Mwandishi kampiga spana za kutosha ndugu Mbunge, ila mbunge amekuwa na majibu ya mtu wa kawaida sana na mengine kuashiria hajui mahitaji ya wananchi ni nini, yeye anataka kulinganisha Tanzania zidi ya Nchi Masikini zaidi kama Mali na Zambia.
Na anasahahu kuwa Tanzania ipo kwenye Top 10 ya Nchi...
Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
Vita ya kibiashara SINO-US Trade war imeonesha kumbe Uchina yuko mbele sana. Nani kushinda hii vita. Time will tell.
Binafsi natamani sana nifike Beijing nasikia ni bonge moja la jiji.
Maisha ni kuchagua, hustle zako, pesa yako!
Mac Pro kutoka Apple official website inauzwa $8,000+ tu, mpya.
Kwa wataalamu wa computer, hii ni CPU peke yake bila screen (monitor yake), ila utapewa na touchpad na keyboard kwa hiyo bei.
(Total bei cheki picha hii kwa juu)!
Specifications:
RAM...
Inasemwa kuwa siku ya Jana na Leo huko kwenye mitaa ya Lumumba mjini Dar es salaam na Kuu huko mjini Dodoma, vicheko Kwa Wana CCM vimetawala.
CCM wanawacheka wajamaa wenzao chama cha Apruebo Dignidad kinachoongoza Chile Kwa jinsi wanavyohangaika kuomba msamaha kisa eti umeme umekatika Kwa...
Apple Iphone 13 pro 128 GB
•Face id✅
•Battery health 81
•Ina network lock(unaweza tumia •Gevey sim card au ukalipia deni ikawa unlocked)
Simu Imetumika wiki moja tu tangu itoke nje ya nchi
Price 950,000/=
Kimara Dar es salaam
0757187238
Wakuu, kama tulivyomsikia Mbowe akizungumza namna alivyoibua vipaji vya kisiasa , na miongoni mwa aliowataja kama matunda yake ni kitila Mkumbo wakati anasoma!
Kuna ukweli hapa? Mwenye kumbukumbu na history ya Pro. Mkumbo atupe mwanga
Majuzi dogo moja gari namba E ya harrier alikuja duka fulani kununua bidhaa.
Sasa alipopaki pembezoni mwa duka ng'ambo ya pili ya bara bara kuna lori kubwa la mzigo, kumaanisha alitengeneza double parking ambayo ilipelekea bara bara kuwa finyu.
Sasa jamaa mmoja wa bajaji ya mizigo akatokea kwa...
Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata.
Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.
Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine.
Hawa diaspora...
Nimefanya utafiti mdogo wa wamashabiki wa vita na migogoro ulimwenguni nikagundua kushuka kwa morari Kwa pro Rashia na Iran,anguko kubwa lilitokea baada ya westi kuichukua Syria mikononi mwa miungu Yao Rasia na Iran,Pro Rasia na Iran wamebaki wanatetemeka hawajui hatma ya timu zao,baadhi akili...
Kuna watu hakuna Jema la Russia duniani kama ilivyo watu wengine wanaoamini Marekani haina Jema hata Moja hufanya duniani.
Sasa kwa watanzania wenzangu, huwa mnatumia kigezo gani kuamua kuwa upande wa Marekani au wa Russia. Huwa mnazingatia mambo gani hasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.