pro

  1. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

    Moja kwa moja . Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano . Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo. Lengo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Redmi Note 14 Pro 5G - Inauzwa (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka. Sifa za Simu: Model: Redmi Note 14 Pro 5G RAM: 8GB Storage: 256GB Battery: 5500mAh (Inakaa na chaji vizuri sana) Hali: Haina mchubuko wala tatizo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Redmi Note 14 Pro 5G - Inauzwa (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka. Sifa za Simu: Model: Redmi Note 14 Pro 5G RAM: 8GB Storage: 256GB Battery: 5500mAh (Inakaa na chaji vizuri sana) Hali: Haina mchubuko wala tatizo...
  4. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa Xiaomi 12T Pro nikanunua Google Pixel 7A

    Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro Lakini nimeitumia for 3 years straight...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Iphone 17 pro max vs Samsung S25 ultra. Ipi ninunue?

    Maoni yenu wakuu. Zote ziwe 512GB. ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia. Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja. Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia. Asanteni.
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  8. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Pro max wengi wanajadili personality ya mtu badala ya issues.

    Sijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika. Kipindi tunajadili issues za TEC na maandamano walileta mashehe kuwashambulia viongozi wa TEC badala ya kujikita kwenye issue husika ya HAKI. Alipokuja Kitima badala ya kujibu hoja...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Tapeli pro max

    Sijui kwa nini wana muamini huyu jamaa na media uchwara zikimpa umakini. Una kwambia ana udongo wa upako sasa.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Suluhu za AI—ChatGPT PRO kwa Biashara

    ChatGPT Pro ni mpango wa malipo wa kiwango cha juu (gharama: $200/mwezi), —ikiwa ni pamoja na upatikanaji usio na kikomo* wa GPT-5, sauti ya hali ya juu (advanced voice), na vipaumbele vya trafiki ili kuepuka vizuizi wakati wa msongamano. Ni chaguo linalolenga “power users” kama watafiti na...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Ni lini Pro Kabudi utaacha kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yako Binafsi?

    Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njia ambazo wapinzani mnazitumia ni dhaifu pro max, kwa ufupi ni kwamba hamjielewi.

    Let us say Abdul ameiba mabilioni yenu na kununua gari ya Bilioni mbili kama mnavyoaminishwa. Tuassume ni kweli Samia ameuza bandari kama mlivyoaminishwa. Tuassume Kikwete anaendesha nchi kwa sasa kama mnavyojazwa upepo. Hapo mlipo mnasubiri CCM iachie madaraka kwa kelele za Mange Kimambi, yaani...
  14. I

    JamiiForums Tanzania MacBook Air au MacBook Pro? Ipi Inafaa kwa Kazi Zako Mwongozo wa Kitaalam Kabisa wa Kuchagua Kulingana na Kazi, Bajeti na Mtindo wa Maisha

    Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, kila unaponunua kifaa kama laptop, unafanya uamuzi wa uwekezaji. Na unapozungumzia Apple MacBook, uamuzi huo huwa na uzito zaidi. Wateja wengi huuliza swali moja kubwa: "Ninunue MacBook Air au MacBook Pro?" Katika makala hii, tutakuongoza kwa lugha...
  15. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲🥲
  16. ashomile

    JamiiForums Tanzania Msaada : Naomba Mnisaidieni Namna Ya kuinstall Window 10 Pro Kwenye HP Chromebook 11 63/G4 (Kip).

    Habarini Za Mchana Huu , Poleni na majukumu , nimekuja kwenu WanaIT mnisaidie swala hili , maana swala hili limenishinda kwa kutumia mawazo yangu pekee. Majuzi kuna Hp Chromebook Ram 4 na Internal Storage SSD 16 nilfanikiwa kuactivate window, nikamkabidhi mwenye nayo akaondoka , sasa basi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania (windows OS) Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh

    Windows App Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh. Programu ya kuedit, kutengeneza na kazi zingine za PDF faili. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  18. S

    JamiiForums Tanzania Microsoft Office 2019 Pro Plus + Lifetime License

    Microsoft Office 2019 Pro Plus kwa ajili ya windows OS kwa bei ya 20,000 Tsh, unapewa leseni ya milele hakuna malipo ya mwaka. Napatikana: Mkoa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145 Kama unahitaji programu za Adobe, Office, Office and Windows Activator, Windows 10, 11 kwa bei nafuu.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Microsoft Office 2019 Pro Plus + Lifetime license

    Microsoft Office 2019 Pro Plus kwa ajili ya windows OS kwa bei ya 20,000 Tsh, unapewa leseni ya milele hakuna malipo ya mwaka. Napatikana: Mkoa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Kama unahitaji programu za Adobe, Office, Office and Windows Activator, Windows 10, 11 kwa bei nafuu.
  20. mazongera

    JamiiForums Tanzania Redmi note 14 pro plus 5G inauzwa

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza bei 700,000/=
Back
Top Bottom