polisi

  1. JamiiForums Tanzania Huyu Mhalifu ni kama alikuwa na jambo lake na Polisi. Raia hakuwa na tatizo nao

    Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi. Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia. Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
  2. JamiiForums Tanzania Tukio la mauaji ya Polisi eneo la Selander si bahati mbaya

    Leo kumetokea tukio baya sana kwa Usalama wa nchi yetu labda ni tukio baya sana kuwahi kushuhudiwa toka matukio ya enzi za Mauaji ya KIBITI yaliyolikumba nchi yetu enzi zile za Rais Magufuli sijui nini maana yake lakini Hii sio bahati mbaya.. yes sio bahati mbaya! Habari za kuuliwa polisi watatu...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha. Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro tafakari sana maneno ya mtu aliewaua Polisi aliposikika akisema "Nawatafuta Polisi"

    Nimesema mara nyingi sana humu JF, kwamba namna ya utendaji wa Polisi wa Tanzania ni ile ambayo inazalisha chuki na wananchi badala ya kukuza uhusiano mzuri. Watu wengi sana wana chuki na Polisi kutokana na vitendo vyao, iwe suala la rushwa, kubambikiwa kesi, matumizi ya nguvi isivyostahili...
  5. JamiiForums Tanzania Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la. Ngoja tuendelee kutega sikio
  6. JamiiForums Tanzania Mungu hafichi ukweli: Mama Samia leo umejionea ubovu wa askari wetu wa Jeshi la Polisi

    Mapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi. Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale Kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taarifa zinarindima za gaidi mmoja anavyotikisa Dar, poleni watani

    Jamaa kama hawa ndio huwa wanatuibukia hapa Kenya wakiwa kundi, wana ujasiri sana wa kujitoa mhanga, naona taarifa huyu mmoja amewanyima amani sana huko Dar, bora kaliwa shaba kabla hajafanya maafa zaidi, jamaa alikua amejianika barabarani. Huku kwetu wakija huingia kwenye shopping mall na...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna maswali ya fikirisha kwa tukio la mauaji Selander Bridge

    Naomba tujiulize maswali haya! 1. Mhalifu alikuwa na silahaa mbili na moja iliyokuwa hana tumia ni kama AK-47! Je, Tanzania upande wa usalama inafikiria nini kuhusu silaha kali ambazo si rahisi kukuta nayo mwananchi labda majambazi tena wachache wenye matukio makubwa au wahalifu wachache! 2...
  9. JamiiForums Tanzania Chadema yashauriwa kurekodi na kutangaza habari za kila mwanachama wao anayekamatwa na Jeshi la Polisi nchi nzima ili kutunza kumbukumbu

    Wadau mbali mbali wa siasa wa Ndani na nje ya nchi wamekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kinawatafuta wanachama wake wote waliokamatwa na Polisi popote Tanzania na kurekodi taarifa zao na kisha kutangaza majina yao kwenye vyombo vyote vya habari vya ndani na nje ya Nchi ili...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini tukio liwe karibu na Ubalozi wa Ufaransa?

    Inasemekana jamaa alishuswa na bodaboda na akaenda kwenye kibanda cha askari pale kwenye makutano kama vile ana shida. Akachomoa bastola na kuwauwa askari wawili, askari mmoja akapigwa risasi kwenye bega. Akachukua silaha za wale askari akawa anatesa nazo. Lakini kwanini iwe maeneo yale...
  11. JamiiForums Tanzania Mashuhuda wasimulia tukio la aliyekuwa akipiga risasi

    Katika hali isiyotarajiwa mtu mmoja amezua taharuki katika eneo la Daraja la Selandar jirani na zilipo ofisi za Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam leo Jumatano Agosti 25, 2021. Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea Saba kasoro mchana huu, mtu huyo ambaye hakujulikana alikotokea, alianza...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mhusika wa tukio la Salenda kama sio Mwendawazimu basi sinema miongoni mwa sinema za Kichina

    Nadharia ya ugaidi nchini na duniani ina ukakasi mkubwa. 95% ya matukio ya Ugaidi yametengenezwa (false Flag terror). Kazi yao kuu ni Kuongopea umma Kujustify propaganda walizozisambaza. Na pia ni moja ya mbinu za kijasusi za kuwaondoa watu ktk focus (ajenda wanazozijadili kwa manufaa ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tukio la kurushiana risasi kati ya Polisi na Mtu asiejulikana: Nasubiri katuni ya Masoud Kipanya

    Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana. Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno fulani, maneno yanyoweza kabisa kubadili sura ya hili tukio iwapo ni ya kweli na kuna uthibitisho wa video...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi ipo kuhudumia wananchi na sio kuwadidimiza

    Baadhi ya Watumishi wa Jeshi la Polisi wanashutumiwa kutofanya Haki kwa Jamii, akisema hali hiyo inapotokea Jeshi linakuwa mstari wa mbele kujitetea pasipo kuangalia upande wa pili. Ametolea mfano tukio la uvamizi wa bucha za nyama miezi kadhaa iliyopita na kusema "Walipolalamika mkasema...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Huenda kesi zimepungua Polisi kwasababu wananchi wamekata tamaa kupata haki zao

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema huenda makosa yamepungua Polisi Watanzania hawaendi Vituoni kuripoti kwasababu wamekata tamaa kutokana na kutopata Haki zao. Ameeleza hayo leo Jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

    Rais Samia ameliagiza jeshi la polisi kuhakikisha linakamilisha upelelezi kwa haraka na kuwaachia huru watuhumiwa ambao kesi zao hazina mashiko. Rais amesema hivi sasa idadi ya wafungwa inakaribiana kuwa sawa na idadi ya mahabusu. Kadhalika Rais Samia amemtaka IGP Sirro kuhakikisha hawatumii...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

    Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

    Morogoro. Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021...
  19. JamiiForums Tanzania Aibu: Watuhumiwa watatu kesi ya Mbowe wadai kuteswa na Polisi ili wakubali kuandika maelezo ya uongo

    Watuhumiwa hao watatu walioshitakiwa pamoja na Mbowe Wameiomba Mahakama kutoyatambua maelezo waliyoyaandika Polisi kwa vile waliyaandika kwa shinikizo la vipigo na mateso, hayakuwa maelezo ya kweli , bali waliyaandika ili wasiuawe kwa mateso . Ombi hilo limetolewa Mahakamani na washitakiwa hao...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…