Taabu na Pombe ni Kaka na Dada

Taabu na Pombe ni Kaka na Dada

Gospel KTV

Senior Member
Joined
Aug 23, 2025
Posts
194
Reaction score
326
Ukifuatilia vizuri watu wenye taabu fulani maishani ndio hutumia sana pombe ili wasahau uchungu walio nao moyoni ili wajiliwaze.

Uzuri ni kwamba biblia imetufunulia yote katika:
Mithali 31:

6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Utakunywa pombe utasahau machungu kwa muda tu asubuhi ikifika pombe itaisha utaendelea kuyakumbuka machungu yako.

Dawa ni kumrudia Yesu, akutue mzigo wako. Acha pombe haitoi machungu.
 
1000104230.jpg
 
Back
Top Bottom