pombe

  1. JamiiForums Tanzania Rwanda wamewafikisha Mahakamani walioruhusu pombe haramu, je Tz tunasubiri nini?

    Ofisi ya Upelelezi wa Rwanda (RIB) imewakamata Prof. Emile Bienvenu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Rwanda (Rwanda FDA), pamoja na watu wengine 17 katika uchunguzi unaohusu uzalishaji na usambazaji wa vileo vinavyodaiwa kutokidhi viwango. Kati ya watu 18 waliokamatwa, 10...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya madawa ya kulevya aina ya pombe inafaida sana kwa serikali.

    Miaka ya 1800 katikati mskaburu wa Afrika Kusini waliunda taifa lao la Orange Free State. Wakakaa na kupanga mikakati ya nchi. Wakaona moja ya njia ya uhakika kupata pesa ni kupitia kodi kwenye pombe. Pombe ni madawa ya kulevya yenye faida sana. Basi wakapiga marufuku import ya pombe ili...
  3. JamiiForums Tanzania Pombe ni dhambi, acha kuitumia

    Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi Unaongea kama teja au...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mitaa kwenye mikoa mbalimbali inayoongoza kwa kuwa na walevi wengi wa pombe

    Kimara- DSM Uyole-Mbeya Ccm-Iringa mjini Kiboriloni-Moshi Himo-Moshi Nyegezi-Mwanza Manzese-DSM Tegeta-,Dsm Tabata-DSm Kwa mrombo-Arusha Matejoo-Arusha Majengo-Moshi Sanawari-Arusha Mabibo-Dsm Buguruni-DSm Mbagara-Dsm Mwananyamala-DSm Sinza-Dsm Mbezi Magufuli-Dsm Kigogo-Dsm
  5. N

    JamiiForums Tanzania Pombe ilikufanya kitu gani mpaka ukasema sasa rasmi naacha?

    Pombe ilikufanya kitu gani mpaka ukasema sasa rasmi naacha?
  6. JamiiForums Tanzania Hautakiwi kulipua Kazi Yoyote Maishani Mwako

    Zamani kidogo, kulikuwa na fundi ujenzi mzee aliyekuwa na ujuzi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa miaka zaidi ya 30, alijenga nyumba nyingi nzuri na za kifahari kwa moyo wake wote. Siku moja, akiwa amechoka na umri umekwenda, alimfuata bosi wake na kumwambia: "Bosi, umri umenitupa mkono...
  7. R

    JamiiForums Tanzania KWELI Mtu anaweza kujihisi amelewa bila kuwa amekunywa pombe

    Wakuu, Kumekuwa na nadharia nyingi huku mtaani kuhusu ulevi bila kuonja kileo, sasa ndo wengine tunajiuliza inawezekanaje mtu akalewa bila kunywa pombe?
  8. JamiiForums Tanzania Pombe ina imani yake ya ajabu sana

    Ukiweka imani pombe inamaliza pesa na kweli itaisha ..... Ukiweka imani pombe inakufnya ufanye mambo ya kijinga ni kweli itafanya.... Ukiweka imani pombe inakupa akili ya kutafuta pesa na kukutanisha na watu muhimu ni kweli itafanya hivyo.... Hiyo ndio inaitwa nguvu ya kutawala akili...
  9. JamiiForums Tanzania Malizia hii wikiendi kwa kuendelea kukataa pombe na ulevi. Jilinde dhidi ya kufirisika, magonjwa, talaka, kudumaa na kufanya vituko ukiwa umelewa

    Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako. Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi...
  10. JamiiForums Tanzania Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

    Walevi jiandaeni na kuanza dialysis. Pombe feki zinatengeneza mabilionea. Wile Karimo, Kalittle na Wachina mtaua ndugu zetu. NB: Pombe kali feki kwa bei ya pombe OG kuweni na huruma
  11. JamiiForums Tanzania Kama tafiti zinavyoonesha ni kweli gen z sio wanywaji sana wa pombe ila sanaa yao kubwa ni hii hapa

    Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z kumbe hawaji pub kutafuta pombe bali kula jagina😁 Ndio kabisa, hakusa kizazi cha kifuska kama gen...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi na ujinga kumwambia mwenzako umezeeka sababu ya pombe

    Nani alikuzuia wewe usinywe pombe? Unafiki na uzandiki wa kufuatilia masuala ya watu. Upuuzi mkubwa.
  13. JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa siamini kama kuna watu wanakunywa pombe daily naposema kila siku namaanisha kweli kila siku

    Kuna watu hawawezi kuamini, lakini huu ndio ukweli Kuna watu karibu kila siku ya Mungu jioni lazima tupige kamnyweso binafsi me ni ka wine kangu kana 19% V/V. Sababu pekee inayoweza kuwafanya wasinywe ni kuugua tu. Na kwa bahati nzuri watu wa hivyo huwa hawana tabia ya kuugua kiasi cha...
  14. JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Weekend Kareem. Niko hapa St. Peter's, Oyster Bay, kwenye Bar ya kanisa. Niko na wadau wangu wa miaka mingi, imani zao ni za msimamo mkali dhidi ya ulaji wa Nguruwe, a.k.a Kitimoto. Wananichana makavu. Ili uishinde roho ya ulaji wa Kitimoto, ni lazima uishinde pombe, kinyuma na hapo, hata...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa Pombe

    Madhara ya unywaji wa pombe: Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis) Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu Uharibifu wa ubongo na kupungua kwa kumbukumbu Uraibu (ulevi wa kudumu / addiction) Kudhoofisha mfumo wa kinga...
  17. JamiiForums Tanzania Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

    Mimi: Ladha inanishinda.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

    Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake. Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
  19. JamiiForums Tanzania Mshahara ukitoka tu nakuwa na wenge na akili haitulii inawaza kwenda tu bar kunywa pombe

    Mambo vipi wakuu? Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na...
  20. JamiiForums Tanzania Shigongo: Kwa Afrika, Tanzania tunashika nafasi ya 5 kwa kubeti Afrika, nafasi ya 3 kwa unywaji pombe

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…