Iran: Rais Masoud Pezeshkian anakusudia kujiuzulu.!!!!!!

Iran: Rais Masoud Pezeshkian anakusudia kujiuzulu.!!!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu.

Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na Majeshi ya Israel!!
 
Attachments

  • IMG_20260318_060552_990.jpg
    IMG_20260318_060552_990.jpg
    35.9 KB · Views: 17
Hakikisha missile zote zipo Hewani ndio ajiuzulu
 
Lazima wataamua viongoz wenzake, ktk ya mchezo unajichomoa
 
Hii habari nimesoma Jana kwenye kwenye page ya N12 NEWS imekuwa gumzo kubwa Sana.
Kuna maelewano mabovu Kati ya ofisi ya RAISI dhidi ya kikundi cha IRGC hawa jamaa wamekuwa wakaidi na hawasikilizi amri anazotoa RAISI pia hata huyu Ali LARIJAN aliyekufa Jana alikuwa haelewani na RAISI.

Tunasubiri kifo cha spika wa bunge la Iran huyu ndiyo target iliyobakia
 
Nimesoma sehemu Spika Ali Larijan wameshampasua
 
Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu.

Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na Majeshi ya Israel!!
baada ya mji wa Israel wa Dimona kusambaratishwa na kuachwa magofu jana
Netanyahu kaibuka akisema Nguvu ya Irani ni kubwa na inaweza kupiga Nchi yoyote ya Ulaya hivyo anaomba wasaidiwe. Kauli hiyo aliitoa pia Trump wiki iliyopita akiomba msaada baada ya soko la hisa la marekani kushuka kwa kiwango kikubwa.
Kumbuka: Irani ni kati ya Nchi tano duniani ambazo Raia wake wamesoma vizuri lakini pia; Ni kati ya Nchi tatu Duniani ambazo zinazalisha silaha za kivita zenyewe (hazitegemei kununua)
 
Hotuba ya mwanzo ya rais huyu wa Iran, mara baada ya kuchukua madaraka ilionesha ni mtu mwenye hekima na busara. Kama huyu Rais angekuwa ni mtu mwenye maamuzi ya mwisho, hata hii vita isingetokea.

Tatizo la Iran, yake majitu yasiyo na hekima wala utu, ndiyo yenye uamuzi wa mwisho.

Mungu amlinde kiongozi huyu wa Iran anayeonekana wazi kabisa kuwa hana roho ya ukatili.
 
baada ya mji wa Israel wa Dimona kusambaratishwa na kuachwa magofu
Netanyahu kaibuka akisema Nguvu ya Irani ni kubwa na inaweza kupiga Nchi yoyote ya Ulaya hivyo anaomba wasaidiwe. Kauli hiyo aliitoa pia Trup wiki iliyopita akiomba msaada baada ya soko la hisa la marekani kushuka kwa kiwango kikubwa.
Kumbuka: Irani ni kati ya Nchi tano duniani ambazo Raia wake wamesoma vizuri lakini pia; Ni kati ya Nchi tatu Duniani ambazo zinazalisha silaha za kivita zenyewe (hazitegemei kununua)
Majingo mawili kwako wewe Mwarabu-koko ni mji wa Dimona!!!

Waarabu-koko mmezoea upotoshaji na kuwaramba makalio Iran safari hii mtanyooka tu!!

Msikilize waziri mkuu wa Israel Mwamba,Kiboko cha waarabu mashariki ya kati mpaka Uajemi Mheshimiwa Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI anavyoongea kuhusu Magaidi wa Iran ambao wewe Bumunda unawaramba Makalio!!
 
Attachments

  • VID_20260323_091800_999.mp4
    7.8 MB
Hotuba ya mwanzo ya rais huyu wa Iran, mara baada ya kuchukua madaraka ilionesha ni mtu mwenye hekima na busara. Kama huyu Rais angekuwa ni mtu mwenye maamuzi ya mwisho, hata hii vita isingetokea.

Tatizo la Iran, yake majitu yasiyo na hekima wala utu, ndiyo yenye uamuzi wa mwisho.

Mungu amlinde kiongozi huyu wa Iran anayeonekana wazi kabisa kuwa hana roho ya ukatili.
Israel ndio inaongozwa na Wendawazimu
Mwaka jana, Israel iliibuka from no where ikaenda kuipiga Irani mabomu; Ikaambulia kipigo cha mbwa koko, Kama sio Marekani kuja mbio kuokoa jahazi; Ingeachwa magofu. Mwaka huu Netanyahu kadanganywa na Trump karudi tena kuipiga Irani Mabomu..
Bila kujua kuwa Nguvu ya kijeshi ya Irani ni zaidi ya mara mbili ya Israel. Pamoja na kuwa ua viongozi wa juu wa Irani ILA cha moto wanakiona. Netanyau jana kaibuka kuomba wasaidie baada ya mji wake mmoja Dimona kusambaratishwa na kubakia magofu.......
Israel anapewa kiburi na Marekani kwa sababu ya uwepo wa kituo cha kijeshi pale; Tofauti na hapo hata Tunisia inatosha kuwasabaratisha....
 
