JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia Shaban Wisandala (32), mkazi wa Medeli jijini Dodoma, kwa kujifanya ofisa usalama wa taifa, pamoja na magari sita yaliyokamatwa kutokana na kusadikiwa kuwa ni ya wizi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma...