rais magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Rais Magufuli amsamehe mkurugenzi wa Kahama aliyejinunulia gari kinyume cha sheria, aipandisha hadhi Kahama kuwa Manispaa!

    Source TBC Hongera mkurugenzi kwa kuchapa kazi na kuipaisha Kahama kuwa manispaa. Maendeleo hayana vyama!
  2. Replica

    Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
  3. J

    Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

    Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV. Up dates; Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya. Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka. Maendeleo hayana vyama!
  4. Mzee Mwanakijiji

    Swali Gomvi: Korona 2.0 kwani Rais Magufuli ni mbia wa maisha yenu?

    Korona 2.0 Kwani Rais ana Ubia na Maisha Yenu? Na. M. M. Mwanakijiji Naandika kama shabiki wa Magufuli; naandika kama mtu ambaye nimeelewa malengo yake na mitazamo yake, na ninaandika kama mtu ambaye sijaegesha akili yangu mahali mwenyewe nikaondoka. Nimesoma na kufuatilia mijadala ya kile...
  5. K

    Nina mashaka kuwa wasaidizi wa Rais Magufuli wanamdanganya

    Tahadhima kwenu kizazi Cha Covido-19! Leo akihutubia kijijini kwake Chato katika uzinduzi wa shamba la miti (Silayo Forest) Rais Magufuli alitumia jukwaa hilo kutoa msimamo wa Serikali kuhusu vita kuu dhidi ya janga la Corona. Pamoja na mambo mengine, Magufuli ameonya Watanzania kujihadhari na...
  6. K

    Nina mashaka kuwa wasaidizi wa Rais Magufuli wanamdanganya

    Tahadhima kwenu kizazi Cha Covido-19! Leo akihutubia kijijini kwake Chato katika uzinduzi wa shamba la miti (Silayo Forest) Rais Magufuli alitumia jukwaa hilo kutoa msimamo wa Serikali kuhusu vita kuu dhidi ya janga la Corona. Pamoja na mambo mengine, Magufuli ameonya Watanzania kujihadhari na...
  7. Replica

    Uzinduzi wa shamba la miti Chato kesho, Rais Magufuli kuwa mgeni Rasmi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuzindua Shamba la Miti Chato kesho Januari 27, 2021 katika eneo la Butengo, Wilaya ya Chato, Mkoani Geita. Wananchi maeneo husika pamoja na wananchi wote mnakaribishwa...
  8. konda msafi

    Nimemsikia Rais Magufuli akiwaambia walinzi wake "Msiwazuie watu wake, watu wake waacheni waje"

    Wajuzi wa mambo naomba mnieleweshe hapa. Nimemsikia rais akiwaambia walinzi wake kuwa wasiwazuie watu wa rais wa Ethiopia kuingia ndani. Wakati tu wameingia Ikulu ndogo ya Chato, zikawa zinatokea zile pilikapilika za kupiga picha, rais Magufuli akasikika akiwaamrisha walinzi wake wasiwazuie watu...
  9. Kichuguu

    Adui wa legacy ya Rais Magufuli: Kuminya Demokrasi au kushindwa kudhibiti maambukizi ya Corona?

    Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu. Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale...
  10. Dam55

    BBC na propaganda za kisiasa, kumuongezea maneno Rais Magufuli

    Magufuli awataka wakulima wa taifa hilo kulisha dunia baada ya corona Rais Magufuli wa Tanzania. Rais wa Tanzania John Magufuli, amesihi wakulima nchini humo kuongeza kiwango cha uzalishaji wa chakula akibashiri uhaba wa chakula duniani baadaye mwaka huu kwasababu ya janga la virusi vya...
  11. Mama Amon

    Askofu Bagonza, barua ya kumkaribisha Rais Magufuli Mkoani Kagera na tahakiki ya mjadala tunduizi

    A. UTANGULIZI Rais wa Tanzania, John Magufuli alikuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi wilayani Karagwe na baadaye Wilayani Bukoba tangu tarehe 18 Januari 2020. Inaonekana kuwa, siku hiyo, Askofu Dr. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, aliandika barua tepe kwa ajili ya kumkaribisha Rais...
  12. J

    Bukoba: Rais Magufuli ashuhudia utiaji saini mkataba kati ya serikali ya Tanzania na kampuni ya LZ Nickel. 'Multipurpose Smelter' kujengwa Kahama

    Tukio liko mubashara TBC na Upendo tv. Karibu. Up dates; ======= 10:19 Asubuhi: Kinachoendelea kwa sasa ni sala na dua kutoka kwa viongozi wa dini, kabla uliimbwa wimbo wa Taifa. Katibu Mkuu- Wizara ya Madini: Mheshimiwa wa Rais kwa heshima kubwa naomba kukukaribisha katika hafla hii ya...
  13. robinson crusoe

    Rais Magufuli, Tumeiona Ihungo mpya. Jengeni Ihungo nyingine kila mkoa

    Mh. Rais, Asante kwa ukarabati wa shule ya sekondari Ihungo. Kiuhalisia huo ni ujenzi mpya. Kwa umuhimu wa elimu na kiasi kikubwa cha wanafunzi ktk sekondari zetu, Nikuombe utumie nguvu yako kujenga shule zingine za aina hii ktk kila mkoa. Gharama ya Bilioni 10.5. Ukitenga Bilioni 400...
  14. J

    Wakati Rais Magufuli amegoma kusaini hukumu za waliohukumiwa kifo Rais Trump ameendelea kunyonga hadi wiki yake ya mwisho!

    Kiukweli binadamu tumetofautiana sana. Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa. Rais Magufuli alisisitiza kuwa hana mpango wa kusaini hukumu yoyote ya kifo hadi anatoka...
  15. J

    Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

    Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana. Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini...
  16. Mantombazane

    Rais Magufuli tusaidie Wananchi tunaopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege Iringa. Tanroads wanatusumbua sana kutulipa fidia ya mali zetu

    Mheshimiwa Rais tumehangaika mapaka tumeona tukuandikie kupitia jukwaa hili utusaidie sisi wanyonge wa kijiji cha Igingilanyi ambao tumetakiwa kuhama ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Nduli uliopo katika manispaa ya Iringa. Baada ya kuelimishwa wananchi hatukuwa na pingamizi la mradi...
  17. beth

    Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa. Akizungumza kutokea...
  18. M

    Nampenda Rais Magufuli ila kwa sheria hii ya fao la kujitoa, nakosa ujasiri wa kusema " MITANO TENA" kwake

    Kwa wale tunaofanya kazi sekta Binafsi tunafahamu ni kwa kiasi gani sheria hii inatumika Kama kitanzi katika maisha yetu kwani wengi wetu hatuna mikataba ya kudumu hivyo Ni wachache wenye uhakika wa kufanya kazi Mpaka wafikishe umri wa miaka 60 ambao ndo umri wa kustaafu kwa mjibu wa sheria...
  19. Mzalendo Uchwara

    Wito kwa Rais Magufuli, tuletee Muungano wa Serikali Moja

    Wajumbe, Nianze kwa kukumbushia andiko langu juu ya hatari iliyopo kwenye muundo wa muungano wetu hususan katika zama hizi za vyama vingi. https://www.jamiiforums.com/threads/je-zanzibar-inajiandaa-kujitwalia-uhuru-kamili.1770529/ Kwakua kupitia uchaguzi wa 2020 chama cha mapinduzi kimeshika...
  20. J

    Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

    Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10. Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya...
Back
Top Bottom