polisi

  1. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

    Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara. Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko jijini Arusha, Yanga watakipiga na Polisi ya Tanzania Mchezo huu huenda ukawa na ushindani mkubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wetu ndio wanaongoza kuvunja sheria?

    Kuna msemo polisi wanao Tii sheria bila shuruti. Lakini wao hawatii hizo sheria hata kidogo. Ndio wanaongoza kula rushwa Kubambikizia watu kesi. Kufanya ukaguzi wa mtuhumiwa bila kua na warant toka mahakaman. Wanakubambkia dawa za kulevya humo. Kunyanyasa wananchi imekua ni jadi yao. Na hali...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uniform za Polisi wa Kenya ni zipi haswa? Naombeni ufafanuzi

    Najua wanavaa blue lakini kwenye matukio mengi hasa hata ya kutangazwa kwa mshindi wa Urais wa Kenya hapo Bomas, naona askari wengi wamevaa kimbati za jeshi. Je nayo ni sehemu ya uniform za jeshi la polisi kenya?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Pole vunjabei imekula kwako,ombea polisi fc wakuokoe

    Hivi polisi fc si umewadhamini pia kuhusu jezi? Ombea sana keshokutwa waifunge yanga la sivyo hizo jezi zinazokuja kwa mafungu zitakudodea by the time mambo hata yakianza kutulia huko uzunguni simba fc majezi feki kibao yatakuwepo kitaa Mwaka huu umeula hasara matokeo ya jana ni hasara sana...
  5. JamiiForums Tanzania IGP Wambura afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa, Agosti 12, 2022

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya makamanda wa Polisi wa mikoa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 12,2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  6. JamiiForums Tanzania "Jeshi la Polisi ni "Zimamoto" ya kukamata madereva walevi

    "IMEANDIKWA KWENYE MAGAZETI MENGI YA LEO" Jeshi la Polisi nchini limetangaza msako wa kuwakamata madereva wasiozingatia sheria za barabarani, wanaotumia vilevi, wakiwa wanaendesha magari pamoja na kuwakamata wamiliki wa magari yasiyokuwa na viakisi mwanga Uamuzi huu wa polisi umekuja ikiwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Masasi: Mfululizo mauaji ya kikatili kwa Wanawake, Polisi wataja wivu wa kimapenzi

    Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi. Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
  8. JamiiForums Tanzania Katavi: Ashikiliwa na Polisi kwa kupanga njama za mauaji ya Mchepuko wa Mkewe mdogo

    JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Peru: Polisi wavamia nyumba ya Rais ya Mapumziko kumsaka Shemeji yake anayetuhumiwa kwa uhujumu uchumi

    Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka. Yenifer anayetajwa kuishi nyumbani kwa Rais huyo ni mtu wa nne kuchunguzwa miongoni mwa watu wake wa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Polisi wamekamata watu watatu wakisafirisha karatasi za kupigia kura zikiwa tayari zimewekwa alama

    Polisi eneo la Kilgoris katika Kaunti ya Narok wanazuilia watu watatu wakiwemo maafisa wawili wa polisi kwa tuhuma za kusafirishwa karatasi za kupiga kura ambazo tayari zimetiwa alama na vifaa vingine vya uchaguzi Kupitia kwa taarifa, Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro amesema...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Polisi Wakamata Malori Mawili yakidaiwa Kusafirisha Wapiga Kura Kutoka Uganda

    Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura. Watu 65 walifanikiwa kutoroka kufuatia usaidizi wa Mbunge wa Endebess Robert Pukose ambaye alipaza kilio...
  12. JamiiForums Tanzania Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

    Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi kuanza ukaguzi wa mabasi ya Wanafunzi nchi nzima

    Idara ya Trafiki Barabarani imetangaza kuanza ukaguzi wa kitaifa wa mabasi ya shule ili kuhakikisha shule zitakapofunguliwa, wanafunzi wasafiri salama kwenda na kurudi mashuleni. Haya yanajiri siku chache baada ya ajali iliyoua wanafunzi 8 wa Shule ya Msingi King David na watu wazima huko...
  14. JamiiForums Tanzania Mama wa watoto watatu waliotelekezwa Ulanga ajisalimisha Polisi

    Kabla ya habari yenyewe chini huyu mama amerudi kwa sababu amepata habari watoto watajengewa nyumba ya kisasa na watasomeshwa na mzungu mmoja anayechimba madini ya graphite. Ushauri wangu kwa polisi na mahakama msameheni huyu mama alee watoto wake maana mkimfunga mtawazidishia watoto machungu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Polisi yawatia mbaroni watu 40 zaidi baada ya ubakaji wa wanawake wanane

    Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha. Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
  16. JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Byamtemba, Kata ya Nsunga Wilayani Missenyi Mkoani Kagera, Jonathan Bunyaga alipata ajali na hajauawa na watu wasiojulikana kama inavyoelezwa. Mwili wa Jonathan uliokotwa ukiwa umetelekezwa kando ya barabara...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na hasa Trafiki lifumuliwe na kuundwa upya

    Kwa muda mrefu jeshi la polisi na hasa kitengo cha usalama barabarani limekuwa likilalamikiwa kwa kushamiri kwa vitendo vya rushwa. Si polisi wa vyeo vidogo au vikubwa wote lao moja. Inafahamika jitihada wafanyazo polisi vitengo vingine, ili wapate kupangiwa kitengo hiki cha walamba asali...
  18. JamiiForums Tanzania Moshi: RPC afafanua vielelezo vya wizi kuibwa Kituo cha Polisi na Askari Polisi kuchangishana kumlipa mwenye mali

    Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho. Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
  19. JamiiForums Tanzania Unapenda Marekebisho gani yafanyike Polisi na Mahakama

    Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

    Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi. Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote. Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…