Jamaa alilenga kufanya mashambulizi ubalozini na si vinginevyo

Dogo GSM

Member
Jul 31, 2021
65
91
Wadau kwa maswali mnahoji uliza, kwanini hakuua raia na akaua Askari ni kwamba, jamaa hakulenga kuua raia yoyote ataeonekana mbele yake. Pia hakuwa na lengo la kuua askari ila aliwashambulia sababu alijua wamekuja kumzuia kufanya mission yake.

Lakini pia mnaohoji kwanini polisi walimlenga kwa kumuua kabisa na si kumkamata ni kwamba, jamaa alikuwa na silaha mbili za kivita ambazo huwa hazirembi eneo la tukio kwenye mashambulizi hivyo polisi walijihami kulinda uhai wao sababu kutokana na ukamataji wa silaha zile ni lazima ujihami kwa kuamini yule ni jambazi sugu au gaidi hivyo waliamini kwa mazingira yale wangeremba jamaa angetoka na raia wengi au askari wengi.

Kuhusu sababu ya kutaka kufanya hayo yote ubalozini mimi na wewe hatujui. Wacha polisi wafanye kazi yao najua ndani ya wiki moja tutapata jawabu la usahihi.
 
Kwanini hakuingia ndani ya ubalozi wenyewe akabaki kuongoza magari na kuji expose hadi akadungukiwa kibiya na manati ya mzungu?
 
Umesoma vizuri alichokiandika, au ndiyo unamtetea polisi mwenzio.

Acheni dhulma mbwa nyie
Mbwa ni mnyama tu kama wewe.
Mm si polisi ila naelewa umeshiba na una bundle na upo umetulia unapost maana unalindwa mipakani huko na unaowaita mbwa.
 
Uchambuzi makini sana kutoka kwa Great Thinker🤡🤡💩.

Jamii Forum; The Home of Great Thinkers
 
Kama ni ubalozi wa France angeingia ndani au hata getini

Jamaa mlimnyang'anya gold yake kaamu kuwaua mbuzi nyie

Sasa jifanye mnapitisha story halafu nao Ubalozi wa France utoe report yake muone kama hamtaumbuliwa

Matako yenu serikali na polisi wenu njaa,wezi wa mali za watu na urushi

Hamza kaua kima 4,mnadhani watu watakubali mnawadhulumu for nothing....viazi nyie
Duuuu
 
Sasa wewe umejuaje na huku huyu mtu memuua na uwezo wa kumkamata mzima mlikua nao..

police bana waliona raha kumpiga za matako
 
Wadau kwa maswali mnahoji uliza,kwanini hakuua raia na akaua Askari ni kwamba,jamaa hakulenga kuua raia yoyote ataeonekana mbele yake..pia hakuwa na lengo la kuua askari ila aliwashambulia sababu alijua wamekuja kumzuia kufanya mission yake.

Lakini pia mnaohoji kwanini polisi walimlenga kwa kumuua kabisa na si kumkamata ni kwamba,jamaa alikuwa na silaha mbili za kivita ambazo huwa hazirembi eneo la tukio kwenye mashambulizi hivyo polisi walijihami kulinda uhai wao sababu kutokana na ukamataji wa silaha zile ni lazima ujihami kwa kuamini yule ni jambazi sugu au gaidi hivyo waliamini kwa mazingira yale wangeremba jamaa angetoka na raia wengi au askari wengi.

Kuhusu sababu ya kutaka kufanya hayo yote ubalozini mimi na wewe hatujui.Wacha polisi wafanye kazi yao najua ndani ya wiki moja tutapata jawabu la usahihi.View attachment 1908778
Uko vyedi mkuu?
 
Mtaandika mengi, mtajitetea sana, lakini ukweli utabaki pale pale. Uadilifu wa Polisi Tanzania ulisha zamani. Tofauti yao na majambazi wengine ni uniform na vitambulisho.
 
napenda sana technolojia, picha za miaka nenda rudi zisharushwa kuonyesha maisha ya muhusika wa tukio na nyingine bado zitakuja za shule alosoma nk

tuachie vyombo husika vichunguzee
 
Back
Top Bottom