Dunia,Christina Koch akipiga selfie na Dunia kutoka space. Nasa wameconfirm iPhone 17 Pro Max imehusika.
Hata angepiga na Samsung ingetoka tu hivi ila TEKNO na Huawei isingetoka hivyoChristina Koch akipiga selfie na Dunia kutoka space. Nasa wameconfirm iPhone 17 Pro Max imehusika.
Ongeza na infinix.Hata angepiga na Samsung ingetoka tu hivi ila TEKNO na Huawei isingetoka hivyo
Kuna Pixel pia, hii ngoma inatoa picha kali saana hasa usiku na mchana wakati wa jua kali.Iphone inatoa natural colors sana.
Ngoja siku wachina nao waende uko angani wakuletee picha iliopigwa na VIVO AU HUAWEI au wakorea nao waende wakapige picha kwakutumia SAMSUNG GALAXY au SONY kama hujaficha sur
Xi Jinping aione hii atamaind wakati anatumia IPhone na SamsungHata angepiga na Samsung ingetoka tu hivi ila TEKNO na Huawei isingetoka hivyo
Oya bro mbona una tumia picha ya baba ake na Mbaga Jr ?Xi Jinping aione hii atamaind wakati anatumia IPhone na Samsung