Kuhusi Netanyahu mlituaminisha aliuliwa na makombola ya Iran lakini hamkutuambia Mazishi yake yatakuwa lini!!

Kuhusu vita vya siku 12 Makamanda waandamizi na wataalamu wa Nuclear na askari wengine zaidi ya 1,000 waliuwawa na hakuna askari hara mmoja aliyeuwawa katika vita hivyo, wajinga na wapumbavu kama wewe tu ndiyo wanasema Iran aliipiga Israel ukiwauliza kivipi wataanza kubwabwaja maneno ya kijinga tu!!!

Huko Mashariki ya kati na huko uajemi Israel pekee ndiyo Kidume!!!
 
Rais Trump alisema '' nlilazimika kusimamisha vita hasa siku 3 za mwisho kutokana na makombora yaliyokuwa yanateremka Israel, inatisha''
Huko Mashariki ya kati na huko uajemi Israel pekee ndiyo Kidume!!!
Israel haipo vitani na Iran. Israel ipo bize na Hezbollah na kuobomoa majengo west bank.
Hakuna vita kati yake na Iran.

Iran inapigana na US, UK, EU, Australia, Ukraine, Kuwait, UAE, Saud Arabia

Jana, Netanyahu kaziomba nchi za Ulaya zisadie vita.

Echolima alisema Israel haiguswi. Well, hakuna taasisi ya Israel iliyosimama. Juzi wamepiga Dimona eneo linalolindwa sana. Kambi ya Nevatim ni majivu achilia mbali taasisi nyingine

FYI , hakuna nchi iliyowahi kutembeza kipigo kwa Israel tangu kuasisiwa Taifa hilo zaidi ya Iran.
Israel ipo ndani ya mbeleko ya nchi za magharibi lakini bado inachezea kichapo!

Tel Aviv na Gaza zinashindana

Netanyahu mwenye damu ya Uyahudi anaomba msaada Ulaya, wewe mwi-Israel wa kivule unasema nini!
 
Rais Trump alisema '' nlilazimika kusimamisha vita hasa siku 3 za mwisho kutokana na makombora yaliyokuwa yanateremka Israel, inatisha''
Sasa nimegundua ni kwa nini ilianzishwa Uzi harafu ukafunga Reply hukutaka mtu akukosoe kwa uongo uliokuwa unawaaminisha watu kuhusu vita ya Israel,Marekani na Magaidi wa Iran.

Kwenye vita vya siku 12 Iran ilipoteza Askari wengi sana wakiwemo Makamanda waandamizi wa IRGC akiwemo Mkuu wa Majeshi Iran ilipoteza watu zaidi ya 1,000 na hakuna Askari hata mmoja wa Israel aliyeuwawa na magaidi hao na hakuna Ndege-Vita ya Israel iliyoangushwa ni Mjinga pekee ndiye anaweza kusema Iran alishinda hiyo vita.

Hawa hapa chini ni baadhi tu ya Makamanda waandamizi wa IRGC walioangamizwa katika vita vya siku 12 huko Iran
 
Sasa nimegundua ni kwa nini ilianzishwa Uzi harafu ukafunga Reply hukutaka mtu akukosoe kwa uongo uliokuwa unawaaminisha watu kuhusu vita ya Israel,Marekani na Magaidi wa Iran.

Kwenye vita vya siku 12 Iran ilipoteza Askari wengi sana wakiwemo Makamanda waandamizi wa IRGC akiwemo Mkuu wa Majeshi Iran ilipoteza watu zaidi ya 1,000 na hakuna Askari hata mmoja wa Israel aliyeuwawa na magaidi hao na hakuna Ndege-Vita ya Israel iliyoangushwa ni Mjinga pekee ndiye anaweza kusema Iran alishinda hiyo vita.
Trump, Rais wa Marekani aliyesimamisha vita kwasababu ya makombora yaliyoshambulia Tel Aviv

Makamanda wa IRGC waliuawa kwa kuviziwa. Hakukuwa na vita, walikuwa katika mkutano wa kawaida Israel ikawaua. Ni wakati wa mazungumzo.

Rais Trump na wewe nani anajua !

Leo Israel inachukua kichapo ambacho haijawahi kupigwa tangu mwaka 1948.

