Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 442
- 1,091
Utafiti wa mwaka 2026 kutoka IWSR unaeleza kuwa 81% ya Millennials (Milenia) hunywa pombe, kiwango cha juu kuliko vizazi vingine vinavyoishi.
Gen X wanafuatia kwa 77%, huku Gen Z wakiwa 74%.
Takwimu hizo zimeibua mjadala kuhusu mabadiliko ya tabia za unywaji pombe kati ya vizazi.
Gen X wanafuatia kwa 77%, huku Gen Z wakiwa 74%.
Takwimu hizo zimeibua mjadala kuhusu mabadiliko ya tabia za unywaji pombe kati ya vizazi.