rais

  1. W

    POTOSHI Hivi ndivyo Rais Ruto alivyo hivi kwa sasa?

  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Siku za hivi karibuni ulinzi wa Makamu wa Rais umeongezeka

    Wale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika. Yajayo yanaweza kufaurahisha.
  3. Sifi Leo

    Rais hataniwi, Wakenya mwacheni mama yetu tumieni AI Kwa ajili ya baba yenu

    Rais hataniwi kamwe, Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani. Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini? Itumieni kwa baba yenuuuu
  4. M

    Mufti ataka Rais Samia aombewe

    Mufti ataka Rais Samia aombewe
  5. Yoda

    Kauli mbiu ya Rais gani iliwahi kufanikiwa hata kidogo tu?

    1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
  6. E

    Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
  7. JanguKamaJangu

    SSP Notker Kilewa: Gari la Mgonjwa likikutana na Msafara wa Rais, gari la Mgonjwa litasubiri

    Sehemu ya majibu ya SSP Notker Kilewa wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa BOMBA FM ya MBEYA, MC Kamendu, ambapo alimuuliza “Ikiwa msafara wa Rais unapita na gari la Wagonjwa liko njiani kwa wakati mmoja, nani anapewa kipaumbele?” Mahojiano hayo yamefanyika Machi 17, 2026...
  8. R

    Askofu Shoo: Kamwe tusione aibu au makusudi kuzungumzia haki, wala sauti za haki kusumbua masikio yetu

    Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa. "Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
  9. M

    Rigathi Gachagua akimwiga kwa utani Naibu Rais Kithure Kindiki

    Aliyekuwa naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua akimwiga kwa utani Naibu Rais Kithure Kindiki.
  10. Echolima1

    Iran: Rais Masoud Pezeshkian anakusudia kujiuzulu.!!!!!!

    Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na Majeshi ya Israel!!
  11. J

    Je Unajua ni kwanini Israel Hawasumbuki Kumuwinda na Kumuua Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran?

    Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
  12. Roving Journalist

    Mkusanyiko wa Kumbukizi ya Miaka mitano tangu kifo cha Rais Magufuli

    https://www.youtube.com/watch?v=dfB86i6-Bck
  13. astalavista

    Pata bure mfumo wa bulk SMS, API na msg za trial.

    Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree. Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale. Sisi ndiyo tunawauzia hao...
  14. Just Pray

    Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  15. Waufukweni

    Rais Samia: Ngorongoro ni urithi wa dunia

    Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
  16. Waufukweni

    Rais Samia ampa Mzee Zahir Zorro Tsh. Milioni 10

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Zahir Ally Zorro nyumbani kwake Kigamboni Jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpa pole kutokana na changamoto za kiafya anazopitia. Katika ziara...
  17. L

    Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
  18. Waufukweni

    Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  19. Sir John Deere

    Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  20. Roving Journalist

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Back
Top Bottom