rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na rafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanaye kwenye mahusiano ya kimapenzi?

    Hebu sema ukweli wako? Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi? #nyumayapazia
  2. B

    JamiiForums Tanzania Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

    29 December 2023 Kilimanjaro International Airport Tanzania BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs Mzee...
  3. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kutoka huko Asia ashangaa baada ya yeye kuondoka na kisha kurudi leo amekuta maendeleo makubwa nchini

    Huyu rafiki yangu Engineer kwenye kampuni tuliyokuwa tunafanya pamoja kazi hapa nchini. Mwaka 2016 aliondoka kwenda kwako, sasa leo amerudi tena hapa nchini, baada ya kukutana nae katika stori mbili tatu, akaniambia watanzania naona sasa mmeamua, naona nchi yenu inakuwa sasa. Kuna mabadiliko...
  4. JamiiForums Tanzania Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

    Wasalaaam, naamini mu wazima wa afya. Wale mnaojiandaa na sikukuu basi ikawe njema kwenu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Wiki kama mbili nyuma kuna rafiki yangu ambae tumefahamiana kutokana na kazi tunazofanya kuwa za kufanana na muda mwingine kupeana deals mbalimbali zinapotokea alipatwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Usimwamini rafiki wala kiongozi wako

    Miongoni mwa mambo hatari katika Mahusiano ni kuaminiana na kuambiana siri zenu. Naomba nitumie andiko la Biblia katika Kitabu cha Mika siyo kwa lengo la kufundisha imani fulani au dini ila Mahusiano. Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili...
  6. JamiiForums Tanzania Ujinga tulioufanya mimi na rafiki wa Ma Mdogo wangu unanitesa sana

    Serious Issue Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie Siku ya pili tokea mapokeo yangu, kulikuwa na sherehe ya birthday kwa rafiki wa Ma Mdogo wangu, basi bhana...
  7. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru sio rafiki kwa simba sc kupigania ubingwa ninani aliwachagulia? Bora watumie CCM Kirumba

    Ule uwanja una mapungufu mengi hata sijui ninani alipendekeza ,uhuru ni uwanja wa mazoezi sio ligi
  8. JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu ananitaka, nifanyeje?

    Naombeni msaada wa mawazo mke wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, nifanyeje?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

    Habari mwanaJF, Naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano. Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia tunakaa jirani kwenye nyumba za kampuni. Kipindi cha nyuma nilikuwa na demu ambaye alimjua pia baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hotel nzuri za bei Rafiki Bagamoyo

    Wadau sijawahi enda Bwagamoyo ila mwaka huu nimeona badala ya kwenda ku enjoy Dubai niende Bagamoyo nikakae hata week 2 Hotel flan hivi ufukweni maana mfukoni kume shake kidogo. Naomba mnisaidie majina ya Hotels nzuri za bei ya Taifa changa. Iwe kuanzia 50,000 mpaka 70,000. Ufukweni. Chumba...
  11. JamiiForums Tanzania Siku zinahesabika, tembelea mbuga ya wanyama Mikumi

    Mwaka 2023 ulianza kama utani siku zikazidi kwenda nusu mwaka tukaumaliza watu walizidi kujiuliza mengi "miezi sita imeishaje au mwaka ni mfupi? lakini yote kwa yote ndiyo hali halisi huwezi zuia siku zisisimame. Wengi wameweka mipango ya mwaka kuna waliofanikisha, kuna wanaondelea kufanikisha...
  12. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwaamini marafiki wa kiume wa mwanamke. Aliejifanya ni rafiki wa ex wangu alikuwa ananichukia nami nilifanya maksudi kufumua mshono

    KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE? Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

    Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali). Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi. Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana...
  14. JamiiForums Tanzania Rafiki vs Mpenzi

    Natatua case kati ya marafiki zangu wawili; wote ni wanaume na best friends since primary kabla hata sijakutana nao; sasa Rafiki A alikuwa ana kazi sehemu fulan kubwa na alimuahidi Rafiki B kwa muda mref kukitokea upenyo atamuingiza; but ghafla kakutana na mwanamke in less than a month then...
  15. JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wanapooa ukaribu wetu hupotea ghafla, nini kinawapata huko?

    Kuna rafiki zangu tulikuwa tunashibana sana, tulikuwa tunasaidiana kwa hali na mali, lakini baada ya wao kuoa tu, mambo yakawa tofauti! Rafiki zangu vipii!😅 Simu tu siku hizi hautupigiani
  16. JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike muislamu

    Hellow love connects
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki niliyemsaidia wakati wa shida akanitosa nilipopatwa shida, leo kanifanyia surprise ya kufungia mwaka

    To cut short story huyu jamaa ni rafiki yangu wa tangu utotoni. Mwaka 2012 nikiwa vizuri sana kiuchumi alipatwa na msiba wa baba yake mzazi. Yeye kwao ndio wa kwanza na ndio mtoto anae tegemewa na familia nzima. Kwao ni Dar ila msiba ulimkuta akiwa kaenda kufanya interview ya kazi Kigoma...
  18. JamiiForums Tanzania Netanyahu akimbia nyumbani kwake. Ahamia kwa rafiki yake kwenye handaki la nyuklia kuhofia usalama wake

    Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mke wake Sara wamehama kutoka makazi yao na kuhamia kwa rafiki yake na bilionea wa kimarekani, Simon Falic ambaye nyumbani kwake kuna handaki la kujilinda na nyuklia. Maamuzi hayo ameyafanya kuhofia wananchi wake wenye hasira kwa jinsi...
  19. JamiiForums Tanzania Rafiki wa kuchat anatafutwa

    Habari zenu,naitwa epi Niko dar umri miaka 30 natafuta marafiki wa kuchat nao na kurelax akili yangu.angalizo naitaji marafiki tafadhali na cyo wapenzii ......Asante
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kumzuga mara tatu bila mafanikio, Rafiki wa kazini bado analazimisha nimfundishe kuchoma kaya, Nichukue uamuzi gani?

    Ni kama rafiki japo naweza kumuita bro, ana miaka 40 na kitu ? Binafsi hii ndio starehe yangu japo kwa sasa huwa ni stiki mbili ama tatu kwa wiki. Sasa huyu bro sijui ni kipi kilichomshawishi atake kujaribu haya mambo umri ukiwa umeshaenda mithiri ya jua la saa kumi na moja. Mara ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…