polisi

  1. JamiiForums Tanzania Polisi Warejesha Operesheni Kibiti Kufuatia Yanayojiri Msumbiji

  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

    IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu. Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako. Mwulize jina lake Mwulize namba yake ya uaskari Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa. Raia ana haki ya kuwajulisha ndugu, jamaa ama sehemu anakofanyia kazi kwamba ama amekamatwa na polisi ama Taasisi ya Kuzuia...
  4. JamiiForums Tanzania Madagascar: Maafisa wa ngazi ya juu wa Jeshi wakamatwa kufuatia jaribio la kumuua Rais Rajoelina

    Maafisa wa ngazi za juu wa Jeshi na Polisi wamekamatwa Nchini humo wakihusishwa na jaribio la kumuua Rais Andry Rajoelina ambalo lilishindikana. Hadi sasa watu 21 wanachunguzwa Jaribio dhidi ya Rais Rajoelina ni miongoni mwa matukio yanayoendelea kutikisa Taifa hilo. Madagascar imekuwa Lockdown...
  5. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wadaiwa kuwakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30

    Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30 usiku huu. Waliokamatwa ni Pamoja na -Joseph Mbilinyi (Sugu) -Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa) -Paschal Haonga( Alikuwa Mbunge wa Mbozi) na Viongozi na wanachadema wengine wengi.
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Tusiwageuze traffic polisi mafisadi

    Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
  7. JamiiForums Tanzania Maelfu ya maafisa wa polisi wametawanywa Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga kuanzishwa pasi maalumu ya afya kwa waliochanjwa

    Maelfu ya maafisa wa polisi wametawanywa kote mjini Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga kuanzishwa pasi maalumu ya afya kwa wale waliochanjwa dhidi ya virusi vya corona. Zaidi ya polisi 3,000 na maafisa wa usalama wameuzunguka mji mkuu wa Ufaransa Paris Jumamosi wakati maelfu ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa CCM, Mutungi, Polisi and allies: Chadema genome has already been incorporated into Tanzanians' DNA

    Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema. Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania. Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajisumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the...
  9. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Jeshi la Polisi lianze kutenda haki?

    Siyo rahisi mahali popote duniani kwa mtu awaye yote kuweza kuzuia athari hasi (consequences) za machozi ya watu zaidi ya milioni 50. Never! Watanzania walilia sana mwaka 2020 kuhusu serekali yetu (hususani rais wa wakati huo Magufuli) kuona kuwa ipo kwenye denial state dhidi ya gonjwa baya la...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyemuua askari Arusha adaiwa kufa akijaribu kuwatoroka polisi

    Jambazi aliyemuua kwa kumkata mapanga Askari polisi, H.2407 Constable Damasi Magoti wa kituo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Jacob Kideko au Ramadhani Kichwa(43) Mkazi wa Makiba amefariki dunia katika jaribio la kuwatoroka polisi alipokuwa akisafirishwa jijini Arusha. Kwa mujibu wa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wananchi wataharuki yanayoendelea Mabibo Jeshini

    Niko na jamaa yangu hapa maeneo ya Grocery ya Manka nakula double kick huku nikipiga story na wadau, kuna mdau mmoja mida ya mchana leo alikuwa mitaa ya mabibo anatupa mchapo wa ajabu kidogo Inasemekana juzi kuna Askari Polisi alienda mitaa ya Mabibo Jeshini kwa wakurya kukamata gongo akapigwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mchezaji Gerald Mdamu inadaiwa kutelekezwa na Polisi Tanzania baada ya kupata ajali; Ni aibu Tafadhali IGP ingilia kati

    Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Usalama unazidi kutoweka - Mkamato wa polisi saa nane za usiku, sasa kama tunalala na silaha?

    Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana. Yaani ikitokea...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, naomba mtujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe

    Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi. Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe. 1. Ni kwanini wamempeleka mahakamani Kisutu kisirisiri, bila kumuarifu yeye mtuhumiwa, ili aweze kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi auawa kwa panga akijaribu kumkamata mwizi usiku nyumbani kwake

    Askari polisi katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Mkoani hapa, ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati akijaribu kumkamata mtuhumiwa.wa wizi. Tukio hilo limetokea Jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji Cha Makiba wakati Askari huyo( jina linahifadhiwa) alipoenda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hapajulikani Polisi walipomficha Freeman Mbowe

    Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
  18. I

    JamiiForums Tanzania Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania John Mrema: Polisi alimwambia Mbowe "This time huchomoi tunakupa kesi ya Ugaidi"

    Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia: "This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi" Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe Amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…