min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,575
- 168,707
Majuzi nimepata mchuchu , nimelipa chumba nikamwambia atangulie na pesa yote atakayo tumia nimelipa 😪
Nikasema nipitie club, atulie hapo alipo,nijibusti na pombe zangu ndio nimeshtuka hapa , kapiga simu , nikamwambia atume picha yake ,simkumbuki tena ,naona ananisunya😄😆 acha nilewe tu bwashee 😁