rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,494
- 41,916
Leo kumetokea tukio baya sana kwa Usalama wa nchi yetu labda ni tukio baya sana kuwahi kushuhudiwa toka matukio ya enzi za Mauaji ya KIBITI yaliyolikumba nchi yetu enzi zile za Rais Magufuli sijui nini maana yake lakini Hii sio bahati mbaya.. yes sio bahati mbaya! Habari za kuuliwa polisi watatu haiwezi kuwa jambo ambalo limetokea bila mpango wala plan yoyote hasa Ukizingatia repoti inasema jamaa alikuja na BASTOLA tu then aliua mapolisi wetu na kukusanya zile Bunduki alizokuwa nazo na kuanza kushambulia askari wengine.
Na lazimika kusema kuwa Raia hawakuwa Priority kabisa ya yule jamaa maana wakati ameshapokonya silaha 2 tayari kulikuwa na Bus lenye abiria kibao na wengine wachache wakitembea kwa miguu sitaki kumuhusisha na Ugaidi wala tukio hili na Dini yake lakini hii ni Msg mbaya sana iliyotumwa kwa usalama wa nchi hii. Sasa kuna haja ya askari wetu kuwa makini zaidi hasa wanapokuwa lindo yani hii imekuwa Vita sasa yule jamaa naamini zile bunduki ilikuwa ndio plan yake but Why aliishia kuuliwa tu kwa majibizano ya risasi na polisi?
Imebaki kuwa fumbo ambalo ipo siku linaweza patikana jibu pia Akili inanituma lengo lake lilikuwa ni zile silaha lakini mpango uliopangwa baada ya kupora zile silaha uliharibika ndio maana hakuwa na namna zaidi ya kuanza kufight na polisi so its like a deal went wrong kwenye plan flani ambayo hakuna aneijua labda yeye Angekamatwa akiwa hai angeweza kusema. Lakini pia ubalozi wa ufaransa inawezekana ulikuwa moja ya target yote haya yanabaki kuwa maswali yasiyokuwa na Majibu mpaka pale uchunguzi wa kina utakapofanyika kama ule uliogundua Majambazi wa Mapango ya amboni ambapo ilianza kama movie.
Ilikuwa sahihi kuuliwa maana mtu aliekuja na bastola lakini akakusanya Bunduki 2 zenye risasi unaanzaje kuwaza kumshika bila Kumdhuru kwa risasi? Pongeza nyingi ziende kwa Jeshi letu kwa kumdhibiti yule mtu lakini Kama Sehemu salama Maeneo yale ya Ubalozi wa Ufaransa limetokea jambo baya kama lile na kudumu muda mrefu vile pamoja na usalama uliopo yale maeneo bhasi polisi wetu washtuke sana na kujipanga upya.