Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,334
- 21,765
Kampuni ya apple imeamua kuja na iphone 18 promax.
iPhonee 18 Pro Maxx ndiyo simu ya kisasa zaidi ya Apple, naam ya kisasa haswa inayotarajiwa kutangazwa rasmi kwenye Apple Event mnamo Tarehe 8 au 9 Septemba, 2026, na kuanza kuuzwa madukani katikati au mwishoni mwa mwezi huo wa Septemba hatariiii.
Lakini pia inasemekana wanakuja na iphone ultra/fold. Hii itakuwa tofauti na ya samsung kidogo. Mvute subra kwa wale wapenzi wa iphone na simu kiujumla.