polisi

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: Askari wa Jeshi la Polisi Wafanya doria kuimarisha Usalama wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

    Wakuu, Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni. Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani "CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi Songwe wafanya doria kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Saa chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji kesho Jumatano tarehe 27 Novemba, 2024 Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe mapema leo Novemba 26, 2024 limefanya doria za magari na miguu katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Songwe ikiwemo mji wa Tunduma wilaya ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kwa kauli hii ya Amos Makalla ya "Mwana CCM ukishapiga kura, rudi nyumbani", Upinzani jiandaeni kwa virungu vya polisi

    Huu ni mtego kwa Wapinzani kupigwa virungu na Polisi, wakati vyama vya CHADEMA na ACT Wazalendo wakisema baada ya kupiga Kura wafuasi wao wakale kisha warudi vituoni kulinda kura upande wa CCM kupitia Amos Makalla, amesema Mwana CCM akishapiga Kura arudi zake Nyumbani. Soma, Pia: • Mwenyekiti...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kwa mujibu...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu mstaafu aliwakosea nini Jeshi La Polisi? Kosa lake ni kukaa kijiweni?

    Wakuu, Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum. Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na huyu mstaafu kama mwanae licha ya kwamba mstaafu umri wake umeenda na anasema kabisa aliacha kazi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

    Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini. Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limewakamata na kuwahoji waliovunja vioo Treni ya SGR, ni watoto wa miaka 12 na 16

    Wakuu, Hii taarifa mbona kama ya kutuzuga hivi? Hayo mawe yalikuwa ya ukubwa kiasi gani mpaka yavunje hivyo vioo? Au ni sababu ya mwendo? Wazee wa physics mje mtueleze. Lakini pia kama walikuwa wanashindanisha kasi siyo kwamba yangerushwa kwenye uelekeo ule treni inakoenda kuona kipi kitawahi...
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Video Ile ya yaya nimeipeleka Polisi.

    Ile video iliyokuwepo hapa two hours ago ya yule yaya anamtesa toddler nimeipeleka Polisi. Polisi wameonyesha interest lakini wanasema Afande amekwenda weekend,nirudi Jumatatu.
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwapambania wanasiasa, polisi maisha yao ni duni sana tatizo nini?

    Moja kati ya silaha kubwa sana ya wanasiasa kuwabakiza madaraka pale mambo yao yanapoenda kombo basi huwa ni jeshi la polisi. Polisi ukiondoa yale mavazi yao na wao ni wananchi wa kawaida tu, hali ya maisha ni sawa tu na sisi raia wa kawaida. Ugumu wa maisha tuliyonayo wananchi na wao pia...
  11. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jeshi la Polisi Mbeya latoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendesha mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari mkoani humo kuhusu masuala ya uchaguzi. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Novemba 23, 2024...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vitu vya kuzingatia na vya kutokufanya kwa Jeshi la Polisi wakati wa uchaguzi au kipindi cha Siasa

    Habari za siku mbili tatu wakuu na wananzengo hapa jukwaani? Hi video ni ile ya uchaguzi Mkuu 2020 nimeitumia hapa kutaka kusema kitu kuhusu hizi chaguzi Unajua kwa kawaida kabisa ni wazi Majeshi yetu hayatakiwi kuchagua upande, majeshi yetu hayatakiwi kuonesha hisia zao wazi kisiasa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kukamatwa viongozi wa CHADEMA, Polisi wadai "CHADEMA walikaidi amri ya Askari, walirusha mawe na kujeruhi Askari"

    TAARIFA YA JESHI LA POLISI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe, Joseph Osmud Mbilinyi Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Pascal Yohana Haonga, Mbunge mstaafu CHADEMA Mbozi Mlowo, Mdude Mpaluka Nyagali...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Tumesikitishwa na kitendo cha Polisi kumkamata Mwenyekiti wetu Mkoa wa Songwe, Ezekia Zambi

    TAARIFA KUTOKA ACT WAZALENDO Kwa masikitiko makubwa, tumepokea taarifa ya kukamatwa na Polisi kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Songwe leo tarehe 22, November, Ndugu Ezekia Elia Zambi bila sababu za msingi zinazojulikana. Pia soma: LGE2024 - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mlowo: Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo

    Wakuu Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti. Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ukweli kukamatwa kwa Matola, Vurugu walizofanyiwa Simba SC, Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda atajwa kwenye sakata hilo

    PIA SOMA - Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Khamis Luwongo: Niliwadanganya polisi kifo cha mke wangu, niachieni nikamtafute yupo hai

    Bado huyu jamaa ambaye anasota na kesi ya mauwaji ya mke wake. Lakini kila wakati ananiacha mdowo wazi na maswali mengi kwa namna anavyojibu na kuikwepa kesi yake hii. Leo kasema mengine Alidai kuwa mawakili wa serikali wanataka ahukumiwe kunyongwa, akihoji "vipi nikihukumiwa kunyongwa halafu...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi

    Mwanariadha wa Jeshi la Polisi, Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa kwa kukimbia muda mfupi zaidi...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi Makambako: Tutaimarisha ulinzi kipindi chote cha kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni zao kwa usalama bila kupata changamoto yoyote. Hayo yameelezwa na Mrakibu mwandamizi wa polisi...
  20. DolphinT

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
Back
Top Bottom