BB Netanyahu yupo katika TV akiziomba nchi za Ulaya zishiriki vita kwa kujua hawezi yeye na Marekani
BB Netanyahu anasema '' Taifa linapitia maumivu makali''

Niambie taasisi moja tu ya Israel iliyosimama! Hakuna mahali palipo salama kuanzia Mossad, IDF, OfIsi ya PM, Dimona, Nevatim, Ben Gurion etc.

Iran kapiga base zote za Marekani jana wameondoa iliyobaki Iraq kwa ''bequest'' . Hakuna nchi iliyowahi kufanya hivyo zaidi ya Japan kule Pearl Harbour vita kuu II.

Trump, Rais wa Marekani aliyesimamisha vita kwasababu ya makombora yaliyoshambulia Tel Aviv
Tumia akili japo kidogo Israel kwenye vita vya siku 12 ndiyo ilianza kuishambulia Iran kwenye usitishwaji mapigano unajua ilikuwaje mpaka aloyechokozwa akubali Ceasefire?

Najua swali hili litakuwa gumu kwako Acha nikusaidie tu!!

Baada ya Iran kupata kipondo cha kufa mtu kwa makamanda wake waandamizi akiwemo Mkuu wa majeshi IRGC ilikuwa imeparanganyika hawakuwa na uwezo tena wa kuzuia ndege-vita za Israel kupiga zinapotaka na baada ya siku 12 Iran walishukuru kwa Trump kusimamisha hiyo vita!! Maana walipata muda wa kupumua.

Katika vita hivyo ni dhahiri Israel aliibuka kidedea kwa kuweza kuilemaza mifumo yote ya ulinzi wa anga kulikosababisha Ndege-vita zao kutamba popote nchini Iran na kuweza kupiga popote bila kizuizi chochote na hakuna ndege-Vita yao iliyowrza kuangushwa na magaidi hao wa Iran.

Kuhusu Mashambulizi ya Iran nchini Israel hatakuwa na Impact kubwa kwa sababu makombola mengi sana yalipopolewa na mengine yaliangukia sehemu za wazi.

Kwa siku 12 hakuna askari wa Israel hata mmoja aliyekuwa na Iran alipoteza askari wengi sana Makamanda waandamizi akiwemo Mkuu wa Majeshi na ni Ujinga kudai kuwa Iran alishinda vita hivyo bila kuwa na Makamanda waandamizi na Mkuu wa Majeshi.

Makamanda wa IRGC waliuawa kwa kuviziwa. Hakukuwa na vita, walikuwa katika mkutano wa kawaida Israel ikawaua. Ni wakati wa mazungumzo.
Ni ujinga uliopitiliza kwenye vita unapoleta visingizio vya Kuviziwa hii inaonyesha wazi ni jinsi gani IRGC ilivyo dhaifu hawana uwezo wa kujilinda wenyewe na viongozi wao na ndiyo maana hata Ayatollah Ali Khamenei aliliwa kichwa asubuhi tu!!

Jeshi makini huwezi kuua Makamanda wake wakuu maana ukiua hao umeua Jeshi zima, Jeshi Makini huwezi kuua mkuu wa nchi kiulaini hivyo!!

Kinyume chake Jeshi la Israel limejizolea umaarufu mkubwa kwa kuwaangamiza viongozi wa Jeshi dhaifu la Iran

Mpaka leo hakuna kiongozi yeyote wa Israel aliyeuwawa zaidi tu ya Propaganda za kujifariji kuwa Netanyahu wamemuua wakati si kweli.

Kwa upande wa viongozi wa kijeshi hakuna hata Coplo aliyeuwawa narudia tena ni Ujinga kuendelea kuaminisha watu kuwa Iran alishinda vita vya siku 12 hata vita vya sasa ni ujinga kufikiria Iran anaweza kushinda.

Rais Trump na wewe nani anajua !
Watu ambao hawajapitia mambo ya kijeshi mara zote hawawezi kumwelewa Trump katika Statements zake Trump anaweza kusema hili kumbe anamaanisha jingine kabisa!!
Leo Israel inachukua kichapo ambacho haijawahi kupigwa tangu mwaka 1948.
BB Netanyahu yupo katika TV akiziomba nchi za Ulaya zishiriki vita kwa kujua hawezi yeye na Marekani
BB Netanyahu anasema '' Taifa linapitia maumivu makali

Unasahau jinsi Iran inavyopoteza viongozi wa kijeshi na viongozi wengine?
Umesahau jinsi Jeshi la anga la Iran ambavyo halionekani kuonyesha upinzani kwa Ndege-vita za Israel na Marekani nchini Irani? Umesahau Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ambayo imeshindwa kuzuia Ndege-vita za Israel kupiga zinapotaka huko Iran? Au umesahau nini wakati Meli-Vita za Iran 36 zimezamishwa? Hilo hulioni umekalia ushabiki maandazi!!
 
Back
Top Bottom