polisi

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Ligi, Yanga na Mashujaa kuamriwa na Polisi kesho Disemba 19

    Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi wafafanua kukamatwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA, wamesema wamekamata wahalifu

    Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria.
  3. Soul21

    JamiiForums Tanzania Polisi wapunguze presha ili wasiwape wahalifu nguvu.

    Nalipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ambayo wameendelea kufanya kwenye taifa hili. Ila lengo la andiko hili ni kusema kuwa polisi wanapresha ambayo inasababishwa na wao kutuhumiwa katika maswala utekaji. Rai yangu ni kwa polisi kuwa na utulivu katika utoaji wa taarifa ili kuepusha...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wawili wakamatwa kwa wizi wa ng'ombe Kenya

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi baada ya kukutwa wakichinja ng’ombe ambaye aliripotiwa kupotea katika Kituo cha Polisi cha Kaptagat. Askari hao, Chrispus Butali na Samwel Mbugua Njuguna wanashikiliwa kutokana na kukutwa katika tukio hilo. Taarifa ya Polisi imeeleza Josephine Kandie aliripoti...
  5. B

    JamiiForums Tanzania POLISI: Bwana harusi alijificha kwa mganga.

    #VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupatikana kwa Vincent Massawe (Bwana harusi) ambaye taarifa zake zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amepotea siku chache baada ya kufunga ndoa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi aliyedaiwa kutekwa apatikana Kigamboni, alijificha kwa Mganga wa Kienyeji

    Taarifa ya Jeshi la Polisi == Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao. Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na Mwananchi...
  7. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Ulomi alikuwa Polisi, hakuwa Polisi?

    Daisle Simon Ulomi Kwa Sasa ni marehemu baada ya maiti yake kukutwa Jana hospitali ya rufaa Mwananyamala. Taarifa za Jeshi la Polisi na Msemaji wa hospitali hiyo zinadai alipelekwa hapo jioni ya tarehe 11.12.2024 akiwa tayari amefariki Kwa ajali ya pikipiki MC 415 DQC. Ndugu zake akiwemo mkewe...
  8. The Boss

    JamiiForums Tanzania Ukiwajua Polisi Tanzania, hutawashangaa kabisa na taarifa zao

    Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu ...kuhusu polisi Tanzania... Niliwahi kuwa na kesi ya mtu alienitapeli ...polisi Chango"mbe nikapewa...
  9. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu

    Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle Ulomi alikuwa askari wa Jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Polisi wamefanikiwa kuingia ndani ya CCM, sasa wanataka kujiingiza kwenye mpira kwa nguvu

    Leo nimekaa zangu nimetulia sitaki kuandika chochote, ghafla nakutana na kipeperushi cha polisi kwenye mitandao ya jamii. Nikadhani labda kina taarifa ya muhimu, kumbe ni upumbavu tu umejaa humo na kuparamia mambo wasiyoyajua na yasiyowahusu. Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hiki...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo

    Naona Polisi lipo na kasi ya 5G kuwakamata watuhumiwa waliofanya makosa kwa viongozi wa CCM ila upande wa vyama vingine uchunguzi unachukua muda mrefu sana. Kwani kuna siri gani kwenye chunguzi zao? ================ Jeshi la Polisi Mkoani Iringa Limesema limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa matamko (Wizara na Polisi) kuhusu kung’olewa viti na fujo za Uwanja wa Mkapa

    Wakuu, Fujo zilizoibuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba SC na CS Sfaxien zimeibua mkanganyiko kuhusu uwajibikaji. Jeshi la Polisi lilibainisha kuwa mashabiki wa CS Sfaxien walihusika moja kwa moja kung’oa viti 256 na kuanzisha vurugu baada...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Aliyedaiwa Kutekwa aliuza gari alilokodi Ili kulipa madeni ya harusi.Uchunguzi unaendelea kubaini Alikopotelea

    Jeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi. Polisi wanadai ushahidi wa awali unaonesha bwana Masawe aliyepotea Aliuza gari aliyokodi Ili Kulipa Madeni na kwamba Polisi wanaendelea kukusanya taarifa Ili Kubaini kama bwana Masawe...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi asakwa kwa mauaji ya mtuhumiwa wa Wizi wa Simu

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar waanza kumtafuta mfanyabiashara anayedaiwa kupotea.

  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi Pemba atuhumiwa kumbaka msichana wa miaka saba

    Hizi habari za jana, Mama mmoja Pemba analalamika kwamba mtoto wake, Hamida, anayesoma darasa la kwanza amebakwa na Askari Polisi, Godfrey huko Pemba Anasema yeye anakaa Police Quarter huko Pemba na huyo Askari ni jirani yake na usiku alikuwa anamfuata yule mtoto na kumbaka kwa sababu mtoto...
  18. snipa

    JamiiForums Tanzania Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma aliyekimbia na daftari wakati wa Uchaguzi aripoti Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika? Inaonekana sasa "watu wa system wameanza ku-deal nae. ========================================================...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sam Sasali: Tusihukumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja

    Wakuu, Mtangazaji mkongwe wa Clouds Media Group, Sam Sasali ana neno kwa wote wenye tabia ya kulaumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja == "Watu wanahukumu jeshi lote la Polisi inapotokea shida lakini shida sio kwa Jeshi ni mtu mmoja mmoja. Ukisema traffic wanakula rushwa sio kweli...
Back
Top Bottom