polisi

  1. JamiiForums Tanzania Siku Freeman Mbowe alipotumia ofisi za CCM kuwakwepa polisi

    Nitakuwa naleta mfululizo wa story za madhila ambazo viongozi wa upinzani walikuwa wanapitia enzi za Awamu ya 5. Story hizi zinasimuliwa na aliyekuwa Meya wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob. Je, wajua katika maandamano ya CHADEMA kutoka Mwananyamala kwenda kwa Mkurugenzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wamkamata Joseph Ngoya akiwa na noti bandia za Tsh. 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOSEPH NGOYA mwenye umri wa miaka 34, Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za kupatikana na Noti bandia za shilingi elfu kumi. Ni kwamba mnamo tarehe 23.02.2023 huko maeneo ya Kituo cha Mafuta (Sheli) ya Kazibure iliyopo barabara Kuu (Tunduma...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

    Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" . Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na alichokisema Kamishina wa Polisi Jamii Tanzania dhidi ya Wahaya na Mkoa wao wa Kagera ( Bukoba )

    "Haiwezekani Mkoa wenye Watu Wasomi na Walioelimika kwa kuwa na Watu wenye Degrees, Masters na Doctorates wa Kagera kuna Uvunjifu wa Amani unaotokana na Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi na Ushirikina. Ni Aibu sana Kwakweli na lazima Ukweli huu usemwe na wenye Mkoa wabadilike na Elimu Kubwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali itafute njia mbadala kushughulika na wahalifu wa 'Tuma kwenye namba hii', kwenda kuripoti polisi ni kupoteza muda

    Waziri Nape alitoa maelekezo watu kutoa taarifa polisi endapo watapokea jumbe za matapeli wanaokwambia tuma kwenye namba hii ama jumbe za waganga na kushinda jackpot ambapo kupata zawadi hiyo unaambiwa upige simu kwa maelekezo zaidi. Badala ya watu kwenda kutoa taarifa polisi, kuwe na njia ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ofisa mstaafu wa Polisi adai kubambikiwa kesi

    Aliyekuwa Mkuu wa Polisi (OCD), wa Wilaya ya Siha, Vicent Lyimo amemwandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, akimuomba aingilie kati suala lake ili Jeshi la Polisi limpatie nakala ya hukumu na mwenendo wa kesi ya kijeshi iliyomshusha cheo. Lyimo anadai mwaka 2016, alifunguliwa mashtaka katika...
  7. JamiiForums Tanzania Tume ya Hakijinai kukagua Vituo vya Polisi, Magereza, kuhoji Wafungwa, Wananchi na Askari

    JF SUMMARY Tume ya Kuboresha Taasisi za Hakijinai Nchini itaanza ziara ya siku 12 katika Mikoa 13 kwa kutembelea Magereza Makuu 14 na Makazi ya Askari ili kupata maoni kutoka makundi mbalimbali wakiwamo Wananchi na Askari wa Vyeo vya chini. Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu #OthmanChande...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwenye tukio kwa wakati tambua hili

    Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili. Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill Watakuwa walikuwa wanapita njia...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi kuhusu ajali ya Mwendokasi kugongana na gari ndogo kusababisha majeruhi na uharibifu wa nyumba ya biashara

  10. O

    JamiiForums Tanzania Polisi yaeleza mazingira mwalimu aliyetoweka Simiyu na kukutwa amefariki Musoma

    Musoma. Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya mwalimu Monica Patrick (31) mkazi wa Simiyu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha baadaye mwili wake kupatikana kwenye kichaka kilichopo pembezoni mwa Ziwa Victoria mjini Musoma. Pia soma - Mwalimu...
  11. JamiiForums Tanzania Omond akiwa kituo cha polisi

  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Erick Omond akamatwa na polisi akiandamana

    Mcheshi Eric Omondi amekamatwa akiongoza maandamano nje ya majengo ya Bunge jijini Nairobi. Omondi alikuwa akiongoza kundi la vijana waliojengeka vizuri, watanashati katika maandamano, ambapo waliitaka Serikali kushusha gharama za maisha. Vijana waliovalia kaptura nyeusi na vifua wazi walikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Polisi (OCD) na Afisa Upelelezi Kilombero wasimamishwa kazi kwa Unyanyasaji

    Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana. Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri...
  14. JamiiForums Tanzania Askari Polisi sita wafukuzwa kazi Arusha

    JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewafukuza kazi askari wake sita katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya jeshi hilo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake jana,bila kuwataja majina ya askari hao, Kamanda wa polisi mkoani...
  15. JamiiForums Tanzania Adui wa Dereva barabarani ni Dereva mwenzie, sio Trafiki wala Polisi

    Adui zetu wakubwa barabarani sio Polisi bali ni Madereva wenzetu. Kusema kweli adui zetu wakubwa barabarani ni madereva wenzetu kuliko hata hao Polisi tunaowaona maadui. Dereva anatumia nguvu nyingi kuchukua tahadhari dhidi ya Polisi kuliko hata dereva mwenzake. Kwa nini Polisi baadhi yetu...
  16. JamiiForums Tanzania Wito kwa Askari Polisi Barabarani tunaomba yule Dereva wa gari ya Simba SC anyang'anywe leseni yake

    Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam. Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
  17. JamiiForums Tanzania Hili tamko la Kamanda wa Polisi ni la ovyo

    Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania? SIKU ZOTE NITALIA NA...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wavamia nyumba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mstaafu, Fred Matiang'i

    Uvamizi huo ni utekelezaji wa agizo la kuchukua Vifaa vya CCTV kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi kuhusu madai ya Matiang'i kuwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake na kundi la Askari wasio na Vibali. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Kenya, Amin Mohamed...
  19. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu anayetuhumiwa kumshushia kipigo Mwanafunzi aliyedokoa maandazi ashikiliwa na Polisi

    Kufuatia kuripotiwa kwa tukio la Laurence Nicholaus Mwangake, Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Rohila, Mbalizi kulazwa Hospitali ya Ifisi tangu Februari 12, 2023 ikidaiwa amejeruhiwa kwa kipigo, watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. Afisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…