rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman… Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo. Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo...
  2. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu home boy majuu amebadilisha jinsia na kuwa wa kike

    Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo...
  3. Hackboy

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Niko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
  4. Medecin

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muda TANESCO mnakata umeme sio rafiki. Mnatesa Wananchi bila sababu

    Hivi TANESCO ndio tumekubali kuna shida lakini mkikata umeme saa 8.00 am mkarudisha 5.00 pm. Mnaona wananchi watafaidi sana. Kwa nini mkate saa 6.00 am watu wanajianda kwenda makazini na shuleni. Waoneeni huruma Wananchi ata kama ni upigaji sio kutesa wengine.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mpweke sana, sina rafiki wa karibu. Je, kuna madhara kuishi hivi?

    Habari? Mimi ni baba wa watoto 2 na mke mmoja. Jumla home kwangu sasa tuko watu 7, wakubwa hasa ni Mimi na wife tu wengine ni watoto wadogo wa primary na kindergarten na wengine ni wadogo zaidi. Ratiba yangu ni kazini- nyumbani, nyumbani- kazini. Ila muda mwingi niko nyumbani. Napiga stori na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimemcheka sana rafiki yangu kutoka Ghana kwenye kilimo cha Almond nikamkumbuka mzee wa Madungu jeshi kwenye kilimo cha Canola

    Mzuka Wanajamvi, Huyu Mghana tulikuwa tunabeba naye boksi pamoja. Akaomba mkopo benki akapewa kama/equivalent dollar za marekani elfu 40. Hela ilivyoingia benki yani ilikuwa fujo. Kesho yake hakwenda kazini na kuacha kazi hata bila kutoa taarifa. Akaniita tupige pombe. Nakunitambia hela na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu anaitwa Alfred Nguruko

    Ni mwenyeji wa Tanga ambaye tulikuana Mtwara Masasi na Singida kama yupo humu tuwasiliana hapa
  9. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Watu wana dhambi! Eti Mwalimu Nyerere alikuwa rafiki na Bernard Morrison?

    Sijasema mimi
  10. Chale david

    JamiiForums Tanzania Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi. Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika...
  12. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Usemi uliovuma wa "China ni rafiki wa nchi za Afrika" ulipotelea wapi?

    Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
  13. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki wa kweli ambaye huwezi kumsahau kamwe?

    Habari zenu waungwana, Katika ulimwengu wa sasa ni nadra sana kupata rafiki wa kweli ambaye unaweza kumuamini, Nakumbuka miaka kadhaa nyuma niliwahi kuwa na rafiki, huyu alikuwa ni zaidi ya ndugu, tulielewana sana. Tulishirikiana kwa kila jambo, Popote alipo nami nilikuwepo, jamaa alikuwa...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu ama rafiki wa kudumu na bora mara mia ya Magufuli kuliko majizi haya

    " Siasa ni sayansi ya sanaa na huenendana na nyakati. Ndiyo maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu vilevile. " Magufuli pamoja na mabaya yake lakini hakuwa mwizi na mgawa rasimali zetu kama Mkapa, Kikwete na huyu mwizi wa sasa. " Magufuli kamwe asingekubali kuuza bandari...
  15. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Ukimuomba pesa rafiki yako anakusaidia kwa haraka, lakini kila akikuomba kwako huna kitu.

    Na mwingine anasaidia sana rafiki zake na jamaa zake wanapopata anguko la uchumi, lakini likija upande wake hawamsaidii, akikwama anakwama kwelikweli. Katika uislamu tumefundishwa kwamba mkopeshaji ''mwenye kukopesha'' anathawabu nyingi kulikoni mwenye kutoa sadaka. Yaani wewe kama 'Umemkopesha...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mbowe jiandae mtego unaelekea kukunasa

    Ni suala la muda tu, mahangaiko yatarejea tena kama ilivyokuwa hapo jana kwa mwamba. Mbinu na mitego yote ipasayo kumnasa, i mikononi mwao na inangojea mtegwa anase. Chiba juzi asingenasuliwa na kusepa kule Ulaya, leo hii angekuwa stendi ya Keko. Ana bahati yule mtu! Maadui hawapendezwi na...
  17. that manzi

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu upo wapi?

    Habarini za jioni wakuu.. Bila shaka mko na weekend nzuri kabisa, Kwangu mimi weekend ni mbaya nimekaa leo nikamkumbuka huyu kaka, alikuwa rafiki yangu sana tukaja kupotezana, sijui ntampata wapi namba aliyokuwa anatumia sasa inatumika na mtu mwingine na hata hamjui😥, mitandao ya kijamii yake...
  18. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Wanawake msiingilie urafiki wa wanaume, si sawa kama urafiki wa wanawake

    Miaka ya hapo zamani niliwahi kuwa urafiki wa kawaida na jamaa fulani aliehamia mtaani kwetu, mara kadhaa tulikuwa tunatembeleana kujuliana hali. Kumbe hapa mama na dada yangu wakawa wanampa madebe ya mchele na maharage mara kwa mara, wao walidhani wanasaidia urafiki wetu, haya yalifanyika...
  19. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

    Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu. Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta...
  20. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu Twalal Bungera

    Namtafuta rafiki yangu wa siku nyingi mr Twalal Bungera, mara ya mwisho kuonana ilikuwa mwaka 2014 tukiwa Tamil Nadu nchini India. Mr Twalal Bungera nilipata tetesi alipata ajira kwenye makampuni ya IPP ya marehemu Reginald Mengi. Kwa yeyote mwenye taarifa zake anicheki pm
Back
Top Bottom