polisi

  1. S

    Nimehesabu, Polisi walimpiga Hamza risasi 19 baada ya kuwa ameanguka chini na sio tishio tena kwa usalama

    Nimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea. Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu...
  2. Kulihusisha tukio la mauaji Kinondoni na vyama vya siasa ni kukosa busara za kisiasa

    Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni. Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja...
  3. J

    Shuhuda: Gaidi alishuka kwenye gari akiwa na bastola na kuanza kuwapiga risasi polisi

    Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho. Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni...
  4. Jamaa alilenga kufanya mashambulizi ubalozini na si vinginevyo

    Wadau kwa maswali mnahoji uliza, kwanini hakuua raia na akaua Askari ni kwamba, jamaa hakulenga kuua raia yoyote ataeonekana mbele yake. Pia hakuwa na lengo la kuua askari ila aliwashambulia sababu alijua wamekuja kumzuia kufanya mission yake. Lakini pia mnaohoji kwanini polisi walimlenga kwa...
  5. Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020. Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi...
  6. B

    Balozi wa Marekani awapongeza polisi kwa kuhitimisha kifo cha muuaji katili

    Naomba kuungana na Balozi wa Marekani Nchini kwa pongezi alizotoa kwa jeshi letu, kweli walifanya kazi stahiki kwa wakati. Zipo clip zinadai askari mmoja aliyevaa kiraia nusura ashambuliwe na wenziwe, niwapongeze wananchi waliopaza sauti kuzuia polisi kushambuliana. Lakini pia niwapongeze...
  7. J

    Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

    Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la Salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu. Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi. Chanzo: Ayo tv === kutoka Upanga Dar es Salaam kwenye nyumba aliyokua akiishi Hamza, Mwanaume...
  8. Huyu Mhalifu ni kama alikuwa na jambo lake na Polisi. Raia hakuwa na tatizo nao

    Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi. Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia. Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
  9. Tukio la mauaji ya Polisi eneo la Selander si bahati mbaya

    Leo kumetokea tukio baya sana kwa Usalama wa nchi yetu labda ni tukio baya sana kuwahi kushuhudiwa toka matukio ya enzi za Mauaji ya KIBITI yaliyolikumba nchi yetu enzi zile za Rais Magufuli sijui nini maana yake lakini Hii sio bahati mbaya.. yes sio bahati mbaya! Habari za kuuliwa polisi watatu...
  10. CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha. Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo...
  11. S

    IGP Sirro tafakari sana maneno ya mtu aliewaua Polisi aliposikika akisema "Nawatafuta Polisi"

    Nimesema mara nyingi sana humu JF, kwamba namna ya utendaji wa Polisi wa Tanzania ni ile ambayo inazalisha chuki na wananchi badala ya kukuza uhusiano mzuri. Watu wengi sana wana chuki na Polisi kutokana na vitendo vyao, iwe suala la rushwa, kubambikiwa kesi, matumizi ya nguvi isivyostahili...
  12. Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la. Ngoja tuendelee kutega sikio
  13. Mungu hafichi ukweli: Mama Samia leo umejionea ubovu wa askari wetu wa Jeshi la Polisi

    Mapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi. Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale Kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi...
  14. Taarifa zinarindima za gaidi mmoja anavyotikisa Dar, poleni watani

    Jamaa kama hawa ndio huwa wanatuibukia hapa Kenya wakiwa kundi, wana ujasiri sana wa kujitoa mhanga, naona taarifa huyu mmoja amewanyima amani sana huko Dar, bora kaliwa shaba kabla hajafanya maafa zaidi, jamaa alikua amejianika barabarani. Huku kwetu wakija huingia kwenye shopping mall na...
  15. Kuna maswali ya fikirisha kwa tukio la mauaji Selander Bridge

    Naomba tujiulize maswali haya! 1. Mhalifu alikuwa na silahaa mbili na moja iliyokuwa hana tumia ni kama AK-47! Je, Tanzania upande wa usalama inafikiria nini kuhusu silaha kali ambazo si rahisi kukuta nayo mwananchi labda majambazi tena wachache wenye matukio makubwa au wahalifu wachache! 2...
  16. Chadema yashauriwa kurekodi na kutangaza habari za kila mwanachama wao anayekamatwa na Jeshi la Polisi nchi nzima ili kutunza kumbukumbu

    Wadau mbali mbali wa siasa wa Ndani na nje ya nchi wamekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kinawatafuta wanachama wake wote waliokamatwa na Polisi popote Tanzania na kurekodi taarifa zao na kisha kutangaza majina yao kwenye vyombo vyote vya habari vya ndani na nje ya Nchi ili...
  17. Kwanini tukio liwe karibu na Ubalozi wa Ufaransa?

    Inasemekana jamaa alishuswa na bodaboda na akaenda kwenye kibanda cha askari pale kwenye makutano kama vile ana shida. Akachomoa bastola na kuwauwa askari wawili, askari mmoja akapigwa risasi kwenye bega. Akachukua silaha za wale askari akawa anatesa nazo. Lakini kwanini iwe maeneo yale...
  18. Mashuhuda wasimulia tukio la aliyekuwa akipiga risasi

    Katika hali isiyotarajiwa mtu mmoja amezua taharuki katika eneo la Daraja la Selandar jirani na zilipo ofisi za Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam leo Jumatano Agosti 25, 2021. Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea Saba kasoro mchana huu, mtu huyo ambaye hakujulikana alikotokea, alianza...
  19. A

    Mhusika wa tukio la Salenda kama sio Mwendawazimu basi sinema miongoni mwa sinema za Kichina

    Nadharia ya ugaidi nchini na duniani ina ukakasi mkubwa. 95% ya matukio ya Ugaidi yametengenezwa (false Flag terror). Kazi yao kuu ni Kuongopea umma Kujustify propaganda walizozisambaza. Na pia ni moja ya mbinu za kijasusi za kuwaondoa watu ktk focus (ajenda wanazozijadili kwa manufaa ya...
  20. S

    Tukio la kurushiana risasi kati ya Polisi na Mtu asiejulikana: Nasubiri katuni ya Masoud Kipanya

    Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana. Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno fulani, maneno yanyoweza kabisa kubadili sura ya hili tukio iwapo ni ya kweli na kuna uthibitisho wa video...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…