ya Amani ya Chadema jijini DSM, waomba aendelee kusikiliza Sauti ya Mungu

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati anayestaafu Dr Tavsangwa amempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuyaruhusu Maandamano ya Chadema yaliyofanyika jijini DSM. Askofu amesema yawezekana Sauti za kukataa Maandamano zilkuwa nyingi kutoka Bungeni, Mahakama, Vyama vya Siasa, Wananchi nk...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha na Makamu wa Rais, Philip Mpango amelitangazia Taifa. Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama yatengua uamuzi wa Rais Samia kumstaafisha Afisa wa PSSSF

    Mahakama imemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kumrejesha Komanya Kitwala katika ajira yake. Ni wa kumstaafisha utumishi wa umma kwa masilahi ya umma aliyekuwa Ofisa Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Komanya Kitwala.
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Poland, Andrzej Duda, Ikulu ya Dar es Salaam, Februari 9, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland Mhe. Andrzej Duda Ikulu jujini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2024 ''Poland imekuwa ikichangia shughuli mbalimbali za maendeleo hapa nchini ikiwemo sekta ya afya, ambayo itatekeleza...
  16. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa

    Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina. "Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na...
  17. JamiiForums Tanzania Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki

    https://www.youtube.com/watch?v=st-YFWzMvWQ RAIS SAMIA: UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na utawala bora utadumishwa kwa watu wote wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
  19. JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli: Hakuna kiongozi mteule anayemuogopa Rais Samia

    •Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema. •Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha. Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu. Hivyo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 64 ya Rais Samia, safari ya kusisimua kutoka Karani wa Masijala hadi Mkuu wa Nchi

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Januari 27, 2024 Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alitimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake akihudumu nyadhifa ya juu kabisa nchini toka achukue mikoba hiyo Machi 19, 2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…