Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
Wakuu,
Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri?
Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk!
Hapo...
Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana.
Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni?
Tujadiliane.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) tawi la Machinjioni kata ya Bwawani Makongolosi wilayani Chunya Michael Andarson Kalinga (36) mkazi wa wilayani humo.
Inaelezwa kuwa watu...
Ikiwa ni mwendelezo wa utoaji elimu kwa makundi mabalimbali katika jamii kikosi cha wanamaji dawati la jinsia na watoto limewafikia watumiaji wa vyombo vya majini na kuwapa elimu ya ukatili ikiwa ni pamoja elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu.
Akiongea wakati wa utoaji elimu hiyo...
Nimesoma maelezo ya msichana aliekuwa nae alipouwawa, yana ukakasi sana. Kuna coincidence ambazo labda ni polisi wetu tu waliozoea kutunga kesi dhidi ya wapizani wataikubali.
Inaripotiwa kuwa huyu UVCCM, mwenye biashara ya kuchoma chama klabu moja, alipigiwa simu kuwa kuna mbuzi wanauzwa aende...
Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika na utendaji wa vyombo hivyo vya usalama.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyokusanya maoni ya raia kati...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua...
Wakuu
Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka avue mask
Pia, Soma:
+ Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji
+ Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini...
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.
Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na...
Mwaka 2019, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola “Ninja” aliwahi kukilamikia kituo cha Polisi Gogoni kwa ukiukwaji wa haki. Tujikumbushe hapo chini;
Waziri wa @WizaraMNN Kangi Lugola leo Juni 23, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Polisi Gogoni, Wilaya ya Kipolisi...
..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi.
..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM.
..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
Jeshi la Polisi Nchini limesema katika kushiriki Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2024 litashirikiana na Wadau mbalimbali kufanya Maadhimisho hayo katika Kanda Maalum ya Kipolisi Tarime Rorya ambapo Jumla ya watoto 184 waliofanyiwa vitendo vya ukatili wameokolewa...
Wakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe limetoa ufafanuzi kuhusiana na Zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo lilifanyika tarehe 27.11.2024 mkoani Njombe.
Ni kwamba Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe lilijipanga vema katika kushughulikia matukio yote ambayo yanahusiana na masuala...
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Kata ya Ikana, Wilayani Momba, Amos Sikamanga (41) amelazwa katika kituo cha afya Tunduma akidaiwa kujeruhwa vibaya kwa kuchomwa kisu cha utosi na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Tukio hilo limetokea Novemba 27, 2024 majira ya...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe, Augustino Senga amezungumza na JamiiForums na kueleza kuwa hawajapokea malalamiko yoyote kutoka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu Wanachama wao kutishiwa kwa mapanga katika Vituo vya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.